TAMISEMI iingilie kati suala la ajira mpya za Walimu. Kinachoendelea ni undugu, rushwa na udanganyifu

Standards Person

JF-Expert Member
Apr 22, 2021
673
859
Ndani ya siku hizi mbili imesemekana eti walimu waliokuwa wanajitolea katika shule mbalimbali za Serikali ndio watapewa kipaumbele kwenye ajira. Hivyo majina ya watu hao yametumwa Tamisemi.

Ukweli halisi ni kwamba walimu waliojitolea kwa mwaka mzima hawafiki hata 1% ya waajiriwa mia sita wa kuziba nafasi hizo.

Kinachoendelea ni undugu, rushwa na udanganyifu. Waratibu elimu na wakuu wa shule wasiokuwa waadilifu wamekuwa wapiga dili.

Tamisemi tumieni mifumo rasmi achaneni na hao wapiga dili.

Ndugu Katibu Mkuu Tamisemi tafuta namna sahihi ya kutatua hiyo changamoto.
 
Ajira idara ya elimu hainaga rushwa jmn.tunajua mko wengi hivyo vumilieni kila mmoja atapata kulingana na sifa zake kitaaluma.kipaumbele namba one,waliokaa mtaani muda mrefu zaidi.
 
Kwani Mbowe naye anasemaje kuhusu hili??
 
Ajira idara ya elimu hainaga rushwa jmn.tunajua mko wengi hivyo vumilieni kila mmoja atapata kulingana na sifa zake kitaaluma.kipaumbele namba one,waliokaa mtaani muda mrefu zaidi.
Kwani walioajiriwa hawakai mtaani?
 
Back
Top Bottom