Huu upuuzi wa Tanesco na kodi za pango

Mwezi wa tano tumelipia 150,000 kodi ya jengo mwezi huu tena nataka kununua Luku naambiwa nadaiwa tena 30,000 Tanesco watueleweshe nini kinaendelea.

Nchi ngumu sana hii
Subiri waje na lile jibu lao la hovyo, tupe mtaa unaokaa na sijui namba za simu
 
Mwezi wa tano tumelipia 150,000 kodi ya jengo mwezi huu tena nataka kununua Luku naambiwa nadaiwa tena 30,000 Tanesco watueleweshe nini kinaendelea.

Nchi ngumu sana hii

Nimekutana na hii adha jana. Nilipowapigia wakaniambia nina deni la mwaka mzima la kodi ya jengo. Na mwaka wa kiserikali ndo unaisha mwezi huu hivyo lazima wakate.

Nikajiuliza hivi kipindi nanunua miezi ua nyuma si wamekata! Sasa hili deni la mwaka mzima linakuwaje?

Tuna safari ndefu sana, na sidhani kama tutafika....ingawa, itaisha.
 
Kwa mwaka kwenye jengo la ghorofa Sakafu 1 = 60,000, Sakafu ya pili 60,000 = 120,000 (hawajatofautisha makazi wala za biashara) > alojonga ghorofa miaka hiyo sasa hana kipato lazima alipe ....... si ajabu ikaongezeka hadi 150k kwa mwaka
Kwa mwaka nyumba ya kawaida isiyo ghorofa sakafu = 12,000
Kwa maelezo ya mtoa huduma wa Tanesco mwaka mpya wa fedha wa serikali Julai 2023 - June 2024 ndo watabadilisha 60k/120k etc zilipwe kwa mwezi

....tunaupiga mwingiii sanaaaa
 
Mwezi wa tano tumelipia 150,000 kodi ya jengo mwezi huu tena nataka kununua Luku naambiwa nadaiwa tena 30,000 Tanesco watueleweshe nini kinaendelea.

Nchi ngumu sana hii
Ndio hapo nashangaa maana kila kona mwezi huu wameanza jambo ambalo halijawah kuwekwa hapo awali. Na sijui ile 1000 waliokuwa wanakata huwa ni ya nini sasa
 
Kwa mwaka kwenye jengo la ghorofa Sakafu 1 = 60,000, Sakafu ya pili 60,000 = 120,000 (hawajatofautisha makazi wala za biashara) > alojonga ghorofa miaka hiyo sasa hana kipato lazima alipe ....... si ajabu ikaongezeka hadi 150k kwa mwaka
Kwa mwaka nyumba ya kawaida isiyo ghorofa sakafu = 12,000
Kwa maelezo ya mtoa huduma wa Tanesco mwaka mpya wa fedha wa serikali Julai 2023 - June 2024 ndo watabadilisha 60k/120k etc zilipwe kwa mwezi

....tunaupiga mwingiii sanaaaa
Wanataka tuishi kama mascherano siyo
 
Mwezi wa tano tumelipia 150,000 kodi ya jengo mwezi huu tena nataka kununua Luku naambiwa nadaiwa tena 30,000 Tanesco watueleweshe nini kinaendelea.

Nchi ngumu sana hii
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tunaomba namba ya mita kwa ufuatiliaji zaidi.^OK
 
@TANESCO mmesahau kuuliza jina mtaa na kata
 
Back
Top Bottom