Tanesco Mali zake zitaenda wapi ?

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,409
8,911
wana real estates nyingi tu, wana machines, hata Mabwawa ya kuzalisha umeme na hata hili jipya la Nyerere nafikiri ni Mali ya tanesco yetu pia na vyote hivi tumejenga kwa kodi zetu hata kama tulichukuwa mkopo lkn tunalipia kwa kodi zetu, sasa mali za tanesco zitakwenda kwa mnunuzi wa tanesco pia au itakuwaje ?

nakumbuka tanganyika packers kawe muhindi adamje wakati wa awamu ya 4 aliipewa akafungua na kubeba machines zote za kutengenezea nyama akaenda kujenga kiwanda nchi nyingine leo hii tanganyika packers ni magofu.

come back afrika, …
 
Pongezi apewe Mkapa kwa Kubinafsisha Viwanda wakagawana Makada Viwanda alivyovijenga MZALENDO wa KWELI MWL.NYERERE

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
wana real estates nyingi tu, wana machines, hata Mabwawa ya kuzalisha umeme na hata hili jipya la Nyerere nafikiri ni Mali ya tanesco yetu pia na vyote hivi tumejenga kwa kodi zetu hata kama tulichukuwa mkopo lkn tunalipia kwa kodi zetu, sasa mali za tanesco zitakwenda kwa mnunuzi wa tanesco pia au itakuwaje ?

nakumbuka tanganyika packers kawe muhindi adamje wakati wa awamu ya 4 aliipewa akafungua na kubeba machines zote za kutengenezea nyama akaenda kujenga kiwanda nchi nyingine leo hii tanganyika packers ni magofu.

come back afrika, …
Nimefanya kazi kampuni moja ya mawasiliano, wapo wabongo, wanajua management vzr, ukiwapa tanesco litakua na faida, kama zilivyo, tigo,Vodacom, halotel, haya ni makmpuni binafsi, ttcl ya umma, IPO ICU! Tanesco ipewe sekta binafsi, kama ilivyo Kampuni ya sigsra, TTC, ukiwa muajiliwa sekta binafsi, ukifanya fuckups, ukaingiza hasara,ajira yako inakuwa mashakani, na utaadhibiwa vikali,serikalini, sheria inabidi ibadilishwe, iwe rahisi kutimua wasio na tija,
 
Ingekuwa inawezekana hata Urais ingepewa sekta binafsi, lazima nchi ingebadilika na kupaa kwa kasi.

Kwa hali ilivyo ni kama huko Serikalini wanatafutwa watu ambao hawana uelewa wowote kuhusiana na ufanisi mahala pa kazi, ndiyo wanapewa mamlaka.

Hata mawaziri ukiwa kwenye mazungumzo nao ya kawaida, unashangaa wameupataje huo uwaziri, kwa maana upeo na uelewa wao ni duni sana.
 
Back
Top Bottom