The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.
Juzi hapa China ilikuta kwamba baadhi ya mifuko ya kuku na kamba ilikutwa ina wadudu wa Corona (Covid-19). KIlichofuata ni kwamba serikali ya China ilianza kujiuliza maswali mengi kuhusu jinsi gani hao wadudu waliingia kwenye kuku na kamba ambavyo viliagizwa kutoka nchi ya Brazil.
China...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi kuhamasisha uzalendo kwa taifa letu kupitia makala elimishi hizi za " Kwa Maslahi ya Taifa"
Swali katika mada yangu ya leo ni katika kuwapata wagombea wa CCM, Je, vikao vya uteuzi vya CCM, vitazingatia tuu matokeo ya kura za maoni, ambayo...
HOTUBA YA MHE DK AUGUSTINO LYATONGA MREMA-VUNJO
Ndg Wanavunjo na Watanzania kwa Ujumla, Mimi Augustino Lyatonga Mrema nimehudumu Serikalini kwa awamu zote tano,Leo naomba kusema toka ndani ya moyo wangu kwa hakika Sijawahi ona kiongozi Mchapakazi,Mpenda watu na Mwadilifu kama Dk John Pombe...
Vijana Hawa wa kizazi hiki wa CCM Ni tofauti kubwa Sana na vijana wa wakati ule,enzi za akina Mwalimu,Malechela,Kikwete,n.k.
Hawa walikua na hoja kwenye mijadala mbalimbali na hata ya Kimataifa.
Tanzania ikiwakilishwa na vijana wa wakati huo ilikonga nyoyo za washiriki wa makongamano Kimataifa ...
Napenda kuwakumbusha Wana ccm na wapinzani epukeni siasa za kuhujumiana nadhani mnakumbuka yalio tokea Znz na bara miaka ya nyuma wakati ule hapakuwa na teknolojia tunayo SASA.
Vyombo vya usalama jeshi la Wana nchi wa Tanzania na usalama wataifa wa tahadharisheni viongoz wakuu kwamba hili Taifa...
Ndugu zangu,
Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uhai kwa kuiona siku ya leo.
Nikirejea katika ile hadithi ambayo mwl Nyerere aliwahi kuisimulia dhidi ya vijana waliokuwa wanataka kuposa binti mzuri sana aliyekuwa anakaa milimani, njia ya kuelekea nyumbani kwao kulikuwa na bibi...
Kijana huyu baada ya kupata mafanikio kupitia sisi vijana, ghafla ameanza kujisahau. Zaidi ya 90% ya followers wake instagram pamoja na subscribers wake ni wafuasi kindakindaki wa CHADEMA na hilo analijua.
Katika video zinazohusu Siasa, kwa miaka yote zile zenye maudhui ya CHADEMA na viongozi...
Swali langu limetokana na awamu zote za serikali za Tanzania kwanzia Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya sasa.
Serikali zetu zimeshindwa kuwekeza kwenye wananchi wake, hususa kwenye tasnia ya elimu (Aina ya elimu, mitahara ya elimu, mifumo ya elimu, miundo mbinu ya elimu).
Hali hii kupelekea...
Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.
NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa kipimo cha mwaka unapima kiwango cha kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma zote zinazotumiwa na kaya binafsi. Jedwali Namba 1 hapo juu linaonesha kuwa, Mfumuko wa Bei wa Taifa kwamwaka ulioishia mwezi Juni 2020 umebaki kuwa asilimia3.2 kama ilivyokuwa kwa...
Nikiwa kama mwanachama wa muda mrefu naandika kwa masikitiko makubwa sana, mambo yanayofanywa na uongozi wa CCM mkoa wa Tabora wakiongozwa na katibu wa CCM mkoa.
Naamini jukwaa hili ndio njia pekee ya kufikisha malalmiko ambayo yataweza kufika kwa urahisi kwenye uongozi wa CCM Taifa na hatimaye...
Mungu baba , Muumba mbingu na ardhi. Unayetujua sisi sote, mwenye nguvu na mamlaka yote.
Ninaomba toba na rehema kwaajili ya Tanzania na Watanzania.
Mungu tusamehe pale tulipochukiana na tukasahau Utanzania wetu kwasababu za kisiasa, kidini, kikabila na hata kwasababu za kipato.
Mungu...
Maishaa ni safari au wengine husema maisha ni sinema kama Isidingo. Unapitia mengi katika safari ya maisha. Je, ulishawahi kubahatika kuwa na mahusiamo ( serioues relationship) na jamii ya kundi tofauti na lako yaani uwe na mdosi, dodo, au taifa tofauti.
Leta experience yako
Nimejaribu kufuatilia jinsi coverage unavyofanywa na hizi local media zetu kuhusu matukio mbali mbali yanayofanywa na chama tawala CCM, hakika inasikitisha. Hakuna balance kabisa kwenye matukio ya kisiasa kati ya chama tawala na Upinzani.
Hivi vyombo vimeamua kua upande wa Chama Tawala hata...
Kwakuwa kesho ni sikuku ya Nanenane (Public holiday), ofisi za serikali/ umma huwa hazifunguliwa isipokuwa kwa baadhi tu ya ofisi au Taasisi ambazo kulingana na nature ya kazi zao,ofisi zao huwa hazifungwi.
Kwa msingi huo, NEC kesho watafungua ofisi zao?
Au katika ratiba waliyotoa ya...
Tumepata kusikia ndugu Andrew Kisaka (Mkuu wa Kitengo cha Leseni za Mawasiliano TCRA) akibainisha kuwa kuna haja ya watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania waanze kutozwa kiwango fulani cha pesa ili Mamlaka ya TCRA iweze kugharamia huduma ya kudhibiti Maudhui yanayojadiliwa mitandaoni...
#Uchaguzi2020 Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Muttamwega Mgaywa na mgombea mwenza Satia Musa, walipowasili hii leo Agosti 7, 2020, kwenye ofisi za NEC wakiwa peku bila Viatu kwa ajili ya kuchukua fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa TZ.
Mwenyekiti...
Tunapoelekea kipindi cha kampeni tuna tegemea hoja nzito haswa kutoka kwa wagombea wa upinzani kuhusu serikali ya awamu ya tano kushindwa kuweka mifumo ambayo ingewezesha tume huru ya uchaguzi kuwepo. Lazima tufahamu kwamba Tume Huru ya Uchaguzi ni shirika linalo jitegemea pamoja na kuwa na...
Ndugu wa JF, Rais wetu na viongozi wakuu wa kitaifa wamekuwa wakijipambanua kupambana na rushwa na Mkuu wetu amekuwa akitumbua watumishi wa umma na wakandarasi huku na kule
Je, wajumbe wametupa kikosi cha wagombea kinachochukia rushwa au JPM yuko peke yake ?
Kama bila CCM imara taifa...
Wimbo wetu wa Taifa umetokana na wimbo Nkosi Sikeleli Afrika uliotungwa 1897 na Enoch Sontonga (msauzi) kama wimbo wa ANC
Umetoholewa kuwa wimbo wa Taifa wa Zambia, Zimbabwe, Namibia na Tanzania. Sisi wenyewe tumebadili maneno ya wimbo na copyright si yetu 😁
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.