taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mitandaoni walioambiwa wajitokeze kutoa taarifa za kuisaidia Serikali, wakishajitokeza waripoti kwa nani?

    Katika hotuba yake kwa bunge Mh Rais pamoja na kuwalaumu watu wa mitandaoni kwa uzushi wao kuhusu chanzo cha kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania Hayati Dr Magufuli, lakini ametoa nafasi kwa wote wanaotokea Mitandaoni kama wanao ushahidi wa taarifa zao hizo ili waisaidie serikali. Hili kwangu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu taarifa binafsi unazotoa zinatunzwa wapi?

    Iwapo Sheria ya Ulinzi wa Data itakuwepo Tanzania, Watanzania watafahamu taarifa binafsi kama jina, namba ya simu au mahali anapoishi anazozitoa anapoingia kwenye ofisi fulani, zinakuwa kwenye mikono ya nani na zinatunzwa vipi Hii itasaidia kutoa muongozo kwa mtu kujua anatakiwa kwenda kwa nani...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Taarifa juu ya Miradi ya Mendeleo iliyotekekezwa awamu ya tano ilijaa upotoshaji mkubwa kwa Wananchi

    Wananchi wengi walikuwa hawaambiwi ukweli na uhalisia wa miradi iliyotekelezwa awamu ya tano. Kiasi cha Wananchi kuwa taarifa zisizo sahihi juu ya miradi hiyo huku wengi wakidhania ilikuwa imekamilika kwa 100%. Mfano ni kweli vituo vya afya 460+ na Hospitali za Wilaya zaidi ya 65 zilijengwa...
  4. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Stanlaus Nyongo, ameipongeza Wizara Ya Elimu, Sayansi na Teknoloji , kwa usimamizi na utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kwa Ufanisi

    TAARIFA KWA UMMA Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na maendeleo Ya Jamii, Mh. Stanlaus Nyongo, ameipongeza Wizara Ya Elimu, Sayansi na Teknoloji , kwa usimamizi na utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kwa Ufanisi. Akizungumza katika kikao cha pamoja, kati ya uongozi wa Wizara...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya mtaani kwako hutoa taarifa za mapato na matumizi ya fedha?

    Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa katika vikao husika na kubandika katika mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kwa kila kipindi cha mwaka wa fedha kinapoisha. Ni wajibu wa kila mwananchi kufuatilia taarifa hizo ili kulinda maendeleo...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi kufanyika Aprili 30, 2021

    Tafadhali soma maelezo hapo chini
  7. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

    Kongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma. Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya ulinzi wa taarifa binafsi (Personal Data Protection)

    Ulinzi wa taarifa ni mchakato wa kulinda taarifa muhimu dhidi ya kuibwa, kutumiwa vibaya, kuharibika au kupotea. Taarifa hizi ni zile ambazo mtu anajaza, anaandikisha au zinakusanywa kutoka kwake kupitia nyenzo za kidigitali au nje ya mtandao Ingawa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  9. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna taarifa za wasanii wetu wa muziki na wanasoka kwenye mitandao?

    Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kwanini wasanii wetu maarufu hapa Tanzania huwezi kupata taarifa zao kwenye mitandao kama Wikipedia ili angalau ujue historia zao. Ni ajabu kwamba hata wanamuziki wetu wakongwe huwezi kupata taarifa zao zote hasa kwenye mtandao maarufu wa Wikipedia. Mitandao...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi

    Taarifa kamili ya mazungumzo ya Viongozi hao imeambatanishwa hapo chini
  11. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Bondia Dula Mbabe na Twaha Kiduku Kuzipiga Juni 29, 2021

    Taarifa kwa Umma: Bondia Dula Mbabe na Twaha Kiduku Kuzipiga Juni 26, 2021. Hii ni taarifa rasmi ya mpambano huo wa kukata na shoka nchini baina ya mabondia hao ili kukata mzizi wa fitina. Bondia Dulla Mbabe bado hajakubali.kipigo cha awali katika pambano liliopita.
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Watanzania waanza tena kufuatilia taarifa za habari za TV Majumbani mwao

    Hili ni jambo lililonishangaza sana! Raia wa Tanzania ambao waliachana na masuala ya kuangalia Taarifa za Habari za local TV zote na kuamua kuangalia tamthilia mbalimbali ikiwemo ile ya Sultan, sasa hivi angalau wametenga muda wa kuangalia na kufuatilia Taarifa za habari za TV za ndani...
  13. Mzanzibari Huru

    JamiiForums Tanzania CAG isiwe na kazi ya kutuletea taarifa ya majizi na pesa waloziiba serikalini ni bora watafute mbinu ya kuzuia wizi, hili pendekezo

    Ndugu wana jamii Wizi serikalini na katika mashirika ya umma ni tatizo sugu. Tatizo hili lipo miaka nenda miaka rudi. Tatizo hili ni shida sana kulitatuwa kwasabu ni tatizo lililomo kwenye damu ya watendaji. Ikiwa kazi ya CAG ni kutowa ripoti kila mwaka juu ya wizi ulifanyika kila mwaka jana...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL inapata hasara, je tuendelee kununua nyingine?

    Spika wa Bunge Job Ndugai amewaasa wabunge kuchangia kwa uwazi bila kuogopa mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022 na sio kusubiri serikali ifeli kisha walaumu. Spika amesema kwa mfano Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL imepata hasara ya bilioni 60 na kuuliza; je ni sahihi kuendelea kununua ndege...
  15. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Tatizo si Rais kama mtu, bali tatizo ni "vetting system" kuwa corrupted & compromised

    Kila mtu makini naamini hushangaa na kutatizwa sana pale ambapo mamlaka ya uteuzi ya viongozi iwe Rais ama Waziri ama yeyote ili mradi ni mamlaka ya uteuzi inapofanya uteuzi muda huu, kisha in less than 24hrs inatengua uteuzi huo huo... Hili lilijitokeza mara kadhaa ktk utawala wa Rais Hayati...
  16. G Sam

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu alazimika kufuta post yake ya Twitter aliyotoa taarifa ya kuwasili Dar. Ni baada ya malalamiko kuhusu mabando kuzidi kwa wachangiaji

    Makabwela ambao wametoa malalamiko lukuki ya malipo ya bando jipya wamemlazimisha Rais Samia Suluhu kufutilia mbali post yake ya Twitter aliyoitoa ambapo alitoa taarifa rasmi ya kuwasili Dar leo. Hii inakuwa post yake ya kwanza kuifutilia mbali tangia awe Rais rasmi wa Jamhuri ya muungano...
  17. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani: Umeme ukikatika eneo lako toa taarifa, mameneja wa wilaya wakizembea siku 15 nawashusha vyeo

    Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani akikagua Miundombinu ya Umeme eneo la Ntyuka Jijini Dodoma 1 Aprili 2021, amewataka Wananchi kutoa taarifa sahihi na mapema pale Umeme unapokatika katika maeneo yao ili TANESCO iweze kuwafikia haraka na kurejesha Umeme mapema. Waziri Kalemani ameeleza...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Haki ya kupata taarifa za miradi ya maendeleo

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa haki kwa kila Raia kupata taarifa muhimu Kupata taarifa kuhusu mambo na mipango ya maendelo inayofanyika kwenye Halmashauri yake ni haki ya kila mmoja Kila Halmashauri inapaswa kuweka kwenye mbao za matangazo taarifa kuhusu fursa za uwekezaji au...
  19. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu kiongozi na mawaziri nane kuapishwa leo Ikulu ya Chamwino, Dodoma

    === TAARIFA MUHIMU === Inatoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu CHAMWINO jijini Dodoma Inahusu Kiapo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Mawaziri na Manaibu Mawaziri walioteuliwa na Rais Samia jana Jumatano Machi 31, 2021 TanzaniaImara KaziInaendelea💪🏿 kwa Uadilifu, Uaminifu, Kizalendo..kila...
  20. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kubadilisha combination kwa kidato tano na kozi za vyuo vya ufundi

    Taarifa muhimu kwa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne, mwaka 2020 Waziri Jafo ametangaza utaratibu wa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2020 kubadilisha Tahasusi(Combination) za Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa njia ya mtandao kwenye mfumo wa Kieletroniki wa uchaguzi wa...
Back
Top Bottom