Registration number ya University of Iringa

emmarki

Senior Member
Nov 22, 2012
193
250
Katika kuomba kazi zilizotangazwa na Tamisemi kuna kipengele cha kujaza namba ya usajili wa chuo. Mhusika alisoma chuo cha Tumaini University-Iringa baadaye chuo kikajitegemea kikawa University of Iringa (Uol).

Changamoto kwenye machaguo hakipo, naomba kama umepitia hiki chuo na umeomba kazi za afya umefanikiwa vipi.

Ahsante
 
Tarakwa

JF-Expert Member
Apr 19, 2017
828
1,000
Kinachotakiwa ni candidate registration number na siyo college registration number
 
emmarki

Senior Member
Nov 22, 2012
193
250
Kinachotakiwa ni candidate registration number na siyo college registration number
Kwenye list ya vyuo ile sehemu ya kujaza chuo Uol haipo, na ispokuwepo kwenye machaguo hata kwenye kujaza kozi inakataa. Wewe umepitia hiki chuo? ili nijue we umefanya nini ukafanikiwa.
 
Tarakwa

JF-Expert Member
Apr 19, 2017
828
1,000
Kwenye list ya vyuo ile sehemu ya kujaza chuo Uol haipo, na ispokuwepo kwenye machaguo hata kwenye kujaza kozi inakataa. Wewe umepitia hiki chuo? ili nijue we umefanya nini ukafanikiwa.
Hapana mkuu. Uelewa wangu umeishia hapo
 
JamaaFlani

Member
Apr 30, 2013
36
125
Katika kuomba kazi zilizotangazwa na Tamisemi kuna kipengele cha kujaza namba ya usajili wa chuo. Mhusika alisoma chuo cha Tumaini University-Iringa baadaye chuo kikajitegemea kikawa University of Iringa (Uol).

Changamoto kwenye machaguo hakipo, naomba kama umepitia hiki chuo na umeomba kazi za afya umefanikiwa vipi.

Ahsante
Chuo Kipo kwenye List, Kipo Mwishoni Kabisa, Tizama kwa Umakini... Mimi nimeomba na chuo kilikuwepo na bado kipo
 
JamaaFlani

Member
Apr 30, 2013
36
125
kipo cha code UNIV university of Iringa. natafuta chenye Code UoL course ya m/jamii
Kuna University of Iringa Moja tu Nchi Hii, wao TAMISEMI wamekipa chuo Abbreviation Hiyo ya UNIV but ndiyo University of Iringa... Mind You UoI ni Abbreviation siyo Code... Apply, kabla ya deadline, hicho ndo Chuo Kikuu cha Iringa
 
JamaaFlani

Member
Apr 30, 2013
36
125
sehemu ya registration number ni namba ya candidate au ya chuo. nimetafuta online nimepata hii CR1/030. we uliweka ipi
we aukuwa na registration number wakati unasoma Chuo? unweka reg. number yako wakati unasoma hiyo certificate/diploma/degree/masters... sasa kama kujaza taarifa ndogondogo hizo unakwama kazi utaiweza kweli?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom