tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Fransic Mtinga: Serikali ilijidanganya kupandisha bei ya kuunganishia umeme, ataka irudishwe kuwa Tsh. 27,000

    Dodoma. Mbunge wa Iramba Mashariki (CCM), Fransic Mtinga ametaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuweka gharama za kuunganisha umeme kwa Sh27, 000 kote nchini ili kukusanya makusanyo mengi kutokana na mauzo ya umeme na kodi ya majengo. Ameyasema hayo leo Jumatano Mei 31, 2023 wakati...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania TANESCO: SGR haitokosa umeme, ratiba kutovurugwa

    SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema reli ya kisasa (SGR) haitokosa umeme wala kukwama kufanya kazi kwa sababu ya kukatika au kutokea hitilafu katika miundombinu ya umeme. Kauli hiyo ilitolewa jana na Mhandisi wa Idara ya Mipango ya TANESCO, Lucas Magero, alipozungumza na waandishi wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TANESCO inakata Tsh 6,000 kila ukinunua umeme mwisho wa mwezi

    TANESCO ilisema imeondoa service line lakini Cha kushangaza nimenunua umeme kwa miezi miwili wananikata Tsh. 6000, sijajua shida Nini, Ina maana siku hizi TANESCO haifuati miongozo ya wizara inafuata mambo yake? Unajua Kuna vitu vingine tunaweza tukasema Magufuli alikuwa Bora upande wa matumizi...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande, TANESCO wanakata sana umeme wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya

    Kwa Hali ya maisha ilivyo ngumu bado TANESCO mkoa wa Mbeya, wanazima umeme kila siku wilaya ya Chunya bila kujali kuna watanzania wala bila kujali ni Jimbo lilliloko mikononi mwa CCM. Katika hali ya kushangaza wananchi wameamua kumjulisha Maharage Chande, kuwa ana mbinu Za kuing’oa CCM...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania TANESCO imeisamehe Zanzibar deni la umeme la bilioni 60

    Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Maharage Chande amesema mjadala umefikia mwisho kuwa Zanzibar isamehewe deni ili waanze upya kwa “tariff” mpya pia. Kwa taarifa za ndani za uhakika ni kuwa maagizo kutoka ikulu ya Dodoma kupitia Waziri January ndiyo yamepelekea afute deni hilo. Maagizo hayo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tigo, Tanesco wezi tu

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Jana nilinunua umeme kwa kupitia simu yangu ya mkononi. Sikujua kuwa kulikuwa na tatizo la kimtandao katika mojawapo ya kampuni ya simu za mkononi ya Tigo au Tanesco wanaouza umeme. Kibaya zaidi, baada ya kununua umeme, pesa ilikatwa kwenye Tigopesa lakini...
  7. Targaryen Golden

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ushiriki wa Sekta Binafsi katika usambazaji wa umeme Tanzania

    Umeme ni sehemu muhimu ya maisha ya kisasa, unawezesha kila kitu kuanzia majumbani, biashara, hospitali, shule nk. Hata hivyo, katika nchi nyingi zinazoendelea, upatikanaji wa umeme ambao unategemewa sana bado ni changamoto kubwa. Ndani ya Nchi yetu ya Tanzania kuna shirika moja tu linalohusika...
  8. Acehood

    JamiiForums Tanzania Wakubwa wa TANESCO kwenye ngazi za chini wasiruhusiwe kumiliki vibanda umiza.

    Kila kukiwa na mechi nzuri lazima umeme ukate nusu saa kabla ya mechi au nusu saa baada ya mechi. Huu ni uhujumu uchumi. Tf wanakata umeme sahz wakati game ndo inaanza second half.
  9. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Ndejembi amewataka watendaji wa Halmashauri kuwa wabunifu ukiwemo wa kutumia rasilimali ya takataka kuwa fursa ya kuzalisha nishati ya gesi

    Naibu Waziri wa TAMISEMI Mh Deogratius Ndejembi amewataka watendaji wa Halmashauri kuwa wabunifu ukiwemo wa kutumia rasilimali ya takataka kuwa fursa ya kuzalisha nishati ya gesi na umeme hatua ambayo licha ya kusaidia kudumisha usafi itaongeza ajira na kuwarahisishia wananchi maisha...
  10. sIR tEaChER only

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utata wa mkataba wa utoaji huduma ya umeme kati ya mteja na Tanesco

    UWAJIBISHWAJI WA SHIRIKA LA UMEME TANZANIA - TANESCO Bila shaka tunatambua na kuona jinsi shirika letu la Umeme Tanzania ambavyo limekuwa likiendelea kutanua wigo wake wa kutoa huduma na kuja na mpango wa kuwafikia wakazi/wananchi waishio vijijini katika mpango wake wa ugawaji wa nishati ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO Iringa, hili la kusitisha huduma saa saba mpaka saa nane mmelitoa wapi?

    Nimefika TANESCO kati ya saa saba naambiwa hakuna huduma mpaka saa nane. Nadhani hii si sawa hili ni shirika la huduma huduma huwa haikatishwi. Hii ni huduma kama Benki, Hospitali, Fire, Police, kwa kifupi hizi huwa zinaitwa ‘essential service’ hata kama mtataka kugoma kuna utaratibu maalumu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi za kulipia kufungiwa Umeme na TANESCO?

    Baba yangu amepewa control number alipe 320960 Ili aunganishiwe umeme. Nataka kumlipia kupitia Airtel money nielekezeni hatua za kufuata.
  13. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Kukatika umeme Uwanja wa Mkapa: Serikali yawasimamisha watendaji kadhaa; yaomba radhi

    Itakumbukwa 28 Machi, 2023 kulikuwa a mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Siku hiyo umeme ulikatika wakati mechi hivo inaendelea katika Uwania wa Benjamin Mkapa...
  14. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua uwezo wa umeme wa 3 phase wa Tanesco

    Kutokana na shughuli zangu za mashine mbalimbali za kuchakata mazao.Nilifungiwa umeme wa 3 phase.Ambao kwa wakati mmoja unaweza kuendesha mashina tatu mashine moja ya alizeti ina mota yenye ukubwa kama.mota za mashine za kusaga na.mashine nyingine 2 zina mota ndogo zisizozidi 2Kw.Motor zote ni...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Hatuhusiki na kukatika umeme kwa Mkapa. Alaumiwe waziri wa Utamaduni na Michezo

  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tanesco, wilaya ya Temeke hakuna Umeme Hali mbaya Sana.

    Taarifa Tangu siku ya Jana mnakata Umeme tu Huku Temeke Hali ya hewa ni joto Kali watu mnawakatia umeme hata Taarifa hamtoi Tena mnakata siku nzima . Kazi zinazohitaji Umeme zipo nyingi Sana , je? Mnataka watu waishije ikiwa mnakata Umeme siku nzima na hamtoi Taarifa je mnatoa mgao ? Na huu ni...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Nashauri TANESCO iwapunguzie Deni Wadaiwa wake kwa nusu ili walipe

    Deni la zaidi ya Bil.244 ni Pesa kubwa sana ili kuwahamasisha kulipa deni na kuleta mapata Tanesco ni vyema wawapunguzie. ======= Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawadai shilingi Bilioni 244 wateja wake mbalimbali, wakiwemo wateja wa umma na wateja binafsi. Hayo yamebainishwa na Naibu...
  18. Black Opal

    JamiiForums Tanzania TANESCO Tegeta mnakata na kurudisha umeme mara nne ndani ya dk 1, mnataka mtuunguzie kila kitu?

    Mnakata na kurudisha umeme ovyo oyvo namna hii, si mzime kabisa tujue moja? Mvua yenyewe iko wapi kwa kutufanyia michezo hii? Yaani manyunyu haya ndio matukatia umeme namna hii? Ingekuwa mvua kubwa iliyoambatana na radi si ndio tungepata na shoti nyumba zikawaka moto? Mnapata na kisingizio...
  19. polokwane

    JamiiForums Tanzania TANESCO mita zenu mpya zina shida gani? Zinakata umeme wakati upo

    Kuna hizi mita za TANESCO wanazofungia wateja sasa hivi, kila siku usiku lazima zikate umeme lakini kwa wale wenye mita za zamani umeme upo. Tatizo nini? Au ndio mita za michongo?
  20. polokwane

    JamiiForums Tanzania TANESCO, hii hela ambayo surveyor anadai kulipwa na mteja pale anapotaka kuvutiwa umeme ipo nje ya wajibu wake?

    Kuna hela ambayo kuna mtu anaitwa surveyor hutaka kulipwa pale mteja anapotaka kuvuta umeme, je, kazi hii ni nje na majukumu yake ya kazi? Maana bila kulipa hii hela aisee huyo surveyor hadi akufikie utazeeka huna umeme.
Back
Top Bottom