TAMISEMI ongezeni category ya Ustawi wa jamii ,wengi wanalia maombi yao yanakwama.

Course Coordinator

JF-Expert Member
Jul 27, 2019
1,681
3,065
Kwenu TAMISEMI.
Waombaji wa ajira wanahangaika kuwa mfumo wa kujisajili na ajira hasa upande wa Ustawi wa jamii unawakataa kwa sababu option iliyo ni ya Health (Bachelor degre ,diploma,advanced dimploma na certificate).
Kwenye NTA level mmeeka level 7 pekee wakati kuna vyuo vinatoa NTA level 8.

Sasa ukija kuweka mwaka uliomaliza ili uendelee inakwambia information not found,sababu hizo zinakuja kwa vile kwenye ku-add education infemation mme specify category ya afya wakati muombaji mwanzoni ameeka kazi anoyoomba ni Ustawi wa jamii.
Hivo kupitia andiko hili naimani mtarekebisha hapo ,naelewa mmeeka namba ya huduma kwa wateja ila waombaji wengi wanalalamika sana simu haipokelewi.
Wahusika mfanyie kazi hili mapema wadogo zetu waombe kazi jamani.
 
Yule Dada Ummy Mwalimu ni ntu nsikivu sana, suala lako lazima alifanyie kazi ASAP
 
Back
Top Bottom