tabora

  1. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mishahara ya Bodi ya Tumbaku Tabora kwa nafasi ya Mhasibu mwenye degree

    Kwa anayejua mishahara ya bodi ya tumbaku Tabora kwa nafasi ya mhasibu mwenye degree na afisa tehama tafadhali naomba kujuzwa
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mwanafunzi auawa na kunyofolewa sehemu za siri

    Watu wasiojulikana wamemuua kikatili mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Tutuo, Sikonge mkoani Tabora, Maria Kazungu (13) na kisha kunyofoa viungo vyake vya siri wakati akienda kisimani kuchota maji. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi (ACP) Richard Abwao...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Reli ya SGR uishie Tabora

    Hela hatuna, tusikope sana ili kupunguza kutumia na madeni. Tabora ni karibu sana na Burundi, Rwanda, DRC, Mwanza na Uganda. Tujenge bandari kavu kuubwa pale Tabora ili watu wa Mwanza, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Kigoma wachukulie Tabora mizigo yao itakayoletwa na SGR hapo. Tukipata faida...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la kanisa linalopiga muziki kutwa kucha Tabora labainika kutokuwa na kibali, lapewa notisi. Kigogo wa Wilayani ahongwa ahaha kulifungulia

    Katika hali ya kushangaza kanisa lililotikisa mkoani Tabora kwa karibu miaka miwili kupiga muziki kwa sauti kubwa sana, mahubiri ya kashfa kwa dini zingine kuhubiri mahubiri ya ndoa hadharani limebainika kutokuwa na kibali wala usajili wa kuendesha ibada mkoani Tabora. Licha ya malalamiko ya...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tabora: Nyoka Koboko amekunywa uji wa Moto, amkimbiza Mganga wa Kienyeji

    Nyoka aina ya koboko anadaiwa kuweka kambi katika eneo la Mlimani City kata ya Ng'ambo manispaa ya Tabora ambapo amegeuka kuwa tishio la maisha kwa wananchi wa mtaa huo. Katika jitihada za kumuondoa nyoka huyo wananchi walimleta mganga wa kienyeji ambaye alitamba kumuondoa nyoka huyo. Mganga...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Dar: Nukuu za Rais Samia wakati wa utiaji saini ujenzi wa reli (SGR) Makutupora - Tabora

    #DARESSALAAM :- NUKUU ZA RAIS SAMIA WAKATI WA UTIAJI SAINI WA UJENZI WA RELI MAKUTOPORA - TABORA Rais Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini ujenzi wa reli ya kisasi (SGR) kutoka Makutopora- Tabora yenye urefu wa kilomita 368, kikiwa na thamani ya dola bilioni 1.98 sawa na Sh.4.4...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Katikati hali ya kushangaza na rushwa ilivyokithiri mamlaka za mkoa wa Tabora zadaiwa kuruhusu Kanisa kujengwa katikati ya barabara

    Katika hali ya Kushangaza sana mamlaka za mkoa wa Tabora zimeruhusu kanisa la wahuni kujengwa katikati ya barabara na kuziba barabara katika mtaa wa Kariakoo , kata ya Kitete , wilaya ya Tabora mjini , mkoa wa Tabora . Licha ya kikundi hicho kinachojiita kanisa kutokuwa na kibali cha ujenzi...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Zarula Bint Abdulrahman wa Tabora

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: BI. ZARULA BINT ABDULRAHMAN WA TABORA Nimekuwa kwa miaka mingi nikitafuta picha ya Bi. Zarula bint Abdulrahman wa Tabora mwanamama ambae alikuwa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Kama nisingemtaja jina lake katika kitabu cha Abdul Sykes...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Katibu Mkuu Wa CCM na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa Mikoa Ya Geita, Kagera, Kigoma, Katavi na Tabora

    ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA MIKOA YA GEITA, KAGERA, KIGOMA, KATAVI NA TABORA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo atakuwa na Ziara ya Kikazi Mikoa ya Geita, Kagera, Kigoma, Katavi na Tabora akiambatana na Wajumbe wa...
  10. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tabora: Katibu wa CHADEMA Igunga aunga mkono juhudi na kuhamia na CCM

    MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM ATUA IGUNGA, AONGEA NA WANACHAMA NA KUKAGUA UJENZI WA WODI YA MAMA NA MTOTO "Katibu wa CHADEMA Jimbo la Igunga, aunga mkono juhudu za Mama Samia na kuhamia CCM" Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa wa Tabora Ndg. Afadhal Taibu...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nakuomba Waziri Mbarawa ukajionee wizi na uozo unaolitafuna Shirika la Reli ya Kati kipande cha Tabora - Mpanda

    Ni jumapili iliyopita nilipojaribu kusafiri Kutoka kijijini Ukumbi kakoko kilichopo mpakani mwa mikoa ya Katavi na Tabora kuelekea Tabora mjini, ambapo kwa bahati mbaya siku hiyo treni ilichelewa kupita hivyo nikalazimika kusafiri kesho yake yaani jumatatu. Nilichokishuhudia kwenye hii...
  12. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Mradi wa SGR Makutupora – Tabora, Tabora – Isaka kuanza hivi karibuni

    Shirika la Reli Tanzania – TRC linatarajia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya kisasa - SGR kipande cha Makutupora – Tabora (KM 371) na Tabora – Isaka (KM 162), hivi karibuni ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Ujenzi wa SGR...
  13. DOTHRAK

    JamiiForums Tanzania Nipo Tabora mjini nipe kibarua chochote halali nitafanya

    Ndio wakuu Mdogo wenu nipo Tabora huku Field, mambo magumu pesa sina naunga unga maisha, nipeni kazi yeyote ndugu zangu. Natanguliza shukrani
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania RC Tabora aagiza kuwe na benki za matofali

    MKUU wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt.Batilda Buriani ameagiza Halmashauri zote kuwa na Benki ya Tofali kwa kila Kijiji. Alisema hatua hiyo itasaidia kukabiliana na upungufu wa vyumba vya madarasa pindi muda wa wanafunzi wanapotakiwa kijiunga na Darasa la Kwanza ama Kidato cha Kwanza. Balozi Dkt...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nilichotendwa Tabora huku Ng'ambo sina hamu tena!

    Wadau mimi nmekuja Tabora mwezi sasa. Nimekuja kikazi shughuli zetu. So siku zote hizi nalipwa Per diem kama kawaida. Nikawa mara kadhaa napata burdan sehemu mbalimbali mpaka mwenyeji wangu akanileta Sehemu moja inatwa Oxygen. Siku hiyo nikapata lidada la Kiarabu. Mashallaah....lina tembea na...
  16. Nuraty J

    JamiiForums Tanzania Uyui, Tabora: Atuhumiwa kumuua aliyemuoa mkewe

    By Mwandishi Wetu Tabora. Mkazi wa Kijiji Cha Nyangahe, kitongoji cha Lungu ,wilayani Uyui, Mhonyiwa Mwanagwalila. anatuhumiwa kumuua Mgogo Gwahendwa ambaye alimuoa mke aliyemuacha. Akizungumza na waandishi wa habari, leo Jumatano Agosti 11, Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Safia...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tabora: Baba na mtoto wadaiwa kumuua mama kwa kuchoka kumuuguza

    Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 57 mkazi wa kata ya Puge wilaya ya Nzega mkoani Tabora ameuawa na kisha kuning'inizwa kwenye kamba ili aonekane amejinyonga. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Tabora ACP Sophia Jongo amesema tukio hilo limetokea Agosti 4, 2021 katika kijiji cha Isalalo tarafa ya...
  18. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Tabora vituo vya mafuta havitoshi

    Wakuu, pamoja na kupanda bei ya mafuta ya magari lakini kwa Tabora ni shida kama hupo mjini kati. Mjini kati pana vituo kama vitano hivi karibu karibu hivo kukufanya kama unaishi mfano Ipuli, kilometa takriban 5 kwenda mjini, kupata shida ya kuongeza mafuta mjini. Nashauri, mie uwezo sina...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Injinia Hersi Said wa GSM leo 'Kazindua' Tawi la Yanga SC huko Tabora kama nani na je, Katiba ya Yanga inaruhusu hilo?

    Dkt. Mshindo Msolla kwakuwa huna tena Kauli mbele ya Yanga SC baada ya Kukubali 'Kumezwa' na GSM chini yake Injinia Hersi Said nashauri 'jiuzuru' kwani hakuna unachokifanya ( ulichokifanya ) pia.
  20. T

    JamiiForums Tanzania Inakuaje Tabora ambayo si tegemezi kwa kila kitu inakuwa na barabara nzuri kuliko Mbeya tegemeo la chakula?

    Nianze kwa kuipongeza serikali kwa kujenga barabara nyingi na nzuri sana hapa Tabora manispaa. Kwa wale waliofika tabora miaka ya karibuni watakubaliana na mimi kwamba serikali imewekea pesa nyingi kuijenga hii manispaa. Naomba nieleweke kwamba sina tatizo kabisa na ujenzi wa miundombinu...
Back
Top Bottom