tafsiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati

    Watu wanasema nafanya kampeni mapema. Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini, inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati. Na kama wakisema hii ni kampeni kabla ya wakati, basi wasisahau kuwa Rais Magufuli amekuwa anafanya kampeni kwa miaka mi5 sasa.
  2. N

    Wadau, vazi la dera linafaa kwa mpenzi/mke wa mtu?

    Mtu wangu anapenda sana vazi la dera; akitoka ni dera tu na mara chache ni sketi au gauni.....anasema kanga au kitenge haviwezi kuvaa kwa maana hajavizoea na huwa vinampa shida sana anapovaa safarini ikiwemo kutomshika vizuri hali inayopelekea kutaka kumvuka hivyo kumkosesha utulivu. Katika...
  3. Tajiri Tanzanite

    Watalaam wa kiroho naomba tafsiri ya jambo hili

    Hapo vipi Kuna kitu cha ajabu huwa kinanitokea kwa muda mrefu sasa, nikawa nachukulia kama jambo la kawaida ila sasa naona..sio jambo la kawaida kabisa. Iko hivi kipindi nasoma kuanzia secondary mpaka university, nikichua daftari au paper kusoma mara mara japo sio kila siku inajitokeza kitu...
  4. P

    Jesca Cox na Nick Vujicic: TAFSIRI ya ubunifu (Creativity), Wanafanya vitu vya kawaida katika hali isiyokuwa ya kawaida.

    Leo nimepitia vitabu tofauti vikizungumzia maisha na mafanikio ya Nick Vujicic, mlemavu asiyekuwa na mikono Wala miguu na Jesca Cox mwenye ulemavu pia wa mikono( Picha zao nimeambatanisha mwisho wa hili andiko) Nick Vujicic, Hana mikono Wala miguu lakini ana uwezo wa kuogelea, kuchora na...
  5. Return Of Undertaker

    Tafsiri ya uchumi mdogo wa kati Tanzania: Kwa sasa Mtanzania kwa mwezi ana kipato cha shilingi 206,000/- kwa mwezi sawa na shilingi 6,900 kwa siku

    Tanzania kuorodheshwa kati ya nchi zenye kipato kidogo cha kati kwa kutumia taarifa za mwaka 2019 ni kuonyesha kuwa kipato cha Mtanzania kimekuwa kati ya dola 1,036 hadi dola 3,045 kwa mwaka kutokana na ripoti ya uchumi wa nchi kwa mwaka 2019. Hii inamaana kuwa sasa mtanzania ana uwezo wa...
  6. B

    Hii ina tafsiri gani kwetu sijaelewa

  7. Sky Eclat

    Kipanya: Tafsiri ya ugonjwa wa corona katika sekta ya utalii

    Utalii sasa hivi umekuwa haramu kwa wengi
  8. Roving Journalist

    COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

    MWENENDO WA UGONJWA WA CORONA NCHINI Wizara ya Afya inathibitisha uwepo wa wagonjwa wapya 29 wa COVID-19 Tanzania bara. Hadi sasa Tanzania idadi ya Wagonjwa imefikia 88 na wote wanaendelea na matibabu chini ya uangalizi wa wataalam afya. Wagonjwa wapya leo ni 29 kwa bara na 6 kwa Zanzibar.
  9. msemakweli2

    Unapoambiwa "baby, vyote ni vyako" nini tafsiri yake?

    Kuna kitu kinanitatiza kidogo kwa wale wazoefu, nadhani wengi wetu tunapokuwa katikati ya faragha kuna haka kamsemo kanatokaga upande wa pili Baby chukua vyote ni vyako. Sasa ni kitafsiri neno "vyote" lina wingi ndani yake, na tafsiri hasa ni kipi na kipi naambiwa ni vyangu? Maana unaweza...
  10. baharia 1

    Naomba tafsiri ya ndoto ya kuokota mayai

    Habar wakuu, leo nimeota karibu na ninapoishi nyumba karibia na kwa jirani yangu kuna sehemu ambayo kuna majani majani pamejificha, sasa hapo kuna mayai mengi kweli na mengine hadi yamechafuka na udongo, ya muda mrefu sana mimi nimeenda nikawa nayachukua naweka kwenye chombo ili nikapike nile...
  11. Black7

    Naomba Tafsiri ya ndoto hii

    Jamani mimi nimeota ndoto "namuingilia msichana, ambae nina urafiki nae wa kawaida tu & wakat nafanya ivyo kulikuwa na kama vitu vyeupe vinatoka kwenye uke wake but mim sikujali nikawa naendelea tu na yng na nlipomaliza nkamuingilia pia na nyuma bila uoga wala hofu" .. Hii ndoto imenitia hofu...
Back
Top Bottom