Kirusi Kipya, kama ugonywa ushakupitia dalili zake zi zipi ili wote tujue na kuchukua tahadhari

torosi

JF-Expert Member
Aug 12, 2020
788
1,308
Wanajamvi

Kuna huu ugonjwa ( kirusi kipya ), ambao unasambaa kwa kasi sana Tanzania

Dalili zake ni zipi.? kama ushawahi kupata

Mimi najisikia uchovu sana, kuanzia kichwani mpaka mguuni

Je wewe kama umeumwa, unajisikiaje.? Na kama umepona umetumia dawa gani.?
 
Nimegonga Priton na Panadol ya Tz nimepata nafuu .maana hali ilikuwa tete kwelikweli
 
Inakuja pia kama maumivu ya mwili na mafua/kikohozi......paracetamol au zile za mafua nafikiri zinasaidia kwa wengi, pia nashauri turudi tena kwenye nyungu.
 
Hakuna Omicron Tanzania jamani
IMG_20211215_204336.jpg
 
Baba hamna kirusi kipya.. fua mashuka hayo.. usisahau december hii.. mtu hujawahi fanya general cleaning chumba chako, gari yako.. nguo za kushindia home zile zile.. kwann usiumwe mafua.. fua magozi hayo.
 
Nashukuru sana M/Mungu nimepona jana khari yangu ilikuwa tete mno homa kali maumivu makali ya viungo vya mwili,hedex na kunywa mangi vimenisaidia sana
 
Back
Top Bottom