Uwepo wa ID ya Tanesco hapa JF hauna faida yoyote kwa members, bora isiwepo tu

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,833
Tulidhani ujio wa verified USER ID ya TANESCO italeta neema kwetu, kumbe ni bora isingeanzishwa.

Tulijua TANESCO wangekuwa wakitujulisha mambo mbalimbali ili tujiandae lakini wapi.

Leo tumeshindwa kununua umeme wa Luku, TANESCO wako kimya, wangeweza kabisa kutujulisha mapema kwamba tununue umeme kuna maboresho yanakuja ambayo yatasabibisha wateja wakose huduma.

TANESCO hapa wangeweza kuwa wanatoa taarifa mbalimbali, mathalani ratiba za mgao wa umeme lakini wako kimya

Juzi kuna member kasema Mwenge wamekosa umeme kwa masaa zaidinya 42, TANESCO hawakuona hata haja ya kulitolea ufafanuzi jambo hilo.

Sasa TANESCO kama nyie ni mabubu kuna haja gani ya kuwepo hapa jamvini?
You are useless
 
Kuna tangazo la Tanesco kuhusu hio hitilafu

IMG-20231214-WA0024.jpg

Ukisoma hili tangazo ni hitilafu, ni kitu ambacho hata Tanesco walikua hawakifahamu kabla, kimetokea asubuhi. Hivyo wasingeweza kuonya watu.
 
Ingekuwa China, viongozi wa TANESCO na washirika wao wangesha nyongwa kitambo.

Walikuwa wanasema kuna upungufu wa umeme kwa sababu mabwawa hayana maji. Sasa mvua zimenyesha sana, bado umeme hakuna na hawatoi maelezo!
 
Hawa tanesco ni mapumbafu, leo umeme tu haununuliki, sijui tulioishiwa umeme tulale vipi na hili joto la dar.
Au wanataka tulale nje kama kipindi kile waduwanzi wanaogopa kulala ndani kumuogopa popobawa. 😂🤣
 
Kuna tangazo la Tanesco kuhusu hio hitilafu

View attachment 2842646
Ukisoma hili tangazo ni hitilafu, ni kitu ambacho hata Tanesco walikua hawakifahamu kabla, kimetokea asubuhi. Hivyo wasingeweza kuonya watu.
Ngoja nisubirie umeme wangu uniishie,namuita kishoka aniungie umeme wao hapo juu,haiwezekani niwe na hela nahitaji umeme ninunue halafu mmiliki wa mita awe na tatizo la kimfumo,yani nilale giza hela niliyoipanga kununulia umeme ndio nitakayompa uyo kishoka akapooze koo na supu
 
TANESCO wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe
Kuna siku mita yao ilikuwa inasumbua home,piga simu weee wakaja usiku wa saa moja,kuangalia mita yao wakasema ni mbovu inatakiwa kubadilishwa wakampigia bosi wao akawaambia mwambieni mteja kesho asubuhi tutambadilishia ilihali mita inaunit za kutosha,ile wanaondoka tu nilichowafanya kwao itakuwa ni hasara kwa siku iyo washa vitu bila kuzima
 
Mimi hapa lawama zote nazipeleka kwa no,1 wetu ina maana amekosa kabisa ujanja wa kutatua hili janga?

Au ana puuza tu kwakua yeye kwenye maisha yake hili janga hali muhusu,anasema tutajijua wenyewe.
 
Back
Top Bottom