Poleni sana Taifa Stars

Poleni sana Taifa Stars kwa kufungwa na timu ya Taifa ya Burundi lakini haingii akilini kweli Tanzania yenye takriban watu 55 miilioni kushindwa na nchi yenye watu 6 millioni?. Kweli timu yetu imekuwa kichwa cha mwenda wazimu.
Kwa logic yako China na India zenye watu Bilioni 1 plus wanapaswa wawe mabingwa wa michezo yote duniani !!
 
Poleni sana Taifa Stars kwa kufungwa na timu ya Taifa ya Burundi lakini haingii akilini kweli Tanzania yenye takriban watu 55 miilioni kushindwa na nchi yenye watu 6 millioni?. Kweli timu yetu imekuwa kichwa cha mwenda wazimu.
Usipojipamga na ukaleta siasa kwenye mpira utapigwa tuu
 
hakuna kupindisha maneno, tatizo kubwa ni machezaji ya simba, yaani nidhamu mbovu mbovu, hayawezi kujituma uwanjani yaani yamezoea kununuliwa mechi ndiyo yafunge kirahisi rahisi, alafu kocha ndiyo ameyajaza kwenye tim, yanakosa magoli ya wai kabisaa, pambaf kabisa yanaharibu na kunajisi kabisa tim ya taifa ni afadhali hata tungewaleta mbarali united wachee hii mechi na si simbaa kisa tff ni ya kwaooo,...……………………….yaani natamani nikate karia ngumi ya puaa ili akili zimrudi
 
Tatizo ligi yenu inachezwa na ccm yaani mechi inahairishwa sababu tu kuna mtu amekufa,ligi inawachezaji wasiopungua 100 wanateuliwa wa ccm tu yaani Simba na Yanga ,ligi yenyewe marefa wanaagizwa Simba na Yanga lazima zishinde ,halafu leo mnakuja kushangaa kufungwa tena leo amekuja mtu ili apate kura zenu kupitia hilo litimu ,bado haitoshi uwanja wenyewe juzi umechezewa kanga moko,kondom zimezagaa uwanja wote ,mwisho kabisa hakuna nchi iliyofanikiwa kwa kuchanganya mpira na siasa
 
Poleni sana Taifa Stars kwa kufungwa na timu ya Taifa ya Burundi lakini haingii akilini kweli Tanzania yenye takriban watu 55 miilioni kushindwa na nchi yenye watu 6 millioni?. Kweli timu yetu imekuwa kichwa cha mwenda wazimu.
Tanzania akuna mpiraa
 
Back
Top Bottom