tabora

  1. Ngamanya Kitangalala

    JamiiForums Tanzania Ni mabadiliko sahihi yanayoenda kuboresha utendaji ndani ya mikoa hiyo

    Ni mabadiliko sahihi yanayoenda kuboresha utendaji wa kazi ndani ya mikoa yao na serikalini kwa ujumla Mheshimiwa mkuu wa Mkoa Albert Chalamila, mara kadhaa amekuwa ni mtu wa kutoa kauli tata sana kwa lugha nyepesi ni mropokaji, kwa nafasi yake kama mkuu wa mkoa sio busara sana kuwa mropokaji...
  2. v0il0r

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Asali ya jumla inauzwa

    .
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aongoza Mkutano Mkuu wa Jimbo la Tabora Mjini

    Jimbo la Tabora Mjini ni miongoni mwa Majimbo ambayo yametoa wasaliti wa Covid 19 , Hawa Mwaifunga anatokea Jimbo hili , hivyo ni lazima kuwekwe mikakati maalum kwenye jimbo hili , na ndio maana Mwamba Mwenyewe ameombwa kuongoza kikao hiki na amekubali
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mamalishe wamzuia Mbowe kwa muda, waomba kupiga naye picha ya Ukumbusho

    Hii ndiyo Taarifa mpya kutoka Tabora , Kwamba Mwamba Mbowe akiwa katika harakati za Operesheni Haki huko Kanda ya Magharibi, amevamiwa na Kundi la Mama Lishe huku wakimtaka kupiga nao picha ya ukumbusho ndiyo aendelee na Operesheni zake, ambapo Mwamba alisalimu amri na kupiga picha na wamama hao...
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tabora: Freeman Mbowe kuongoza Oparesheni Haki Kanda ya Magharibi

    Maandalizi ya kikao cha Mkutano Mkuu wa Jimbo la Tabora Mjini yamekamilika, ambapo leo Juni 06, 2021 mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe ataongoza kikao hicho. Hii ikiwa ni mwendelezo wa Oparesheni Haki Kanda ya Magharibi.
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe asimikwa kuwa Mtemi Isike huko Tabora

    Hii ni baada ya Wazee wa Tabora kumfananisha na Wapigania Uhuru wa enzi zile za kumng'oa Mkoloni , jambo hili lina maana kubwa sana kwa mwanasiasa yeyote. Mbowe yuko Mkoani Tabora kama sehemu ya Ziara ya Kanda ya Magharibi katika Mkakati wa Chadema wa Operesheni haki , ambayo inapigania Katiba...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Tabora wapokea vitambulisho vya Mjasiriamali 69,000, mkuu wa mkoa asema vitaisha vyote

    Mkuu wa mkoa wa Tabora amesema mkoa wake umepokea vitambulisho vya mjasiriamali 69,000 na ameahidi vyote vitachukuliwa na wajasiriamali. RC amesema mwaka juzi walipewa vitambulisho 71,000 vikaisha vyote wakawa wa kwanza kitaifa na mwaka jana walipokea vitambulisho 65,000 vikaisha wakawa tena wa...
  8. rosemarie

    JamiiForums Tanzania Kwanini aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri hashutumiwi?

    Naomba kujua siri ya huyu mtu aliyekuwa mkuu wa Mkoa Tabora. Mbona alikuwa tishio sana kutisha wananchi na kuongea hovyo lakini hashutumiwi kwa lolote? Huyu ni mtu wa aina gani?
  9. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mwanaume amuua Mke wake na kuhukumiwa miaka minne jela. Hii ni mara ya pili kuua Mke na kuhukumiwa

    AFUNGWA MIAKA MINNE KWA KUMUUA MKEWE: Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imemuhukumu kutumikia kifungo cha kwenda jela miaka minne Lameck Essau Meza mkazi wa Sikonge mwenye umri wa miaka 38 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua bila kukusudia mkewe Dafroza Paul. Akisoma hukumu hiyo Jaji...
  10. malogi1976

    JamiiForums Tanzania Kwa TRA Tabora: Nililipa SDL mtandaoni lakini kwa sasa inaniambia payments of tax overdue

    Ninahitaji ushauri, Mimi ni mfanyabiashara hapa Tabora na huwa nalipa SDL ya wafanyakazi bila kuwachelewesha malipo ya mwezi. Tulivyoenda lipa SDL ya mwezi wa kwanza tukalipa na nikaambiwa malipo ya mwezi unaofuata tutalipa online tumefanya hivyo ila sasa ukiingia online ninaona imeandikwa...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kisa cha ''wachawi watatu'' katika Macbeth ndani ya ukumbi wa mjadala wa kura tatu Tabora 1958

    Leo FB imenirushia kumbukumbu ya mkutano wa Tabora kuhusu Uchaguzi wa Kura Tatu wa mwaka wa 1958. Uchaguzi huu nimeueleza kwa kirefu katika kitabu cha Abdul Sykes na katika mihadhara kadhaa niliyopata kufanya. Vilevile nimeandika kitabu ''Uamuzi wa Busara,'' (2007) kuhusu Kura Tatu. Leo...
  12. Private investigator

    JamiiForums Tanzania Basi la AN Classic latelekeza abiria eneo la Machimbo Sikonge, abiria wanahitaji msaada

    Basi la AN Classic toka Tabora -Mbeya limetelekeza abiria toka juzi eneo la Machimbo. Abiria wameishiwa fedha na hakuna msaada mpaka muda huu. Wamejaribu kumcheki RPC na Mkuu wa Kituo Machimbo lakini hakuna lililofanyika.
  13. kibovu

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kikali cha bata Tabora

    Habari wadau, Leo niko tabora mboka manyema kikazi Naombeni mnijulishe kiwanja chenye watoto wakali kinachojaza hapa Tabora. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Makanisa Tabora yaungana kuliombea Taifa na mchakato wa kumpata Makamu wa Rais

    Maaskofu, Wachungaji, Mapadre na waumini wa makanisa mbalimbali Mkoani Tabora wamefanya ibada ya pamoja kuliombea taifa ili amani, umoja, mshikamano na upendo viendelee kudumishwa miongoni mwa Watanzania wote. Akizungumza katika ibada hiyo iliyofanyikia katika kanisa la KKKT-Tabora mjini Katibu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tabora: Sakata la Kanisa lililojengwa kuziba barabara na kupiga muziki saa 24 kumbe ni genge la wahuni ( 5 )

    Kufuatia ripoti za kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 huko kata ya Kitete , mtaa wa Kariakoo Tabora imebainika kuwa kinachoitwa kanisa ni genge la wahuni vijana watupu wasiozidi miaka ishirini na tano ndio wanaoendesha uhuni huo 1. Kinachodaia kanisa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 za siku na kujengwa kuziba barabara Tabora lapigwa stop kuendelea na ujenzi

    Sakata la kanisa liliripotiwa kupiga muziki masaa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lapigwa Stop kuendelea na ujenzi na huduma ya kanisa. Notice ya kulisimamisha hii hapa, mchungaji Jackson aendelea na kiburi achana notice iliyowekwa mlangoni pa kanisa.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza

    Wiki iliyopita ililipotiwa hapa jukwaani kuhusu wakazi wa Kariakoo Tabora kata ya Kitete wakilalamikia kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 Sakata limeingia sura mpya baada mchungaji Jackson wa kanisa hilo kuonyesha jeuri na kuwaweka viongozi wote wa...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tabora: Wafanyakazi wa TANESCO wafikishwa Mahakamani kwa uhujumu Uchumi

    Aliyekuwa Meneja wa Tanesco Mkoa wa Tabora, Mohamed Abdallah D’Souza na aliyekuwa Mhandisi Mwandamizi wa Tanesco, Melkiad Msigwa wamepandishwa kizimbani kwa makosa saba, likiwemo la ujuhumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya Sh 60,066,382.40. Wamefikishwa mahakamani na Taasisi ya Kuzuia...
  19. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Alichokisema Rais Magufuli Tabora ni kweli; majungu watu hawafanyi kazi. Kanisa lajengwa katikati ya barabara, lapiga muziki masaa 24

    Nikiwa Tabora ambapo nilikwenda kwenye msiba wa rafiki yangu aliyefiwa na mama yake mwezi huu. Nilikutana na kituko cha mwaka ambapo tukiwa hapo msibani ulisikika muziki mkubwa sana kiasi ambacho huwezi kuongea na mtu jirani yako, huwezi kupokea simu au kusikiliza simu. Nilipouliza nikaambiwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Tabora: Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Rage, Prof Kapuya, mwanaspoti Maulidi Kitenge iponyeni CCM!

    Nichukue fursa hii kuwaomba tena sana wanasiasa nguli, wabobezi na maarufu sana hapo Tabora muiponye CCM. Niwataje kwa uchache Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Aden Rage, Athuman Mfutakamba, Prof Kapuya, Maulid Kitenge, Hussein Bashe, Fundikira, Ntimizi nk....nk. Tabora ndio chimbuko la...
Back
Top Bottom