Ni makosa Serikali kumdhalilisha mtoto mitandaoni kwa kumwita muongo bila hata kumsikiliza

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
879
4,125
Kuna taarifa za mtoto kudanganya au kuibiwa matokeo ya kidato cha nne zinasambaa mitandaoni

Serikali imejibu malalamiko kwa press tatu hadi sasa lakini kati ya wote walioripoti hakuna mtumishi wa umma au wizara iliyokiri kuhojiana na mwanafunzi anayelalamika. Means wizara zetu m halmashauri kwao haki hakusikilizwa siyo kipao mbele kwao.

Taarifa zimesambaa toka jana, serikali inashindwa nini kumfuata huyo mtoto anayelalamika na kuzungumza naye? Mazingira ya ufaulu wake shule kabla ya mtihani wa kidato cha nne yalikuwaje? Inawezekana kabisa ikiwa kile kilichotokea chalinze ndicho kimetokea kwa binti huyu.

Lakini pia kumwita mtoto mwongo bila kumsikiliza siyo jambo la Busara; kuna unyanyasaji wa kifikra na kimwili unafanyika kwa mabinti zetu. Tusipotafuta mtu wakukaa na huyu binti nakuzungumza naye kwa kina tukakimbikia kuandika barua mitandaoni tusishangae kusikia ameathirika zaidi au hata kuhisi jamii na serikali imemtenga mwisho akafanya maamuzi magumu.

Mtoto anaamini kaibiwa matokeo; twendeni tukazungumze naye. Mtoto hana simu wala hana akaunti mitandaoni hivyo kumuhukumu kwa mijadala ya mitandaoni nikutweza utu wake.

Watoto wana haki ya kusikilizwa; PCM na PCB siyo kitu kimoja lazima tuone umuhimu wa kufanya utafiti na kuhoji tuondoke kukaa ofisini na kutoa majibu mepesi yasiyo tibu afya ya akili ya mtoto husika.

Pia soma
 
Kabla hujapost kitu chochote mtandaoni hakikisha umejiridhisha na hiyo taarifa.
Huyo mkuu wa shule naye yupo kwa niaba ya serikali na alichokisema serikali imejirisha kuwa ni sahihi.
 
Back
Top Bottom