tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa na mamlaka ningeanza na TANESCO

    Jua likiwaka kina cha maji kimepungua, mvua imeanza kunyesha hata dk kumi hazizidi wamekata umeme moja kwa moja, yani ikipita siku kuanzia asubuhi saa moja hadi saa nne usiku hawajakata umeme unashukuru Mungu. Ni lini kutakua na umeme wa uhakika Tanzania? Kwanininiiiiii???
  2. Maleven

    JamiiForums Tanzania Kifupi, TANESCO sio wawajibikaji,mwenye mbadala wake anijuze

    Hapa ninapoandika umeme umekata, Sijui ni lini umeme kukatika itakua historia, at least kwa mwezi ukatike mara moja. Kwa mfano eneo ninapoishi, Ndano ya siku kumi (10) 1. Wameka umeme kuanzia asubuhi hadi jioni giza laanza kuingia mara tatu (3). 2. Wamekata umeme usiku kuanzia mida ya saa nne...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Stephen Byabato, Naibu Waziri wa Nishati Azindua Mpango wa Miaka Minne wa Masuala ya Jinsia wa TANESCO

    STEPHEN BYABATO NAIBU WAZIRI WA NISHATI AZINDUA MPANGO WA MIAKA MINNE WA MASUALA YA JINSIA WA TANESCO Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amezindua Mpango wa miaka minne wa masuala wa jinsia wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ambao utawezesha masuala mbalimbali ikiwemo kuboresha...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Bosi wa Reli, ATCL na TANESCO mnasubiri nini ofisini?

    Ripoti za CAG na TAKUKURU zilizowasilishwa mbele ya Rais Mapema leo Machi 29, 2023 zimeonyesha ufisadi mkubwa katika Mashirika Makubwa ya TRC, ATCL na TANESCO, Mhe Rais amesema waondoke swali je mnasubiri nini? ATCL “Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania TANESCO Yapongezwa kwa Kuzalisha, Kusafirisha na Kusambaza Umeme Nchini

    TANESCO YAPONGEZWA KWA KUZALISHA, KUSAFIRISHA NA KUSAMBAZA UMEME NCHINI. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepongeza uongozi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kwa jitihada zake za uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme nchini. Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge...
  6. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania TANESCO Kigoma ifumuliwe

    Inakuwaje zinapita siku 3 hakuna umeme? Tena hapa Kigoma Manispaa, bora ingekua Kibondo huko. Unalala unaamka siku moja, mbili tatu hakuna hata huo umeme, kesho tunaamka siku ya nne bila umeme lakini maeneo mengine upo. Hawatoi taarifa kwanini wamekata, ukienda ofsini kwao hupewi majibu ya...
  7. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme Vingunguti Dar es Salaam, leo siku ya tatu umeme hakuna

    Umeme unapokosekana tambua pia maji yanakosa, maana hawa jamaa DAWASCO na TANESCO baba mmoja. Tunaomba mrejeshe umeme Vingunguti, mnakataje umeme siku 3 bila taarifa? Mnatukosea sana.
  8. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Hivi hii TANESCO ya Maharage si walisema umeme wa grid umeshafika Kigoma?

    Naangalia taarifa ya habari ITV sasa hivi, nimestaajabu kumuona CEO wa TANESCO Maharage akisema umeme wa grid ndio uko asilimia 47 kuelekea Kigoma. Mimi labda siko Tanzania au sielewi. Nakumbuka kwa masikio yangu nimesikia tena sio mara moja kwamba umeme wa grid ulishafika Kigoma miezi kadhaa...
  9. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Kali ya Mwaka 2023! Huduma kwa Wateja Tanesco haiko hewani

    Naishi Tabata Chang:eek:mbe_ Dar es Salaam, siku 3 leo hakuna umeme kabisa! Napiga simu huduma kwa wateja eti najibiwa namba haipatikani! TANESCO usingizi gan huu mmelala?
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania TANESCO mnapokata umeme toeni taarifa in advance. Mafundi wenu hutumia mwanya huo kuiba mafuta ya transfoma

    Kichwa cha habari kinajieleza, inafaa mnapokata umeme mtoe taarifa kwa wakazi wa maeneo husika ili tutambue katizo hilo ni official, msipotoa taarifa mnakosa ushirikiano wa wananchi kuweka attention kwenye transforma zenu ambapo mara nyingi wengi huwa tunadhani mmekata kwaajili ya matengenezo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Natoa siku 14 kwa viongozi wa Tanesco walioshiriki kuninyima umeme mbezi beach!

    Mimi kama "Jicho la Mganga" nafikisha ujumbe huu kutoka kwa Wilfred kwenda kwa viongozi wa Tanesco! Wilfred anasema! Takribani miezi miwili sasa Tanesco wananihangaisha! Uungwana wangu hauna maana kwao! Niliomba umeme pale tanesco tankibovu, kwa kufuata taratibu zote, wakaja kunipimia na...
  12. U

    JamiiForums Tanzania TANESCO wakata umeme mbele ya Mkutano wa Rais, Kilimanjaro

    Hali hii ya sintofahamu ilitokea siku ya leo katika ukumbi wa Kuringe Moshi, Ambapo Umeme ulikatika ghafla na kuleta taharuki ya kiusalama Ukumbini. Ni Vyema Uongozi wa juu wa TANESCO uwe unafanya maandalizi ya ukarabati na kuhakikisha umeme unakuwepo wakati wote pindi Kiongozi Mkuu wa Serikali...
  13. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania TANESCO Wakipigiwa simu ya dharura wanachelewa au hawatokei kabisa

    Habari waungwana! Mimi bhana nakwazika sana na suala hili hasa wakati wa dharura hawa TANESCO bhana ni wazito mnoo kufika eneo lilipotokea tatizo. Niliwah pata shida ya Luku, nikapiga simu na nipo karibu na ofisi zao, wakasema watafika ndani ya muda mfupi, cha ajabu nililala giza kiukwel maana...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mradi wa REA umekuwa ukitukosha, Lakini iweje TANESCO wanatuuzia nguzo Tzs 500,000 Arusha Vijijini?

    Rais wetu, unastahiki kila aina ya pongezi kwa maono yako ya kuondoa giza kwenye kila kona ya nchi kwa miradi ya umeme vijijini. Lakini kwa sasa TANESCO Arusha wanatoza zaidi ya sh. 500.000 iwapo utahitaji nguzo moja, na hadi 600,000 kwa umbali wa nguzo mbili. Sasa huyu maskini anayeishi...
  15. Logikos

    JamiiForums Tanzania Tanesco na Miradi Lukuki ambayo Hata Pesa hatujui tutapata Wapi ?

    Sijakosea najua hili ni Jukwaa la Jokes na nimeweka hapa sababu yanayofanyika ni kama Utani... Nimemsikia Makamba leo katika utiaji wa Saini za mikataba lukuki ambayo itahitaji pesa lukuki za kuweza kufanya umeme kuwa Historia yaani anasema kwama vile Mkapa alivyofanya usafiri kuwa mzuri...
  16. J

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Watumishi wasio waadilifu TANESCO wachukua rushwa ya laki tano

    Hakika ukicheka na nyani utavuna mabua! Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya WILFRED FRANK NJAU amesikika akilalamika kuombwa rushwa na maafisa wa TANESCO Mbezi beach, kiasi cha Laki tano ili apatiwe huduma ya umeme! Watumishi hao walifika katika nyumba ya NJAU wakiwa gari la TANESCO na...
  17. exaud morrey

    JamiiForums Tanzania Serikali itafute mbadala wa TANESCO

    Habari zenu wana jamvi natumai muwazima. Kama kichwa cha habari kinavyo sema mimi naona kiukweli TANESCO kuna sehemu wamekwama haiwezekani mvua kidogo umeme unakatika pia shirika hili linaonesha limeshindwa kumudu kwenda na wakati. Mimi maoni yangu kwa serikali nawashauri waliuze au waruhusu...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wapiga dili waiandama TANESCO

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watanzania kudharau mambo muhimu na ya kimsingi hasa yanayofanywa na watanzania wenzetu wazalendo, jambo linalopeleka kulikwamisha Taifa letu kwenye kupiga hatua za kimaendeleo. Tabia hii imekuwa ni ya kudumu na imeendelea kukua kwa miaka na miaka hali...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Hili la TANESCO kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa, halina dalili za upigaji?

    Nimemsikia Waziri wa Nishati Mh January Makamba alisema, wizara yake imepanga kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa. Anadai wataweka vifaa vipya. Hii hujumuisha pia Sub stations ya vituo vidogo vya uzalishaji umeme. Hii gharama ya kuufumua mfumo itakuwa kubwa mno. Atakayeumia ni mlipa kodi...
  20. Occupy

    JamiiForums Tanzania Naenda kudhalilika, nisaidieni kupata huduma ya TANESCO kwa haraka

    Habari wakuu, Watu hatuna STATUS sawa kwenye jamii ndio maana nimekuja kuomba msaada. Mimi ni mjasiriamali baada ya kuhitimu chuo mwaka jana nilikuwa nimejibana nikasevu pesa kidogo nikanunua Mashine za kukoboa na kusaga Mahindi (Mota na vinu viwili) ni miezi minne sasa tangu ianze kufanya...
Back
Top Bottom