TAARIFA KWA UMMA
CUF- Chama Cha Wananchi kinapokea kwa mstuko Mkubwa Taarifa za kuenea kwa kasi kwa Maambizi ya CORONA katika maeneo mbalimbali ya Dunia ikiwa ni pamoja na nchi jirani na Tanzania.
Japokuwa takwimu halisi za Maambukizi kwa Tanzania haziko bayana, wadau mbalimbali wakiwemo...
Wakati Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) likiwataka waumini wake kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi mapya ya virusi vya corona ambavyo vimeshambulia nchi kadhaa, Serikali imewataka wananchi kutoingiwa na hofu bali wasubiri maelekezo ya Serikali.
Waraka wa tahadhari wa TEC ulitolewa...
Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza...
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawataarifu waagizaji na wauzaji wa magari kutoka nje ya nchi kuwa kuanzia tarehe 01 mwezi Machi, 2021, utaratibu wa kukagua magarikutoka nje ya nchi utafanyika baada ya kuwasili hapa nchini (Destination Inspection). Hivyo,magari yote yatakayosafirishwa...
Baraza la mitihani nchini NECTA limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne.
Necta imewataka wananchi kupuuza taarifa hiyo kuwa shule 9 kati ya 10 zilizoshika nafasi za mwisho (umbwigi) zinatoka mkoani Mtwara.
Source: ITV...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anawatangazia watumishi walioomba ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kuwa zoezi la uchaguzi limekamilika. Jumla ya watumishi 300 wamechaguliwa kupata ufadhili kwa mwaka 2020/2021, ufadhili huu...
Jana tarehe 09/01/2021 kulikuwa na vifo zaidi ya elfu tatu vinavyotokana na Corona huko Marekani.
Hii inatia shaka! Inavyoonekana ni Kama akifa mtu mwenye virusi vya Corona wanasema amekufa kwa Corona hata Kama alikuwa anaumwa pia ugonjwa mwingine.
Si kila mtu mwenye virusi vya Corona ni...
1. Kama wewe umesomea Bachelor of Engineering (B.Eng) kwa mfano umesomea Bachelor of Engineering in Mechanical Engineering/Electrical Engineering kama nafasi imetangazwa na imetaja inahitaji mtu mwenye Bachelor of Science in respective coarse my dear uki apply inagoma, and vice versa.
2. Mfumo...
Umoja wa Mataifa unaadhimisha siku ya nukta nundu duniani Jumatatu Januari 4, kwa kusisitiza umuhimu wa mfumo huu wa kupitisha habari kwa ajili ya kuhakikisha haki za watu wenye ulemavu wa kutoona na watu wenye uonevu dhaifu.
Watu wenye ulemavu wa kutoona wako hatarini ya kukabiliwa na viwango...
Nimepigiwa simu na mpwa wangu ambaye ni miongoni mwa abiria walionusurikana, kuwa treni iliyokuwa ikitoka Dar - Kigoma imepata ajali kilometa chache kutoka stesheni ya Dodoma.
Inasemekana watu kadhaa wamejeruhiwa na inadaiwa watu 3 wamepoteza maisha.
Naomba wahusika wafuatilie.
======...
Zitto Kabwe ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Twitter
“Taarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba.
Nachambua Taarifa za Benki Kuu za mapato kulinganisha na Taarifa ya TRA.
Nitaonyesha kwa ushahidi kuwa TRA wamedanganya Umma.”...
Hali ya UMASIKINI nchini Kenya yatajwa kuzidi kuwa mbaya sana. Hiyo inapelekea kuwa ni miongoni mwa nchi 10 Afrika zenye kiwango kikubwa cha UMASIKINI uliyotopea. Mtu anaweza kujiuliza ni kwa nini hali UMASIKINI uliokita MIZIZI iko hivyo, ilhali nchi inajipambanua kuwa ni miongoni mwa nchi...
Nahitaji kuanzisha biashara ya wine inayotengenezwa kwa kutumia asali.Naombeni ushauri maoni au taarifa yoyote inayoweza kunisaidia katika hii biashara ninayotarajia kuanza
TAARIFA KWA UMMA:
POLISI WAVAMIA MKUTANO WA NDANI WA UCHAGUZI WA JUMUIYA CUF HANDENI:
Jeshi la Polisi limevamia Mkutano wa Uchaguzi wa Jumuiya za CUF- Chama Cha Wananchi- Jumuiya ya Wanawake (JUKECUF) na Jumuiya ya Vijana ( JUVICUF) Handeni Tanga.
Kwa mujibu wa Maelezo ya Naibu Mkurugenzi...
Habari
Uzee na wingi wa majukumu unatufanya tusiwe na muda sana kushiriki mijadala humu.
Well kwanza nianze kusema mimi ni mdau sekta ya usafirishaji.
Thread yangu hii sio kwa lengo la kumsemea mtu au kuingilia mjukumu ya watu.
Kamanda Sirro kilichotokea Jana saa nane usiku ni uvamizi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.