TANESCO ni miongoni mwa taasisi za umma zenye wafanyakazi wasio na ufanisi

Paploman

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
1,720
3,237
Wafanyakazi wa taasisi za Umma sijui Wana shida gani. Yaani wao mpaka wapate mtu wa kuwapelekesha ndio wafenye kazi.

Sasa Leo niko na hawa TANESCO nina kimradi changu huko musoma, niliwaita TANESCO kuniunganishia umeme kuja ilikuwa shida kwelikweli, mwisho wa siku wakaja wakanipa gharama zao 4.9m (million nne laki 9) wakanipa control number nikalipia.

Nikasubiri umeme kufungiwa, ikawa kesho, kesho, kesho. Majibu Yao ni kesho tu. Mwishowe wakawa hawapokei simu. Yaani unapiga simu kutwa nzima hawapokei.

Utafikiri naomba msaada wakati pesa nimeshawalipa, au wanaandaa mazingira ya Rushwa?

Nchi haiendelei kwa watu jama hawa. customer service.
 
Wafanyakazi wa taasisi sijui Wana shida gani. Yaani wao mpaka wapate mtu wa kuwapelekesha ndio wafenye kazi. Ni wajinga wajinga tu.

Sasa Leo Niko na Hawa TANESCO nina kimradi changu huko musoma, niliwaita TANESCO kuniunganishia umeme, wakanipa gharama zao 4.9m ( million nne laki 9) wakanipa control number nikalipia.

Nikasubiri umeme kufungiwa, ikawa kesho, kesho, kesho.... Majibu Yao ni kesho tu. Mwishowe wakawa hawapokei simu. Yaani unapiga simu kutwa nzima hawapokei.

Utafikiri naomba msaada wakati pesa nimeshawalipa, au wanaandaa mazingira ya Rushwa?

Nchi haiendelei kwa mijitu mijinga kama hii ambayo haijui hata maana ya customer service.
Sasa watu wameajiriwa kwa vimemo unategemea ufanisi utoke wapi?
 
Wafanyakazi wa taasisi za Umma sijui Wana shida gani. Yaani wao mpaka wapate mtu wa kuwapelekesha ndio wafenye kazi. Ni wajinga wajinga tu.

Sasa Leo niko na hawa TANESCO nina kimradi changu huko musoma, niliwaita TANESCO kuniunganishia umeme kuja ilikuwa shida kwelikweli, mwisho wa siku wakaja wakanipa gharama zao 4.9m (million nne laki 9) wakanipa control number nikalipia.

Nikasubiri umeme kufungiwa, ikawa kesho, kesho, kesho. Majibu Yao ni kesho tu. Mwishowe wakawa hawapokei simu. Yaani unapiga simu kutwa nzima hawapokei.

Utafikiri naomba msaada wakati pesa nimeshawalipa, au wanaandaa mazingira ya Rushwa?

Nchi haiendelei kwa mijitu mijinga kama hii ambayo haijui hata maana ya customer service.
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tupatie taarifa zifuatazo kwa msaada zaidi,
Jina
Mkoa
Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Control number
TANESCO Huduma Kwa Wateja
SIMU: 0748 550000
WhatApp: 0758346869.^OK
 
Cintrol number
TANESCO Huduma Kwa Wateja
SIMU: 0748 550000
WhatApp: 0758346869.^OK
Nimekutumia wasap
 
Wafanyakazi wa taasisi za Umma sijui Wana shida gani. Yaani wao mpaka wapate mtu wa kuwapelekesha ndio wafenye kazi. Ni wajinga wajinga tu.

Sasa Leo niko na hawa TANESCO nina kimradi changu huko musoma, niliwaita TANESCO kuniunganishia umeme kuja ilikuwa shida kwelikweli, mwisho wa siku wakaja wakanipa gharama zao 4.9m (million nne laki 9) wakanipa control number nikalipia.

Nikasubiri umeme kufungiwa, ikawa kesho, kesho, kesho. Majibu Yao ni kesho tu. Mwishowe wakawa hawapokei simu. Yaani unapiga simu kutwa nzima hawapokei.

Utafikiri naomba msaada wakati pesa nimeshawalipa, au wanaandaa mazingira ya Rushwa?

Nchi haiendelei kwa mijitu mijinga kama hii ambayo haijui hata maana ya customer service.
Inakera sana kwakweli.hapa dar maeneo ya mbezi msakuzi kunanyaya zimeshuka chini kiasi kwamba ukinyanyua mkono unazishika.walishaambiwa sana lakini kuja imeshindikana.
 
Ndio maana watu wanakimbilia utumishi wa Umma. Huko uzembe unalelewa
 
Sio tanesco tuu,hilo ni tatizo la wafanyakazi wa umma wote bila kujali yupo ofisi Gani...

Wafanyakaz wa umma mna laana nyie na aliewaloga ashakufa...nikikumbuka mlivyonisotesha kupata vibali vya biashara yangu !!!!

Laana mliyonayo inawapiga ndio maana mkistaaafu mnateseka kama mbwa asiye na makazi...Kila siku mnalilia mama awaongeze mishahara Kwa kazi Gani mnayofanya humo ofisin Zaid ya umbea,rushwa na ngono.. hopeless kabisa
 
Wafanyakazi wa taasisi za Umma sijui Wana shida gani. Yaani wao mpaka wapate mtu wa kuwapelekesha ndio wafenye kazi.

Sasa Leo niko na hawa TANESCO nina kimradi changu huko musoma, niliwaita TANESCO kuniunganishia umeme kuja ilikuwa shida kwelikweli, mwisho wa siku wakaja wakanipa gharama zao 4.9m (million nne laki 9) wakanipa control number nikalipia.

Nikasubiri umeme kufungiwa, ikawa kesho, kesho, kesho. Majibu Yao ni kesho tu. Mwishowe wakawa hawapokei simu. Yaani unapiga simu kutwa nzima hawapokei.

Utafikiri naomba msaada wakati pesa nimeshawalipa, au wanaandaa mazingira ya Rushwa?

Nchi haiendelei kwa watu jama hawa. customer service.
Kwani hao uliwapa hiyo kazi yako hawana wakubwa au mabosi wao ukalipeleka hilo swala kwao?nadhani hata wewe hauko makini kiasi fulani,umeshalipia,wahusika hawajakufikia,viongozi wajuu wa Tanesco wapo,kwanini usipande ngazi nyingine kujua hatima ya kazi yako...?
 
Umesoma, umeelewa?
 
Sio TANESCO tu karibia ofisi zote za serikali huduma zao ni hovyo tu. Bandari wameshindwa kuziendesha wameamua kumpa mwarabu, wakiendelea hivi basi mashirika yote makubwa watapewa wageni wayaendeshe
 
Sio tanesco tu.
 
Wameshindwa hadi kusimamia Misitu wamekodisha watu wa Jangwa la Sahel waje watusaidie.
 
Tatizo nyie watu wenye vijipesa mnadhani nyie ndio wa muhimu kuliko wote. Kaa kwenye foleni usubiri zamu yako ifike.
Kuna wengine walishalipia kabla yako na wako wanasubiri kuhudumiwa.
Otherwise 'pitia mlango wa nyuma' uhudumiwe fasta.
 
Kwani hao uliwapa hiyo kazi yako hawana wakubwa au mabosi wao ukalipeleka hilo swala kwao?nadhani hata wewe hauko makini kiasi fulani,umeshalipia,wahusika hawajakufikia,viongozi wajuu wa Tanesco wapo,kwanini usipande ngazi nyingine kujua hatima ya kazi yako...?
Wewe ni mgeni na watanzania? Hao maboss hata ukiwapelekea hilo swala unadhani wanachukua hatua yoyote? Kwanza hadi uwakute na kuonana nao utasota sana
 
Tatizo nyie watu wenye vijipesa mnadhani nyie ndio wa muhimu kuliko wote. Kaa kwenye foleni usubiri zamu yako ifike.
Kuna wengine walishalipia kabla yako na wako wanasubiri kuhudumiwa.
Otherwise 'pitia mlango wa nyuma' uhudumiwe fasta.

Unaweza kutaja sababu yoyote inayosababisha watu wapange foleni kusubilishia huduma waliyokwisha lipia? Tanesco ni kimeo hasa
 
Back
Top Bottom