tahadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Crimea waombwa wachukue tahadhari ya mabomu, maana ukombozi unakuja

    Wananchi walioko Crimea wameagizwa wachukue tahadhari ya mabomu, maana vita vitahamia huko muda usio mrefu na kutakua na umwagikaji wa damu balaa kwenye jitihada za kumfukuzia adui Urusi aliyeingilia nchi ya watu, wanajeshi wa Ukraine wanajitoa mhanga, wanauawa kishujaa kwa ajili ya vizazi vyao...
  2. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchaguzi Kenya: Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya Usalama kwa raia wake

    Wakati Mahakama Kuu ikisubiriwa kutoa uamuzi wa kuidhinisha au kubatilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais Jumatatu Septemba 5, 2022, Ubalozi Marekani umeweka vizuizi vya watu kusafiri kwenye mji wa Kisumu, eneo analotokea Raila Odinga Taarifa ya Ubalozi imenukuliwa ikisema mara kwa mara Kenya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ama kweli najuta, sitasahau hii tarehe 20/08/2022

    Sitasahau, imetokea 20.08.2022 somewhere. Demu nimnywesha bia tukaenda lodge, sijafanya chochote nae katoa bonge la kojo hapohapo bed. Nikazira, nikajitenga kwa chini, shortly baada ya lisaa nasikia pwaah nauliza umejisaidia au umejamba? Kustuka kaamka kaenda chini kaongeza kujisaidia, kahamia...
  4. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Vinywaji aina Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara!

    Vinywaji kama Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara! Si rahisi kuamini kwa kuwa ni kinywaji kilichozoeleka karibu kila dunia nzima na anayekikosoa anatakiwa awe na rundo la hoja kushawishi watumiaji kudhibiti unywaji. Lakini...
  5. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa madereva wa barabara ya Kilosa - Dumila

    Kwa watumiaji wa barabara ya Kilosa - Dumila ni muhimu kuwa makini hasa wakati wa usiku maeneo ya KITETE, maana kuna magari yanayobeba miwa yanapaki barabarani bila Alama zenye kuakisi. Kinga ni bora kuliko tiba
  6. BIN BOR

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya usalama Kilimanjaro Bus

    Kilimanjaro Express; huu sio mkanda wa suruali
  7. The Clinical Pharmacist

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa wa nne aliyepona UKIMWI

    Habari gani ndugu zangu wanajamvi la Habari Mchanganyiko. Habari zetu zinaanzia huko carlfonia, Marekani ambako mgonjwa wa HIV ambaye ametumia dawa za kufubaza makali ya virusi vya UKIMWI, almaarufu kama ARV, kwa muda mrefu takribani miaka 30 sasa amekutwa hana Virusi hivyo. Hiyo imetokea...
  8. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Hatari: UN yatoa tahadhari kuhusu UKIMWI

    Umoja wa Mataifa umesema jana kasi ya kupunguka kwa AIDS imepunguka. KUNDI LA MSINGI LILILOATHIRIWA Nchini Marekani, mashoga wa kiume wamejumuisha zaidi ya robo tatu ya visa vyote vya UKIMWI. Asilimia ya mashoga kati ya jumla ya wagonjwa wote wa UKIMWI imebakia kluwa vile vile. Ulaya, mashoga...
  9. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Tahadhari hawa TALA nimatapeli ......

    Hawa TALA bado wanaendelea kuwaibia watu tena kwakutumia clip za wasanii maarufu ...baya zaidi wana dai pesa utatumiwa online ... mamlaka husika haiwezi kamata hawa watu?? ...mbona vitu vingine ni rahisi kuvifuatilia mfano mikutano ya ndani ya vyama pinzani kwanini jambo ovu kama hili...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya tahadhari na ya haraka kwà RTO wa Morogoro

    Kuna boda boda wanapanga kufanya mashindano na wamewekeana dau la laki moja. Ishu iko hivi wamepanga kukimbia bila kufunga break at a maximum speed a motorbike may afford kituo cha kuanzia kiko daraja la Msamvu na mwisho ni Kingolwira. Atakaewahi kufika na kugeuka atapata laki moja na wameweka...
  11. Josey j

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuwa makini na mtu anayeomba simu yako atumie

    Habari ndgu wana jamii forums, Niende moja kwa moja kwenye mada kama nlivyoanza kutoa tahadhari Kwa ufupi ni hivi, usimpe simu janja yako mtu usiemfaham aitumie kwa namna yoyote ile la sivyo ikitokea unataka kumpa basi hakikisha unakua makini kwa kile afanyacho, Je, unajua mtu anaweza kubeba...
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Ipo siku hewa tunayovuta tutailipia kodi ili ipatikane pesa ya kulipa mikopo chechefu

    Hii mikopo tunayobugia kwa pupa hivi tutakuja kuilipa kupitia puani. Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF Muda wa kulipa ukifika, tunaweza hata kuambiwa tulipie hii hewa tunayovuta, maana ni rasilimali ya serikali na tulipe kama tunavyolipa kodi ya ardhi. Unapimwa uzito wako kisha...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Jiepushe na utapeli wa huu ujumbe

    Kuna message isiyofahamika inazunguka mitandaoni. Inasomeka: "SELCOM OTP 94DDF O331LO Imethibitishwa umepokea zawadi Tsh 6,000,000.00/= Kutokana na TUZO P'OINT zako. V@t 18% . Piga simu no 0659365488 uweze kupokea bonus hiyo.
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Upepo mkali na mawimbi makubwa katika bahari ya Hindi - Juni 2 na Juni 3, 2022

  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Utapeli wa Zimbabwe wa kubadili mtu aliyelala na mke wa mtu aonekane ana miguu ya ng'ombe na mkia, umefika Tanzania

    Kinachofanyika ni kwamba mtu anafukiwa miguu kwenye shimo ama anaweza kuwa ni kilema hana miguu, wanaiweka miguu ya ng'ombe kwenye suruali halafu kwa namna wanayojua wenyewe inaunganishwa na na kiwili wili. Kuhusu huo mkia unacheza cheza kila mara, kuna mota inafungwa ama kuna uzi umepita...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Hatuna mgojwa wa Monkeypox nchini

    Kutokana na taarifa za kuenea kwa ugonjwa unaosababishwa na #MonkeyPoxVirus, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa hadi sasa hakuna kisa kilichorekodiwa cha mgonjwa wa virusi hivyo nchini. - Aidha Wizara imesema inaendelea kuchukua hatua stahiki kukabiliana na ugonjwa huo kama...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tahadhari na tulia kidogo. Kazi zako Ikulu anazifanya nani?

    Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa. Mama is on the move daily. Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro. Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule. Kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya...
  18. Rurakha

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa mnaotumia mfumo wa malipo wa Selcom Paytech Plc

    Salam kwanza kabisa napenda kushare na nyinyi uzoefu wangu kuhusu mfumo wa malipo wa Selcom Mimi ni Wakala wa benk na mitandao ya simu huwa ninafanya miamala mingi ya malipo kama tra ada ya vyuo vya serikali kwa kupitia mfumo wa malipo wa selcom Sasa nachotaka kuwatahadharisha ni kwamba huu...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari watumia pombe kali!

    Mwaka jana, wakati kama huu (siku kuu mfululizo), nilimpoteza rafiki yangu kipenzi. Alipenda sana pombe kali, bia alikuwa hataki. Kula chakula alikuwa mvivu. Sasa alianza na pombe Kali, Alhamisi jioni, (hapo ni mpaka masaa marefu), Ijumaa, Jumamosi, Jumapili, Jumatatu! Sasa Jumanne tumefika...
  20. Ndebile

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Usalama Barabarani Jiji Mwanza chukua Tahadhali Mapema

    Hizi gari ndogo za abiria aina ya Toyota Hiace za njia ya Mwaloni - Shibula kupitia Kiseke PPF ni hatari na zitamaliza watu....mwendo Kasi, madereva na kondakta wote wanakuwa wamelewa kuanzia asubuhi, gari ni mbovu Sana (ni Hiace mbili tu zenye unafuu) njia hii hakuna trafiki hata mmoja...
Back
Top Bottom