taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. falcon mombasa

    IGP Simon Sirro umepewa taarifa yaliyotokea Kijiji cha Kimange leo

    Habari Uzee na wingi wa majukumu unatufanya tusiwe na muda sana kushiriki mijadala humu. Well kwanza nianze kusema mimi ni mdau sekta ya usafirishaji. Thread yangu hii sio kwa lengo la kumsemea mtu au kuingilia mjukumu ya watu. Kamanda Sirro kilichotokea Jana saa nane usiku ni uvamizi wa...
  2. E

    Taarifa kwa Umma: China na Tanzania kuimarisha ushirikiano

    TAARIFA KWA UMMA CHINA NA TANZANIA KUIMARISHA ZAIDI USHIRIKIANO Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China Nchini Tanzania Bi. Wang Ke. Mazungumzo hayo yamelenga katika kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi...
  3. B

    Hizi bahasha wanazopewa waandishi habari baada press release ni mafuta tu au ni takrima?

    Nimefanya utafiti kuhusu namna waandishi wa habari wanavyouza weno wao kwa makundi ya watu wenye fedha na taasisi mbalimbali. Mtanisaidia kukosoa ila Hali ipo hivi kwa kifupi. 1. Kila Waandishi wahabari wanapoitwa kwenye tukio lazima uone wakisaini bahasha za kaki na waandika majina...
  4. J

    Latvia yapitisha sheria ya kuwalinda watoa taarifa (Whistleblowers)

    Serikali kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya Latvia(KNAB) na Taasisi ya Uwazi ya Kimataifa (Delna) wameanza kampeni ya kuongeza uelewa kwa wananchi kuhusu masuala ya kutoa taarifa kuhusu rushwa na jinsi watakavyolindwa kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Watoa Taarifa...
  5. J

    Intelijensia ya CHADEMA imefia wapi hadi wanachama wao wanaapishwa Ubunge viongozi hawana taarifa?

    Wakati wa Dkt. Slaa CHADEMA iliaminika kwa uwezo wake wa kiintellejensia wa kung'amua mambo kabla ya kutokea na kufukunyua mambo yaliyotokea kujua yalitokeaje. CHADEMA ya Mnyika sijajua inafeli wapi hadi barua yenye sahihi na muhuri wa katibu mkuu inafika NEC bila uongozi akiwemo KM mwenyewe...
  6. CUF Habari

    Prof. Lipumba amemteua Mbarouk Seif Salim kuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar

    TAARIFA KWA UMMA Mwenyekiti wa CUF- Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim H. Lipumba , kwa kutumia Mamlaka yake ya Kikatiba, amemteua Mheshimiwa Mbarouk Seif Salim kuwa Kaimu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar kuanzia leo Desemba 2, 2020 kupitia barua yenye kumbukumbu Na. CUF/AK/DSM/MKT/07/2020. Mheshimiwa...
  7. Iwensanto

    Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

    Habari za asubuhi wakuu, Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya Demokrasia. Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja Demokrasia kwa...
  8. Mystery

    GE2020 Je, taarifa iliyotolewa kwa Umma na Dkt. Mahera wa Tume ya Uchaguzi ni ya uongo?

    Nimesoma kitu kinachoitwa TAARIFA KWA UMMA iliyotolewa na Tume ya Taifa ya uchaguzi, iliyosainiwa na Mkurugenzi wake Dkt Mahera, tarehe 27/11/2020, naomba maswali yafuatayo uyajibu Dkt Mahera:- 1. Katika taarifa yako kwa Umma umedai kuwa ulipokea majina hayo ya wabunge wa viti maalum, toka kwa...
  9. msovero

    TAMISEMI yatangaza ajira za walimu shule za msingi na sekondari. Walimu waliopata ajira watakiwa kuripoti kuanzia Desemba mosi, 2020

    Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga atazungumza na waandishi wa habari Kuanzia Saa nane mchana kuhusu Ajira Mpya za Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari pamoja na mafundi Sanifu wa Maabara. Tukio hili litarushwa Mbashara kupitia Tamisemi Tv. Updates MAJINA YA WALIMU WAPYA
  10. GENTAMYCINE

    Taarifa kamili kuhusu kuwasili kwa klabu zetu za Simba na Yanga katika Michuano ya Kimataifa na ile ya Kienyeji

    Simba SC Hadi hivi sasa Kikosi cha Mabingwa Watetezi wa VPL Simba SC kimefika salama nchini Erthiopia ambapo leo ( usiku ) huu kitalala katika Hotel ya Sheraton hadi Kesho tayari kwa safari ya kwenda Abuja nchini Nigeria kwa Ndege ya Kukodi ya Kifahari ambayo hata Klabu za FC Barcelona na...
  11. MK254

    Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

    Kuna hizi taarifa naona zimezagaa kote kwamba kampuni ya Coca Cola imeng'ang'ania kuajiri Mkenya awe mkurungezi wa tawi lake Tanzania, ila kwamba Tanzania imemkatalia kama ambavyo imekua desturi sasa, ambapo haya makampuni ya kimataifa yanatumia hela nyingi sana kusaka nani mwenye weledi na...
  12. Securelens

    Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji kukutana na M/kiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Bunge la EU kutoa ufafanuzi dhidi ya taarifa za upotoshaji

    Katika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya...
  13. U

    Taarifa muhimu kwa Umma, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro atakutana na mwenzake wa Msumbiji leo Mkoani Mtwara

    Wakuu hao wa Polisi Watakutana kwenye Kikao Kazi cha Ujirani Mwema baina ya Tanzania & Msumbiji Kikao hicho muhimu kitafanyika Mkoani Mtwara.
  14. U

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Kamarada Humphrey Polepole kuzungumza na Vyombo Vya Habari kesho Ijumaa Novemba 20, 2020

    Muda ni kuanzia saa 5 asubuhi Eneo ni Ofisi ndogo za Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi Lumumba Jijini Dar es Salaam Tafadhali usikose Tafadhali mjulishe Mwenzako Tuna Jambo Letu
  15. Chukwu emeka

    Viongozi ndiyo wanaokwamisha mchakato wa mabadiliko, FCC yatoa taarifa leo. Mashabiki na wanachama wa Simba mtadanganywa hadi lini?

    TAARIFA YA MCHAKATO WA SIMBA KWENDA KWENYEMABADILIKO. - Tume ya Ushindani (FCC) haihusiki na ucheleweshwaji wa mchakato wa Mabadiliko ndani ya Klabu ya Simba SC kama ilivyoelezwa na viongozi wa Klabu hiyo Siku chache zilizopita. -Tume ya ushindani Tanzania (FCC) imeuuliza Uongozi wa...
  16. W

    Wala bata wa Mwanza huu ndio uzi wenu kupata taarifa mbalimbali

    Wadau pokeeni salaam kutoka Mwanza, Huu uzi utakuwa mahususi kwa taarifa mbalimbali kwa wala bata walioko Mwanza hata wageni, unaruhusiwa kuuliza taarifa yoyote itakayokufanya ule bata na kufurahia neema za Mungu zinazopatikana katika jiji hili tamu na zuri. Karibuni sana.
  17. Leslie Mbena

    Tanzania kutokuwa na Corona katika taarifa za dunia kumewachengua wazungu

    TANZANIA KUTOKUWA NA CORONA KATIKA TAARIFA ZA JANA ZA DUNIA KUMEWACHENGUA WAZUNGU. Leo 18:30hrs 16/11/2020 Leo nilizungumza na Wachina waliokatazwa na nchi yao ya China kurudi kwao China kwa sababu huu ni msimu wa baridi China na kama mtakumbuka mwezi huu ndio kicorona kilianza uko China...
  18. I

    ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

    The International Criminal Court (ICC) in The Hague, has confirmed receipt of two formal letters alleging human rights violations by the Tanzania government in the wake of the October 28 election and its aftermath. The Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo), one of the main...
  19. Q

    Serikali yasema haijapata taarifa ya Umoja wa Mataifa inayozungumzia kuuawa na kukamatwa kwa wapinzani

    Katibu mkuu wa Wizara ya Sheria na Katiba, Profesa Sifuni Mchome amesema Serikali haijapata taarifa hiyo, na kueleza kuwa watu hao wamekamatwa kwa mujibu wa sheria. Taarifa iliyotolewa jana katika tovuti ya shirika la Umoja wa Mataifa na Kamishina wa Shirika la Haki za Binadamu la Umoja wa...
  20. Kurunzi

    ITV - Taarifa ya Habari mnatangaza mtafikiri mnakimbizwa

    ITV ndiyo chombo cha habari ambacho kimekuwa kinafuatiliwa zaidi na watazamaji hasa Taarifa ya Habari ya saa 2:00 Usiku, ukienda bar nyingi ukifika saa 2 tu utaona wanaweka taarifa ya Habari. Muinekano wa studio na muinekano wa picha uko vizuri Lakini pamoja na kuwa nawatazamaji wengi...
Back
Top Bottom