taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tumia akili

    JamiiForums Tanzania Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda

    Imeamuliwa 'next stage' isitishwe. Baadhi ya maombi ya unyenyekevu ya 'theState': 1. Sheria zifuatwe na zile zisizofaa zibadilishwe. 2. Mwakani kuwe na mwendelezo wa kuandika katiba ambapo bunge liundwe na lisilazimike kuingiza wabunge waliopo sasa isipokuwa wale wenye tija. 3. Wabunge...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Kuna umuhimu wa kuangalia upya Sheria zinazowalinda mashahidi na watoa taarifa

    Haya ndio maneno ya Rais mpya wa Tanzania aliyoyatoa wakati akipokea Ripoti ya CAG . Hii ni nuru mpya kwa sisi wafichua maovu. Rais Samia Suluhu amesema haya. ''Kuna umuhimu wa kuangalia upya Sheria zinazowalinda mashahidi pamoja na watoa taarifa. Wakati mwingine watu wanakataa kwenda kutoa...
  3. CAGvsSPEAKER

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kupokea ripoti ya CAG, Machi 28, 2021 saa nne asubuhi Dodoma

    Mhe.Rais kesho kupokea ripoti ya CAG.
  4. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

    Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia. Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside. Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
  5. Troll JF

    JamiiForums Tanzania IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

    Picha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Familia moja yapoteza watu 5 waliokufa uwanja Uhuru, kamanda Mambosasa kutoa taarifa Jumanne

    Familia moja inayoishi eneo la Kimara imepoteza watu 5 yaani mama na watoto wake wanne waliokufa kwa kukanyagwa uwanja wa uhuru wakati wa kumuaga hayati Magufuli Kamanda Mambosasa wa kanda maalumu ya Dar es salaam amesema atatoa taarifa kamili ya yaliyojiri kama kuna vifo na majeruhi siku ya...
  7. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Clubhouse yakabiliwa na ukosoaji kuhusu usalama wa taarifa za watumiaji

    Baada ya kushuhudia miezi kadhaa ya ukuaji wa idadi ya watumiaji, mtandao wa kijamii unaotumia zaidi sauti wa Clubhouse umeanza kukabiliwa na ukosoaji mkubwa hasa kuhusu usalama wa taarifa za watumiaji, na kuifanya kampuni hiyo kuhaha kutengeneza suluhu ya changamoto zake kurejesha imani ya...
  8. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Serikali mmetunyima haki ya kumuombea Magufuli, kwa kutunyima taarifa za kuumwa kwake

    Rais Magufuli alikuwa muumini mkubwa wa maombi na kuombewa. Nna imani kabisa kama tungejulishwa kuhusu kuumwa kwake huenda wengi sana watanzania tungemuombea. Badala yake serikali kwa sababu wanazozijua wao, waliamua kuficha taarifa na ilikuwa ni dhambi hata kuthubutu kumuulizia Rais alipo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini ukipokea Taarifa nzuri au mbaya Usiku kupitia Television Usingizi nao unakata ghafla na Unakesha tu?

    Wanasaikolojia wa JF nisaidieni katika hili tafadhali kwani nimetoka kusikia Habari nzuri sana na niliyokuwa naisubiria kwa hamu kutoka Ikulu ya Marekani kupitia CNN yao.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Prince Philip Amerihusiwa Kutoka Hospitali Aliyolazwa kwa Muda wa Siku 28

    Prince Philip, 99, was admitted to King Edward VII's hospital in Marylebone on 16 February after feeling unwell. He later underwent a successful procedure for a pre-existing heart condition at another London hospital - St Bartholomew's. The 28-night stay was the duke's longest-ever in...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame afanya mabadiliko makubwa ya uteuzi wa Magavana wa Majimbo nchini Rwanda

    Rais Kagame amefanya mabadiliko hayo kwa mujibu wa mamlaka aliyokabidhiwa na Katiba ya nchi hiyo. Wapo waliotumbuliwa na wapo waliohamishwa. Orodha kamili imeambatanishwa kwa ufafanuzi zaidi
  12. BAK

    JamiiForums Tanzania 'Tusivifokee' vyombo vya habari vya nje kuripoti taarifa kuhusu hali ya Rais Magufuli!

    Usiku huu, Aloyce Nyanda (Mtozi) amekuwa na kipindi muhimu katika Star TV usiku huu. Agenda Kuu ilikuwa ni Maadili ya Uandishi wa Habari kufuatia Vyombo vya Habari vya mataifa mengine kuripoti taarifa kuhusu Rais Magufuli pasipo kupata uthibitisho kutoka kwa wahusika yaani Serikali ya Tanzania...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta ya kupikia lita 10 imefika Tsh 45,000

    Huku kwetu mafuta ya kupikia ndoo ndogo (lt.10) yameshafikia Tshs. 45,000/= Ahsanteni na usiku mwema!
  14. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania John Mrema akanusha taarifa za kifo chake zilizoenea mtandaoni

    Jamii ikifikia mahali watu wanahasimiana hadi kuombeana vifo na majanga, jee, hiyo jamii ipewe sifa gani? Mimi nitakuwa nimekosea kweli kuiita ni jamii ya watu wenye roho mbaya na unyama unyama? The Tanzania I used to see and know under Mwalimu (RIP mzee wetu) is totally unrecognizable today...
  15. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Buckingham Palace yatoa taarifa kujibu mahojiano yaliyofanywa na Oprah kwa Mwanamfalme Harry na mkewe Meghan Markle

    Buckingham Palace imetoa taarifa kwa niaba ya Malkia Elizabeth kama majibu ya mahojiano yaliyofanywa na Oprah Winfrey kwa Mwanamfalme Harry na mkewe Meghan. Taarifa hiyo imeeleza kuwa familia nzima inasikitishwa kufahamu ni jinsi gani miaka michache iliyopita imekuwa migumu kwa wawili hao...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutambua habari na taarifa uzushi

    Mitandao ya kijamii imejitokeza na kuendelea kuwa vyombo vya kusambaza habari na taarifa mbalimbali na kwa mifumo mbalimbali. Ili kupata habari na taarifa zilizo sahihi, watumiaji wa mitandao ya jamii wanapaswa kujilinda dhidi ya habari na taarifa za uongo na uzushi. Watumiaji wanaotegemea...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Haya mambo ya hatujapokea taarifa au hatujatangaziwa hata Mwalimu Nyerere aliyakataa

    Hivi karibuni kumekuwa na matamko mfano hatujapewa taarifa kwamba kwenda kuhiji ni lazima mahujaji wawe wamechanjwa chanjo ya Corona AU hatujapewa taarifa toka Kenya kwamba mahindi toka Tanzania yamezuiliwa kuingia Kenya n.k. Hizi kauli hata mzee Nyerere aliwahi kuzikataa eti hatujatangaziwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe: Hatujapokea taarifa rasmi kutoka Kenya kuhusu kuzuiwa mahindi yetu ila magari yetu yamezuiwa!

    Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Serikali haijapokea taarifa rasmi kutoka Kenya juu ya kuzuiwa kwa mahindi ya Tanzania kuingia nchini humo. Bashe amesema wakipewa taarifa watachukua hatua stahiki japo mkuu wa TRA Namanga amethibitisha mahindi ya Tanzania kuzuiwa kuingia Kenya kwa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yaonya utoaji taarifa za maradhi, vifo au wagonjwa bila kuzingatia misingi ya utoaji taarifa

    Msemaji mkuu wa Serikali ya Tanzania, Dk Hassan Abbas ametoa onyo kwa vyombo vya habari na watu binafsi kutoa taarifa za maradhi, vifo au wagonjwa bila kuzingatia misingi ya utoaji wa taarifa kwa sababu Serikali ina utaratibu wake wa kutoa taarifa. Dk Abbas ameyasema hayo leo Alhamisi Machi 4...
  20. and 998 others

    JamiiForums Tanzania TAARIFA: Slaa alikuwa Katibu wa CHAMA kisha Balozi (Utumishi wa Umma)

    Wale waliosahau kabla ya teuzi za Babu mamvi pale Ledger Plaza 2015 mzee wetu alikua katibu mkuu wa Chama baadae kidogo akateuliwa kama Balozi kamili (Utumishi wa umma). So Bushlawyers msijisahaulishe. Mbona hamkupinga kipindi kile?
Back
Top Bottom