taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuibuka kwa Taasisi/vikundi vingi vya kukopesha pesa mtandaoni: Je, wananchi wana uelewa? Usalama wa Taarifa Binafsi unazingatiwa?

    Na DON YRN. Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums?, matumaini yangu tupo salama katika ujenzi wa Taifa letu. Lengo langu kutoa mada hii siyo kuleta uchonganishi au kuchafuliana biashara, hapana, lengo ni kufichua kile kinachoonekana kipo kinyume kwenye jamii. Kumekuwa na ongezeko kubwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Written interview questions za utumishi

    Naomba msaada ni maswali gani ya usali ya utumishi ya written yanatoka kwenye kada ya mwandishi wa taarifa rasmi za bunge
  3. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma juu ya uwepo wa tatizo la kiufundi katika Mfumo wa Kushughulikia Maombi ya Vibali vya Kazi

    Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetoa taarifa kwa umma juu ya uwepo wa tatizo la kiufundi katika Mfumo wa Kushughulikia Maombi ya Vibali vya Kazi. == TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO YA KIUFUNDI KATIKA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA KUSHUGHULIKIA MAOMBI YA VIBALI VYA KAZI KWA...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri: Idara ya usalama Mkoa wa Dar es Salaam ibadilishwe kwa kushindwa kuiona move ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na kutoa taarifa mapema

    Eneo kama Kariakoo, ilitarajiwa suti nyeusi wawepo kwa Kila namna, wawepo kama wamiliki wa maduka, kama watendaji wa mitaa na Kata, wauza kahawa, machinga, wawe ndani ya mchezo na mbele ya matukio yanayopangwa, na kama inabidi, waendeshe udukuzi wa kiuchumi wa mawasiliano ya kingpins wote wa...
  5. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara wanakwepa kusajili stoo zao? Taarifa zinasema wamejaza mali za magendo baada ya kuziingiza nchini isivyo halali

    Wafanyabiashara wengi wanaingiza mizigo kwa njia ya magendo, wanazitunza stoo. Wanaweza kupitishia bandarini, njia zisizo rasmi za mipakani, au kwa majahazi. Hawalipi Kodi. Sasa serikali imeamua kusajili stoo wanazotunzia ili waweze kujua zilipo, wakague na waonyeshwe risiti za jinsi mzigo...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la Magonjwa ya Mfumo wa Upumuaji

    Kuhusu tetesi za uwepo wa Covid 19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la? Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Star TV na wasomaji wa taarifa ya habari

    Kwa kweli baadhi ya vyombo vya habari Tanzania kikiwemo Star TV bado Wana changamoto ya waandishi na wasomaji wa habari. Yani mtu anasoma habari kama anaogopa studio au kawekewa bunduki kichwani. Kituo kikubwa kama Star TV kweli wanakosa wasomaji wa habari walio mahiri. Huyu mdada aliesoma leo...
  9. JamiiForums Tanzania Jimbo la Kiteto - Taarifa Maalum kwa Wananchi Kuhusu Miradi ya Huduma za Mawasiliano

    JIMBO LA KITETO - TAARIFA MAALUM KWA WANANCHI KUHUSU MIRADI YA HUDUMA ZA MAWASILIANO Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto natambua kuwa wakati natafuta kura tulipata changamoto nyingi sana za huduma ya mawasiliano ya simu katika Vijiji zaidi ya 30 ambavyo mitandao ya simu ni...
  10. JamiiForums Tanzania Watoto wakiendelea kupewa elimu ya kujikinga na ukatili watakuwa salama

    Hii sijui ni shule gani mwalimu ameamua kutoa elimu kwa watoto juu ya ukatili wanaoweza kufanyiwa ni jambo jema sana katika kupambana na ubakaji na ulawiti kwa watoto, ni jambo linalopaswa kuigwa na shule zote pamoja na wazazi wote, tuweke aibu pembeni tuwaelelze ukweli watoto ili kuwanusuru na...
  11. JamiiForums Tanzania Wazalendo tunaipongeza ITV kwa kukataa kununuliwa na kutoa taarifa ya Mkulima aliyewashtaki Mawaziri Mahakama ya Kisutu

  12. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kilakala: Mwalimu Mkuu anashirikiana na Mwenyekiti kuficha taarifa za ulawiti kwa Mwanafunzi

    Vitendo vya unyanyasaji wa kingono vimeendelea kushamiri katika nchi yetu na tunategemea jamii iwe na ushirikiano katika kupinga na kutokomeza uovu huu ili kuokoa jamii yetu. Katika hali ya kushangaza, mwanafunzi mmoja (jina linahifadhiwa) (KE) wa shule ya msingi Kilakala katika manispaa ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hizi taarifa za ndege kushindwa kutua Dodoma kutokana na Taa inalenga kuieleza nini Dunia? Hakuna tender inatengenezewa mazingira?

    Ndege inapoondoka Dar es Salaam inajulikana for sure itatua Dodoma muda gani na miundombinu ya uwanja inajulikana. Lakini Kwa tuliosoma Cuba tunaposikia ndege ya Yanga yashindwa kutua, ndege ya kiongozi mkubwa yashindwa kutua lakini ndege zenye abiria wasio na attention Kwa jamii hazikwami...
  14. JamiiForums Tanzania Kifo cha Nusra wa UDOM Bado ni pasua kichwa, UDOM waikana taarifa iliyosambaa

    Kuna nini kimejificha nyuma ya kifo cha huyu Binti?? Anadaiwa kufariki tarehe 29/04/2023 ila taarifa zimeanza kuzagaa Leo kwenye social media. Kuna maswali mengi kama haya.... Haya maswali yamechukuliwa sehemu nyingine, sio yangu. Mwanafunzi wa UDOM, Nusura Hassan Abdallah anafar- iki...
  15. S

    JamiiForums Tanzania BoT, toeni matangazo kabla ya taarifa ya habari kuhusu adhabu za kukiuka Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha na kanuni zake ya mwaka 2018

    Muda mfupi uliopita kupitia kipindi cha "Ijue BOT" kinachorushwa na Azam tv, nimemsikia Afisa Mwandamizi wa BOT, Bwana Deogratias Mnyamani akitoa maelezo kuhusu Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 na kanuni zake ya mwaka 2019. Katika maelezo yake akihojwa na Mtangazi wa kipindi hicho...
  16. JamiiForums Tanzania NIDA wahuishe taarifa za usajili wa namba za simu ziendane na zilizoko mitandao ya simu

    Nimefuta usajili wa namba ya simu tangu mwaka 2020, lakini hadi leo ukiangalia usajili wa namba zote zilizosajiliwa kwa namba ya NIDA, unaletewa na namba ambazo ulishazifuta, mbaya zaidi namba uliofuta unakuta imeshasajuliwa tena na mtu mwengine. Ushauri ni kua, NIDA wawe na utaratibu wa ou...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wadau walalamikia Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kuanza kutumika bila Kanuni wala kutolewa kipindi cha mpito kuruhusu usajili

    Wadau walalamikia notisi ya kuanza kutumika kwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi bila kutolewa kwa kipindi cha mpito kabla ya kuanza kutumika rasmi kwa sheria. Notisi ya Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imetolewa ikionesha tarehe 1 Mei, 2023 imeteuliwa kuwa tarehe ambayo Sheria ya Ulinzi...
  18. JamiiForums Tanzania Taarifa za uongo kutoka BBC

    Jioni hii nilikuwa nasikiliza habari za dira ya dunia nimemsikia muandishi wa habari David Nkya, akisema yupo kambi la wakimbizi la Mtendeli iliyopo Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma Kwanza hilo kambi halipo, tulilifunga miaka mitatu iliyopita. Akaongeza uongo wake kuwa Tanzania ina makambi...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Wafanyakazi Wawili wa Ofisi ya CAG wafariki dunia

    Taarifa kamili hii hapa. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi Wakubwa ambae amefariki akiwa Yaounde nchini Cameroon akiwa katika majukumu ya kikazi. Marehemu...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Wabunge na mtindo wa "taarifa" wakati mchangiaji akiongea ni mchezo au matumizi mabaya ya kanuni?

    Nafahamu kuwa kutoa taarifa ipo kwenye kanuni za Bunge letu lakini katika Bunge hili la 11 linalo endelea naona kamtindo ka kutoa taarifa wakati mzungumzaji akichangia hoja kameshamiri kiasi kwamba kamekuwa kama kero au kamchezo ka shule! Imekuwa kero na usumbufu. Swali. Je, Wabunge wetu wanao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…