taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Zipo taarifa kwamba walioshirikiana na Naibu waziri wa Sheria kufanya ukatili wamekimbilia nchini Kenya kujificha kupoteza ushahidi

    Nimeona taarifa kutoka mitandaoni zikieleza kwamba walioshirikiana na Mbunge wa Babati kwemwekea kijana wa Kitanzania chupa Makalioni wamekimbia na kwenda kujificha nje ya nchi kwa maelekezo ya Naibu waziri. Lengo la watuhumiwa kutoroka nikukwepa kuhojiwa kwa madai kwamba kesi inayofuatiliwa...
  2. JamiiForums Tanzania Zitto: Wanachama ACT Wazalendo wanataka kubadili katiba ya chama ili niendelee kuongoza. Nimewaambia naheshimu katiba

    "Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba na ukatiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba, kumekuwa na shinikizo ndani ya chama kuwa tubadilishe katiba ili uweze kuendelea nimekataa kwasababu nisipo heshimu katiba naweka precedent mbaya kwa watu wengine watakao kuja...
  3. JamiiForums Tanzania Taarifa hii ya TANESCO ni kielelezo cha kukosa weledi hasa wa mawasiliano

    Hivi TANESCO wamesahau kwamba Nyakato Mwanza wana MW 60 kwanini 36 MW? 24MW zimekwama wapi? Mitambo ya maji iko kwenye ukanda ambao mvua hazijaanza kunyesha? Wanafikiri wayu wa Dar es Salaam watawaelewa wakiwambia mvua hazipo?
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Wananchi wenye taarifa kama Kichocheo cha Demokrasia Huru

    Kwa kutambua umuhimu wa ushiriki wa vijana, hasa katika vyuo vikuu, kushiriki katika mazungumzo na mijadala yenye habari kuhusu masuala na matarajio yao ya sasa, JamiiForums imeandaa mazungumzo yanayohusisha wanafunzi wa kozi mbalimbali wa chuo cha St. Augustine University of Tanzania (SAUT)...
  5. JamiiForums Tanzania Watoa taarifa (wapinzani) kimya sana ndugu zangu, kulikoni?

    Itoshe kusema Kimya kina mshindo. Katika ujumla wake, upinzani nchini umepoaza sana, tena sana.. Vipi? Ni kishindo cha Makonda? Au ni mipango tu? Ni ukata wa fedha au pumzi? Hoja, dira na uelekeo ni kiza kinene? Hamuelewani? Hamuaminiani ? Mnavurugana na kugawanyika? Wafuasi wanauliza...
  6. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Polisi Kata wanolewa juu ya uandaaji na utumaji wa Taarifa za Wahalifu na uhalifu kwa njia ya Mtandao

    Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Kamisheni ya Polisi Jamii, Novemba 15, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Saccos uliopo Kata ya Majengo, Wilaya ya Songea Mkoa wa Ruvuma limeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo Polisi Kata namna ya uandaaji na utumaji wa taarifa za wahalifu na uhalifu Kwa kutumia...
  7. JamiiForums Tanzania Je, wajua uhakiki wa taarifa huchochea uwajibikaji?

    Uhakiki wa Taarifa hudumisha uwazi, kujenga imani kwa jamii, kukomesha upotoshaji pia kuwepo kwa taarifa sahihi katika jamii itaifanya jamii iweze kufanya maamuzi sahihi kwenye jambo sahihi. Kuchochea uwajibikaji- Uhakiki wa taarifa utachochea makundi mengi kuwajibika kwani watakosa fursa ya...
  8. JamiiForums Tanzania HABARI HII: Taarifa za Mabadilishano ya Wafungwa wa Hamas ya Israel na Marekani

    Wanaukumbi. It is important to note that there is an alleged Israeli media blackout surrounding the exact details of the exchange. However, some sources are publishing indications that suggest there is an alignment on a potential prisoner exchange, and it is getting closer: - Netanyahu's...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tuondoleeni utata huu wa taarifa za kifo cha mke wa Askofu wa Anglikana Biharamulo

    Taarifa zinasema kuwa Mke wa Askofu Vitalis Yusuf, wa kanisa la Anglikan Dayosisi ya Biharamulo mkoani Kagera, maziko yake yatafanyika leo Jumamosi nyumbani kwao wilayani Chato mkoani Geita. Maziko hayo yanafuatia, kifo cha mke huyo Monica Zablon mwenye umri wa miaka 45, kilichotokea usiku wa...
  10. JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi 759 yanayofanya safari za Usiku yanazidisha Speed na kuchezea mfumo wa ufuatiliaji taarifa za gari (VTS)

    Mwezi mmoja tangu Serikali iruhusu safari za mabasi kwa saa 24, tathimini ya mamlaka za usimamizi imeonyesha kuwepo ukiukwaji mkubwa wa sheria na kanuni za usalama barabarani, hali inayohatarisha usalama kwa abiria na mali zao. Kutokana na ukiukwaji huo, ndani ya muda huo mabasi 759 yamekamatwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Taarifa zako binafsi zikitumiwa vibaya au kinyume na makubaliano peleka malalamiko kwa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Wakuu, Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imeanza kufanya kazi toka Mei 1, mwaka huu 2023 na Tume ipo kuhakikisha huumizwi na watu au taasisi wanaotaka kutumia vibaya taarifa zako kwa maslahi yao. Ikiwa una malalamiko ya taarifa zako kutumiwa vibaya mfano mtu katumia picha zako kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa ESS wa uhamisho wa watumishi unahujumiwa kwa makusudi?

    Hilo ndilo tatizo kubwa sababu suala la uhamisho pale TAMISEMI ni rushwa tupu, sasa huu mfumo umekuja kuzuia ulaji wa watu hivyo wameuhujumu taatifa za kuhama na kubadilisha vituo hazipo, yaani hakuna updates zozote zinazoingia.
  13. JamiiForums Tanzania Hii taarifa ya TAHLISO ina ukweli?

    KAMISHENI YA MIKOPO TAHLISO 06/11/2023 MASWALI YANAYOULIZWA KUTOKA KWA WANAFUNZI WANAOENDELEA NA MASOMO WALIOOMBA MKOPO, ( CONTINUING STUDENTS ) 1. Mimi ni mwaka wa pili nimeomba mkopo lakini nimeandikiwa kujiandaa na zoezi la kukata rufaa, lakini bado Batches za continuing students...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Amekamilisha taarifa zake zote muhimu kwa ajili ya kubadili jina na amehakikiwa kwa finger print ila kaambiwa asubiri miezi 3 jina ndiyo

    USUMBUFU NIDA:Amekamilisha taarifa zake zote muhimu kwa ajili ya kubadili jina na amehakikiwa kwa finger print ila kaambiwa asubiri miezi 3 jina ndiyo libadilike Kwenye system Mbona Kwenye usajili wa laini mambo haya hayapo? Pesa kalipa, uhamiaji kapita na kahakikiwa kila kitu na mhusika ni...
  15. JamiiForums Tanzania Pafanye JamiiForums kisima cha maarifa na taarifa

    Kama una jambo, au mada ambayo haina mashiko, kwanini uilete JamiiForums? Wote tuna jukumu moja, kuifanya JamiiForums kuwa ni kisima cha maarifa. Hutuhitaji @Brianica tena, tuna uwezo wa kuifanya JF kuwa zaidi ya tuwazavyo, iwapo tu tutaamua kuto post upumbavu. JamiiForums ijayo inafurahisha...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Natumia Excel kutengeneza taarifa na kuzichambua Katika njia mbalimbali ili ziweze kukusaidia kufatilia maendeleo kwenye biashara yako

    Ndugu habari Mimi ni kijana mwenye ujuzi na excel sasa nmeona pengine naweza kuufanya ujuzi huu kuwa huduma na kupata chochote kinisadie hapa na kule. Nina ujuzi na excel na ninaweza kutumia katika namna mbalimbali ili kuweza kusaidia kutatua changamoto tofauti tofauti. Wee mfanya biashara...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2023 vimerekodiwa vitendo vingi zaidi vinavyozuia upatikanaji wa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuliko miaka 3 nyuma

    Baraza la Habari Tanzania (MCT) liliungana na Dunia katika kuadhimisha siku ya kukomesha na kuondosha kabisa vitendo vya ukatili dhidi ya waandishi wa habari (International Day to End Impunity for Crimes Against Journalists). Kila mwaka siku hii imekuwa ikiadhimishwa kutokana na vitendo...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Mbunge kutoa taarifa Bungeni wakati wa mjadala unaendelea ufanyike kidijitali

    Kama kichwa cha habari. Naona huu utaratibu wa mbunge kupiga kelele ' taarifa, taarifa, taarifa' una distract anayeongea. Yaani mimi huwa hata siwaelewi, unavuruga kabisa flow ya mchangiaji na hata usikivu kwa sisi wasikilizaji. Nadhani hicho kipengele kiliwekwe kwa nia nzuri na Mabunge ya...
  19. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Taarifa ya uchunguzi - Baraza la adaktari Tanganyika linaendelea kuendesha Mitihani ya Watarajali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameliagiza Baraza la Madaktari Tanganyika kuendelea kuendesha mitihani miwili ya kabla na baada ya Utarajali kwa Madaktari wote nchini wanaomaliza vyuo na kuuanza mafunzo kwa vitendo. Waziri Ummy amesema hayo leo jijini Dodoma wakati akipokea taarifa ya matokeo ya...
  20. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri TAMISEMI Dkt. Festo Dugange: Utoaji wa Taarifa kwa Wananchi Uwe Endelevu

    UTOAJI WA TAARIFA KWA WANANCHI UWE ENDELEVU - Dkt. Dugange Naibu Waziri TAMISEMI Dkt. Festo Dugange: Utoaji wa Taarifa kwa Wananchi Uwe Endelevu Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Festo Dugange amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…