Tabora: Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Rage, Prof Kapuya, mwanaspoti Maulidi Kitenge iponyeni CCM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,873
Nichukue fursa hii kuwaomba tena sana wanasiasa nguli, wabobezi na maarufu sana hapo Tabora muiponye CCM.

Niwataje kwa uchache Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Aden Rage, Athuman Mfutakamba, Prof Kapuya, Maulid Kitenge, Hussein Bashe, Fundikira, Ntimizi nk....nk.

Tabora ndio chimbuko la siasa za Tanzania!

Maendeleo hayana vyama!
 
Aise kweli watu mmeishiwa hoja
 
Hao wanaTabora waaambie waaache Majungu kwanza kama walivyoelekezwa jana na Mhe.Mwenyekiti vinginevyo huo Mkoa hautapiga hatua kamwe.
Majungu sio Mtaji!
 
Nichukue fursa hii kuwaomba tena sana wanasiasa nguli, wabobezi na maarufu sana hapo Tabora muiponye CCM.

Niwataje kwa uchache Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Aden Rage, Athuman Mfutakamba, Prof Kapuya, Maulid Kitenge, Hussein Bashe, Fundikira, Ntimizi nk....nk.

Tabora ndio chimbuko la siasa za Tanzania!

Maendeleo hayana vyama!
Kwani hiyo Ccm ikifa utapungukiwa nini? Badala ya kulipigania Taifa lako, wewe unalia Ccm kufa!!

Na ife tu. Tena siyo Tabora tu, ife Tanzania nzima. Ife haraka iwezekanavyo! Haina faida yoyote ile kwa Watanzania! Zaidi tu inalazimisha kutugeuza kuwa ng'ombe wao. Nasisitiza tena! hiyo Ccm Ife tu.
 
Nichukue fursa hii kuwaomba tena sana wanasiasa nguli, wabobezi na maarufu sana hapo Tabora muiponye CCM.

Niwataje kwa uchache Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Aden Rage, Athuman Mfutakamba, Prof Kapuya, Maulid Kitenge, Hussein Bashe, Fundikira, Ntimizi nk....nk.

Tabora ndio chimbuko la siasa za Tanzania!

Maendeleo hayana vyama!
Kwahiyo ajenda yenu kubwa ni CCM! Kundi la watoto wa shule wezi na wabakaji si tatizo kwenu! Kama ni hivyo basi hao watoto ni wenu na mnawalinda.
 
Nichukue fursa hii kuwaomba tena sana wanasiasa nguli, wabobezi na maarufu sana hapo Tabora muiponye CCM.

Niwataje kwa uchache Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Aden Rage, Athuman Mfutakamba, Prof Kapuya, Maulid Kitenge, Hussein Bashe, Fundikira, Ntimizi nk....nk.

Tabora ndio chimbuko la siasa za Tanzania!

Maendeleo hayana vyama!
CHANZO CHA MATATIZO kinahemea mashine Tabora
 
Nichukue fursa hii kuwaomba tena sana wanasiasa nguli, wabobezi na maarufu sana hapo Tabora muiponye CCM.

Niwataje kwa uchache Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Aden Rage, Athuman Mfutakamba, Prof Kapuya, Maulid Kitenge, Hussein Bashe, Fundikira, Ntimizi nk....nk.

Tabora ndio chimbuko la siasa za Tanzania!

Maendeleo hayana vyama!
Kwani kumetokea nini Mkuu? Au maneno ya Jana ya Mwenyekiti unadhani ndo tiba? Mnyamwezi na Majungu ni damudamu kama Mjaluo na uji.
 
Back
Top Bottom