TAMISEMI wameshaanza dili ajira ya ualimu

saigilomagema

JF-Expert Member
Jun 5, 2015
4,091
6,100
Jamani watanzania wenzangu poleni na majukumu ya siku nzima ya leo. KM mnavyoweza kukumbuka ya kuwa ajira mpya zaidi ya elfu 6 zimetangazwa. Nimejaribu kuingia kwenye mfumo wa maombi ya ajira nimekwama mwisho.

Nimekuta zile command tatu za tengeneza akaunti, hifahdi na jisajili ziko dis-abled, huwezi kutengeneza akaunti ndio mwisho wako. Tusaidieni ni nini kinatengenezwa? Pili kwanini serikali isitumie utaratibu aliokuwa akiutumia mzee Kikwete? Kwanini majina yasiwe yanachukuliwa chuoni moja kwa moja. Maana watanzania wana roho mbaya hasa TAMISEMI.

Serikali ingerudia ule utaratibu wa Kikwete kuchukua majina chuoni. Vinginevyo ndugu zangu hasa tuliosoma arts tusahau ajira serikalini na huyu mama yetu anavyoonesha ulegevu sijui tutaishia wapi. Mzee JK anaijua siasa anawafahamu watumishi wa umma ni walarushwa wenye roho mbaya.
 
Walimu wa siku hizi ni walegevu na wakata tamaa mapema sana...zamani walimu wa ndo walikuwa watu wa mwisho kukata tamaa.
 
Back
Top Bottom