tahadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RC Mtaka: Hali si shwari Dodoma. Wananchi waendelee kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amewataka wakazi wa Dodoma kuchukua hatua za tahadhari dhidi ya ugonjwa wa corona kwa sababu hali si nzuri mkoani humo. Ameyasema hayo leo Jumanne Agosti 3, 2021 wakati akizungumza na askari wa usalama wa barabarani na viongozi wa masoko wa mkoa wa Dodoma...
  2. Ruangwa, Lindi: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Mkoa wa Lindi, leo Jumanne. Amewasisitiza waendelee kuchukua tahadhari na kujikinga na corona. Source : Mwanahalisi twitter ====== My take Imagine waziri mkuu wa nchi anakusanya watu...
  3. V

    SoC01 Ulaghai unaofanywa na baadhi ya vyuo nchini, chukua tahadhari na usitapeliwe

    Vaa viatu vya mzazi/mlezi aliyejibana ili kijana wake apate elimu zaidi huku akiamini kabisa kuwa elimu ni daraja kuelekea mafaniko. Au mfikirie kijana aliyeamua kwa dhati kusoma kwa bidii ili tu kutimiza ndoto yake kupitia elimu. Bahati mbaya sana mwisho wa haya unakuja kuambiwa kuwa kile...
  4. T

    Tunaambiwa na Serikali tuchukue tahadhari ya Corona lakini matukio mengi ya chama na Serikali hayana hiyo tahadhari

    Nimemuona Katibu Mkuu wa CCM anaendelea na mikutano ya hadhara kule Songwe na anakusanya watu wengi tu huku viongozi wakituambia hali ya corona ni mbaya. Je, kuendeleza hii mikutano haiwezi kuwa kitisho kikubwa cha kusambaza hiyo corona? Ni kwanini CCM isiisitishe hii mikutano ili kuonesha...
  5. Siku 60 zijazo Tanzania inaweza kuwa zaidi ya India kwenye suala la COVID-19

    Tanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida. Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi. Pamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya...
  6. Waziri Gwajima: Maambukizi ya COVID-19 yapo, wasiochukua tahadhari waitikie wito

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameshatoa maelekezo kila mtu avae barakoa kwenye mikusanyiko, hivyo watu wachukue tahadhari. “Kasi ya wagonjwa kuendelea kujitokeza na kulazwa kwenye hospitali zetu inaashiria...
  7. Watumishi wote wa Afya katika Mamlaka za viwanja vya ndege kujilinda wenyewe kwa kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya Corona

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe amewaagiza Watumishi wote wa Afya katika Mamlaka za viwanja vya ndege kujilinda wenyewe kwa kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwa kuvaa barakoa, kunawa mikono mara kwa mara kwa sabuni na maji safi tiririka. Dkt. Sichalwe...
  8. Ujumbe wa Tahadhari kutoka Hospitali ya Taifa

    UJUMBE KUTOKA HOSPITALI KUU YA TAIFA Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya [ LUTH ] kwa wanawake wote wawe watoto wachanga, wasichana, mabinti, wanawake, akina mama; saratani ya kizazi imeenea tafadhali epuka kuosha sehemu zako za siri kwa...
  9. Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

    Juzi Rais wa Rwanda katangaza kufunga vyuo na shule kuanzia 01.07.2021. Kenya curfew imekuwa extended for 60 more days Uganda Ligi kuu imelazimishwa kumalizika coz ya Covid. Burundi, India, Brazil na nyingine mambo ni yaleyale. Japan wametangaza WIMBI LA TANO...
  10. Rais Samia: Corona ipo, chukueni tahadhari

    Nawasihi Watanzania wenzangu tuendelee kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Korona (Uviko-19) kama tunavyoelekezwa na wataalamu wetu wa afya. Tunawe mikono kwa maji tiririka na sabuni, tutumie vitakasa mikono, tuvae barakoa na tusigusanegusane. Ugonjwa wa Korona upo.
  11. Hii tahadhari ya Corona haihusu Vyombo vya Usafiri?

    Ni wazi kwa sasa Tanzania imeungana na nchi nyingine katika kufata taratibu zinazoitwa za kuzuia maambukizi ya mlipuko wa corona wimbi la tatu katika jamii. Imekua ni week iliyoanza kwa tahadhari na inaendea kuisha ya matamko ya wimbi la tatu ya Janga hili la Covid-19 kuanzia kwa madaktari na...
  12. J

    Dar: Mkuu wa Mkoa awataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa CORONA

    RC MAKALLA AWATAKA WANANCHI KUCHUKUWA TAHADHARI DHIDI YA CORONA. Kufuatia kuwepo kwa Viashiria vya Mlipuko wa Ugonjwa wa Corona, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla* amewataka Wananchi kuchukuwa tahadhari* na kuziagiza Taasisi na sehemu zote za mikusanyiko kuweka ndoo za Maji na...
  13. Kutahadharisha kuhusu wimbi la tatu la Covid-19 bila kuchukua hatua stahiki ni kumpigia mbuzi gitaa

    Kwa sasa wizara, mahospitali TVs na radio kelele ni kujikinga au kuchukua tahadhari za wimbi la tatu la Covid-19. Lakini tahadhari hizi sioni kama zina maana yeyote kwa mwananchi sababu watu wanaendelea na maisha kama kawaida inasaidia nini? Hutoi takwimu ili watu wajue kuwa mdudu kashaingia...
  14. MUCE yawataka Wanafunzi na Wafanyakazi kuchukua tahadhari za Ugonjwa wa COVID-19

    Kutokana na mlipuko wa tatu wa Ugonjwa wa COVID19 kuripotiwa Mataifa Jirani, Chuo Kikuu Kishirikishi cha Elimu Mkwawa (MUCE) kimewataka Wanafunzi na Wafanyakazi wake kuchukua tahadhari Chuo hicho kimetoa rai ya uvaaji barakoa, unawaji mikono kwa maji tiririka, matumizi ya vitakasa mikono na...
  15. M

    Wizara ya Afya chukueni tahadhari kuhusu COVID-19, Waganda wanateketea

    Kwa ufupi tu leo CNN wameonyesha picha na kuwahoji madaktari nchini Uganda. Watu wanateketea na picha zinaonyeshwa. Jamani inahuzunisha sana. Wizara ya Afya ichukue tahadhari. Mikusanyiko ya watu mipirani, kwenye misiba, harusi, mikusanyiko ya watu kwenye mihadhara ya kidini kama ya makanisa...
  16. Muwaache wanafunzi waliorudi likizo, msiwarubuni kimapenzi

    Wakuu poleni na majukumu ya siku ya leo. Nimekuwa nikifatilia mienendo ya wanafunzi wetu pindi wanapokuwa likizo nikajiridhisha kuwa watoto wengi wanaingizwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume wasio waadilifu. Kipindi hiki kuna wanafunzi waliomaliza Kidato cha Sita mtaani, wapo waliomaliza...
  17. Tahadhari: Mbinu wanayotumia vibaka kufanya uhalifu kwenye sherehe, hasa harusi

    Kwenye Sherehe za harusi na mikusanyiko ya jamii, vibaka sasa wanakwenda kwa Mshehereshaji kutangaza matangazo kama vile "gari yenye usajili namba fulani imezuia njia" Unapotoka kwenda nje ya gari lako unakuta watu wenye bunduki wakijua kuwa una funguo za gari, wanakuamrisha kuendesha gari nje...
  18. Kuna tahadhari za kuongezeka matukio ya ujambazi na unyang'anyi, mamlaka husika zimeshindwa?

    Pasipo kumung'unya maneno Hali ya usalama wa raia na Mali zao imetikiswa kwa kipindi hiki, matukio ya ujambazi, unyang'anyi, ukwapuaji, na ukabaji yameendelea kushamiri sasa licha ya kuwepo na matamko mbali mbali kutoka kwa wenye dhamana na usalama wa raia. Kama halijakukuta Basi fanya simple...
  19. CHADEMA na kutochukua tahadhari ya Corona katika mikutano yake

    Wameendelea kutovaa barakoa. Ni CHADEMA hawahawa walioishinikiza serikali ya awamu ya 5 itoe takwimu za kila siku za wagonjwa wa UVIKO-19. Ni CHADEMA hawahawa walioupinga msimamo wa jemedari Hayati Dkt. Magufuli juu ya kutowekwa lockdown nchi nzima/maeneo yenye msongamano. Kipi kilitarajiwa...
  20. Madaktari waeleza umuhimu wa nywele sehemu za siri

    Madaktari waeleza umuhimu wa nywele sehemu za siri Dar es Salaam. Wataalamu wa afya nchini Tanzania wamesema nywele sehemu za siri hazitakiwi kuondolewa kutokana na umuhimu wake hasa kuzuia bakteria na wadudu mbalimbali kuingia mwilini. Wamesema kulingana na tafiti mbalimbali zilizowahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…