Tanesco Haina Hela: Kama call center ya Tanesco ya million 30 iligharimu Tanesco billion 6.1,trillion 2 kwenye miundombinu guzo za zege.

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Kuna Mikataba mingi ambayo Tanesco imeingia toka alipo teuliwa Maharage Chande haikulenga kabisa uzalishaji wa umeme.

Ililenga matumizi na matanuzi na miundombinu.
Kwahiyo kutuaminisha kuwa mabwawa hayana maji kwa Mvua hizi hakuna mtu atawaamini.

Mimi kwa miaka mitatu nimemfuatilia sana vyombo vya habari nimegundua Tanesco imeingia mikataba ambayo haikulenga kuzalishaji wa umeme na ujenzi wa bwawa la umeme.

Wasiwasi Hawana pesa tena ya kugharamia Gharama kubwa ya kuzalisha umeme wa gesi.
Hivyo imani yangu inanituma kuwa baadhi generator za gasi either kutoka na madeni, uchakavu wa mitambo, au ukosefu wa fedha kugharamia Bomba la Gasi na gasi yenyewe.

Matumizi hayo kutokana taarifa Bunge Bajeti ya 2021/2022 billion 800 ilienda kwenye nguzo za zege na miundombinu mingine.
Matumizi ya cll center na utafiti wa muundo mbinu na uboreshaji wa utendaji wa Tanesco na uboreshaji wa Luku umechota hela nyingi sana.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari Mimi naamini Tanesco ipo Taabani maana utendaji wa Tanesco uliitaji usimamizi makini sana
 

Hebu tuanzie mbali kidogo, hivi ni kwanini Dr. Kalemani alifukuzwa? Ni kwasababu za kiutendaji? Hatuwezi kuihoji mamlaka ya uteuzi lakini tunaweza kuulizana sisi wenyewe.

Je, Kalemani alikuwa anakosea wapi?
Mwanzoni tuliingia kisiasa, tukataka kufuta mfumo wa mtu fulani na kutafuta umaarufu kwa kuweka mfumo wetu. Kiufupi tulitaka kufuta legacy ya tuliyemchukia sababu alitushughulikia huku anatuangalia machoni bila huruma.

Sasa nahodha kagundua aliingia chaka. Chombo kinazama wakati wazamishaji wamevaa maboya wanamcheka nahodha. Wameshiba hadi wamevimbilwa, hali tete na wananchi walishaamka muda tu. Tunajaribu kurejea hali ya awali taratibu. Tumegundua mfumo ule ulikuwa bora zaidi.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Vipi zile za mikopo hadi deni la Taifa kutisha , je zinafanyia nini ? Kwanini zisitumuke ku-rescue tatizo la kukosekana umeme nchini?
 
Back
Top Bottom