Nimeona heading ya salamu kutoka ubalozi wa marekani Tanzania eti maendeleo siyo ya vitu bali ya watu.
Kwanza ni waulize.je ni kazi yenu kujiendesha kapeni ya urais katika nchi mnayowakirisha?
Pili tangia lini mnatupangia cha kufanya?
Mlipowateka babu zetu mkawapeleka kwenu mliyushirikisha maamzi hayo ya kipumbavu?
Maendeleo ya Vitu
Je kwenu hamna ndege?
Kwenu hamna barabara za juu ?kwenu hamna barabara za njia nani na kuendelea?
Kwenu hamna hospital za kimataifa?
Kwenu hamna umeme wa bei nafu?
Kwenu mnalima mashamba kwa kutumia jembe na panga kama tufanyavyo sisi nchi maskini?
Kuna hamna meli kubwa za uvuvi?
Kwenu hamna technologia iliyoendelea?
Kwenu hamna vifaa vya Hatari vya kivita mnavyotumia kuwanyayasia nchi maskini ?
Nauliza tena kama kwenu hivyo vipo kwenu hayo ni maendeleo ya vitu,watu au maendeleo ya nyani?
Unajua mnaona wivu mkubwa mnapoona JPM anaibadirisha kwa kazi ya ajabu sana.mmeenda Libya mmeiba mafuta na kuyafanyia condensation ilimje kuyatumia baadaye.
Mnajifanya kuwasaidia nchi maskini kwa kuleta mikondomo, vilainishi,chanjo,uzazi wa mpango .Niwaulize kitu .ni lini mlikuja Tanzania mkasema tunaomba tuwasomeshe watanzania wapate ujuzi kama wa kwetu??
Labda mnawasomesha bibaraka wenu.
Msitupangia cha kufanya,nchi ni yetu si yenu.Tunasoma kwa Jasho letu,tunalima kwa Jasho letu na tunajiendesha kwa Jasho letu.
By the way .tunaomba itusaidie na kuinvest kwa watu.sisi tunaweka misingi imara ya uchumi wetu kama walivyofanya huko kwao.full stop.
====
“Maendeleo ni watu, si vitu” – Julius Nyerere
Katika Siku ya #MwalimuNyerere, Ubalozi wa Marekani unaungana na Watanzania wote kumkumbuka na kumuenzi Baba wa Taifa. Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu.