tabora

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Tabora ameagiza kushushwa vyeo kwa Walimu Wakuu wa shule ambazo zimekuwa zikifanya vibaya katika mitihani

    MKUU wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Philemon Sengati, ameagiza kushushwa vyeo kwa walimu wakuu wa shule ambazo zimekuwa zikifanya vibaya katika matokeo ya mitihani. Alitoa kauli wilayani Urambo wakati wa mkutano na viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo kwenye ziara ya kikazi. Dkt...
  2. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge jimbo la Tabora Mjini kupitia CUF, Mirambo Camill akabidhiwa fomu ya uteuzi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora Mjini Mhe. Mirambo Camill amekabidhiwa fomu ya uteuzi na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tabora Mjini mapema leo
  3. KIDUDU

    JamiiForums Tanzania Polisi Tabora iangaliwe

    Wakuu salaaam. Nimepita Tabora nikakaa kama wiki moja na nusu. Nimekuta changamoto kubwa ya Polisi wale wanaotembea na pikipiki maarufu kama tigo, wanakamata pikipiki kila sehemu hata kama imepaki, yaani wanatafuta makosa kama huna kabisa watakuuliza barakoa ipo wapi. imekuwa ni kwero kubwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Halmashauri Kuu ya Taifa Chama cha Mapinduzi, tunaomba mnusuru mpasuko unaoletwa na Viongozi wa CCM Mkoa wa Tabora

    Nikiwa kama mwanachama wa muda mrefu naandika kwa masikitiko makubwa sana, mambo yanayofanywa na uongozi wa CCM mkoa wa Tabora wakiongozwa na katibu wa CCM mkoa. Naamini jukwaa hili ndio njia pekee ya kufikisha malalmiko ambayo yataweza kufika kwa urahisi kwenye uongozi wa CCM Taifa na hatimaye...
  5. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Logistics & Marketing Coordinator at Pyxus International - Tabora

    Logistics & Marketing Coordinator Company: Pyxus International, of which Pyxus Agriculture Tanzania Limited (PAT) is a subsidiary, is a global agricultural company united behind a common purpose – to transform people’s lives so that together we can grow a better world. With 145 years’...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mwanamke afikishwa Mahakamani kwa kuwaingiza vidole sehemu za siri watoto wa majirani zake

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Irene James mwenye miaka 36 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Tabora kwa tuhuma za kuwafanyia unyanyasaji wa kingono watoto saba (7) wa kike wenye umri kati ya miaka Minne (4) hadi Saba (7) ambao ni watoto wa majirani zake. Akisoma maelezo ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaapisha viongozi mbalimbali wa Mikoa na Wilaya aliowateua hivi karibuni

    Rais Magufuli leo anawaapisha wakuu wa mikoa ya Tabora na Kigoma, Ikulu jijini Dodoma. Kadhalika Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri watakula viapo vya maadili. Tukio hilo litarushwa mubashara na TBC na Channel ten Up dates; === Leo Julai 6, 2020, Rais MagufuliJP anatarajia...
  8. Financial Freedom

    JamiiForums Tanzania Mwanamke huyu wa Tabora ana nini?

    Habari za muda huu Wakuu wa MMU, naandika kwa huzuni uzi huu kisa ni hiki. Kaka wa rafiki yangu ni mwanajeshi kituo cha kazi ni Tabora, hana maelewano na ndugu zake yaani rafiki yangu pia na wazazi wake kisa ni mke wake waliyezaa nae watoto wawili. Tangu ahamishiwe kituo cha kazi Tabora kutoka...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tabora: Serikali kuanza msako kwa wasio na vitambulisho vya ujasiriamali

    Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametoa onyo kwa wajasiliamali watakaokaidi kuchukua vitambulisho vya wajasiliamali wasije wakalalamika kufuatia hatua zitakazochukuliwa na Serikali wakati wa kufanya msako wa vitambulisho hivyo kwani watakuwa wamekiuka agizo halali la Serikali. Mwanri ametoa...
  10. The Transporter

    JamiiForums Tanzania Nilisafiri kwa pikipiki Dar mpaka Tabora

    Nakumbuka mwaka 2015 Mwezi 9 baada ya kujichanga changa kidogo nikawa nimesave pesa kiasi nikasema hizi hizi Boxer BM 150 wakati huo ndio zimeanza kushika kasi nikaenda niaenda kuinunua pale mitaa ya Tazara. Kwa mjini hapa matumizi yake nilikiwa naogopa kidogo maana wakati huo kulikuwa na...
  11. SAID kisa

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Milango inauzwa Tabora

    Mlango unauzwa TSH 300000 wasiliana nasi kupitia 0689344774 au WhatsApp number 0656783090. TUNAPATIKANA TABORA pia tunachukua Oda kutoka sehem mbalimbali Tanzania.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tabora: Alfred Masamalo, Diwani wa kata ya Usunga Wilayani Sikonge, auawa kwa Mapanga

    Diwani wa CCM mkoani Tabora ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana. Watuhumiwa sita wanashikiliwa na jeshi la polisi hadi sasa na OCD amesema idadi hiyo inategemewa kuongezeka Mkuu wa mkoa wa Tabora mh Mwari ameagiza msako mkali uanze mara moja ili kuwanasa wauaji. Nao...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Wafungwa 150 kutoka katika Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Tabora Wapelekwa Gereza la Kwitanga Mkoani Kigoma Kulima Michikichi

    Wafungwa 150 kutoka katika Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Tabora wamepelekwa katika Gereza la Kwitanga Mkoani Kigoma ikiwa ni mkakati maalumu wa Serikali kuliteua gereza hilo kuwa Kituo Kikuu cha Uzalishaji wa zao la mchikichi nchini. Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
  14. Biashara2000

    JamiiForums Tanzania Mizinga 6 ya nyuki kutoka Tabora inauzwa

    Mizinga ya nyuki inauzwa kwa bei nzuri. Mzinga tsh 90000. Kwa mawasiliano 0758 308193 ipo Dar lakini unaweza ukapangwa utaratibu ikasafirishwa poote ulipo nchini.
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Tabora: Sita washtakiwa kwa wizi wa Tsh. 119 Milioni

    Watumishi sita wanaokusanya ushuru wa serikali katika halmashauri ya wilaya ya Kaliua mkoani Tabora wamekamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za wizi wa shilingi milioni mia moja kumi na tisa baada ya kuharibu mfumo wa ukusanyaji wa mapato kupita mfumo wa mashine maalumu zinazotumika...
  16. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Kutoa Rushwa kwa Wakuu wa shule Wawili wa Halmashauri ya Tabora Wilaya ya Uyui!

    Habari za kuaminika kutoka Uyui zinasema Mahead master wawili wametoa Laki tano tano kwa Afisa elimu taaluma (jina nalihifadhi) ili wabaki kuwa wakuu wa shule sekondari Kinyume na kiwango cha elimu yao ambayo ni diploma!!!Wakuu hao kwa wakati tofauti wametoa rushwa hiyo ili kubaki madarakani...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tabora: Wauguzi Waliosababisha wakinamama kujifungulia mapokezi watakiwa kuchukuliwa hatua

    Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge wamewaagiza Afisa Utumishi na Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO) kuwachukua hatua Wauguzi wote walisababishia baadhi ya wakinamama kujifungulia mapokezi wakiwa wanasubiri huduma. Azimio hilo limetolewa jana na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo kwenye mkutano...
  18. Kajabila

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

    Amani iwe kwenu!! Tutumie thread hii kupendekeza wale wanaofaa kugombea 2020, Tetesi za watu watakaogombea Mimi naanza na Dr. Tulia, Huyu dada amekuwa msaada kwetu na jamii ya Wana Mbeya kwa ujumla kwani kawasaidia wakina Mama wengi kupata mikopo yenye riba nafuu na vijana wengi kwenda Shule...
  19. F

    JamiiForums Tanzania X-Mass in pictures Moshi, Arusha, Dar, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Tabora, nk

    Heri ya Xmass wana JF! Karibuni tusherehekee xmass japo kwa picha. Share picha za shamra shamra za xmass hapa kutoka popote ulipo, pamoja wana JF.
  20. N

    JamiiForums Tanzania DC wa Tabora Mjini anafanya kazi kwa kufuata miongozo na maadili ya kazi na kiapo cha maadili ya utumishi wa umma

    Ndugu wana JF Mitandao ya kijamii ,hasa mtandao unaoheshimika Tanzania wa Jamii Forums ,umekuwa ukitumika na watu mbalimbali wenye nia njema na watu wenye nia ovu, lakini tuhuma zinapotokea lazima zijibiwe ili kuweka rekodi sawa dhidi ya upotoshaji na uchafuaji wa viongozi unaofanywa na...
Back
Top Bottom