taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi Iringa: Tunachunguza taarifa za ASAS kumuua Dereva wa Lori

  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Sheria inazuia kumtaja kwa jina, makazi au anwani ya mtu aliyetoa taarifa

    Kifungu cha 39 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya Mwaka 2007 kinatamka kila mtu mwenye taarifa kuhusu kufanyika kwa vitendo vya rushwa au mpango wa kufanyikwa kwa vitendo vya Rushwa anawajibika kutoa taarifa kwa TAKUKURU. Ukikosa huduma katika mazingira ya Rushwa, Sheria hiyo...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma wa watanzania na wana JamiiForums wote

    Tokea juzi Ijumaa Jioni hadi Alfajiri hii ya leo ID yangu hii ya GENTAMYCINE ilikuwa Imedukuliwa na Wahuni hivyo kama kuna Maudhui yoyote yaliandikwa tokea hiyo juzi hadi jana jua si yangu bali ni ya hao Wadukuaji Wahuni wakiongozwa na adriz, Dada Nifah, Popoma Tate Mkuu na Rafiki yangu...
  4. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Guelle Faure: Uchaguzi ni kama ardhi yenye rutuba yenye kumea taarifa nyingi za uongo

    Nyakati za Uchaguzi zimekuwa chanzo cha mlipuko wa habari nyingi potofu. Makundi mbalimbali yamekuwa yakipotosha kwa makusudi ili kuwadunisha au kuwanufaisha Wagombea na Vyama vya Siasa. Mwandishi wa AFP, anawatahadharisha Wanahabari kuwa makini zaidi na habari na madai yanayozuka wakati huu...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari, Kazimbaya Makwega ashikiliwa na Polisi, asafirishwa kutoka Mwanza hadi Dodoma

    Salama Wana JF, Nimeona andiko hili huko Mtandaoni, kuna mwenye taarifa ya kinachoendelea? === Mwandishi Kazimbaya Makwega asafirishwa toka Mwanza kwenda Dodoma Ndugu waaandishi wenzangu muda huu nimefika kituo kikuu cha polisi kati na mawakili wa wawili wa OJADACT kufuatilia kukamatwa kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtumishi kuhama kituo cha kazi lakini taarifa zake bado zinasomeka kituo cha zamani

    Habarini za majukumu wana JF, Kuna ndugu yangu ni mwalimu alifanya mchakato wa kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na kufanikiwa lakini uhamisho wake ni ule wa kimchakato zaidi sio ule wa kufuata procedure za step by step kwenye halimashauri. alipata barua ya uhamisho...
  7. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani kujua ukweli wa taarifa unazokutana nazo mtandaoni?

    Kukua kwa utandawazi kumepelekea wimbi la uzwalishwa wa taarifa potofu kuongezeka zaidi licha ya kuwepo tangu awali. Katika kukabiliana na wimbi hili zipo njia mbalimbali ikiwemo kuhakiki chanzo cha taarifa na kuuliza kwenye jukwaa la uhakiki kama hili la JamamiiCheck. Huwa unatumia mbinu gani...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Benki Ya CRDB yaendesha Semina Kuwajengea Uwezo Waandishi Wa Habari Kuandaa Taarifa zitakazochochea Ujumuishi Wa Kifedha nchini

    Dar es Salaam 19 February 2024 – Katika jitihada za kuendeleza sekta ya habari nchini, Benki ya CRDB imeendesha semina maalum kwa wadau wa sekta ya habari nchini na uchumi “CRDB Bank Media Day” iliyofanyika katika Makao Makuu ya benki hiyo yaliyopo barabara ya Ali Hassan Mwinyi. Akifungua...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Lupembe, Edwin Swalle: Ipi Kauli ya Serikali Kuhusu Taarifa za Mitambo Miwili ya Kufua Umeme Katika Bwawa la JNHPP

    Mbunge wa Lupembe, Edwin Swalle: Ipi Kauli ya Serikali Kuhusu Taarifa za Mitambo Miwili ya Kufua Umeme Katika Bwawa la JNHPP Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema kutokana na jitihada za Serikali na wakandarasi, kwa mara ya kwanza jana Februari 15, 2024 yamefanyika majaribio ya kuwasha...
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi DCI na makampuni ya simu wanavyopata taarifa za maeneo ya Wakenya hata kama GPS na Data zikiwa zimezimwa

    Vyombo vya usalama na makampuni ya simu wanaweza kutumia teknolojia kupata mahali ulipo kwa madhumuni mbalimbali. Katika mazingira ambayo teknolojia ya kidijitali yanabadilika kila wakati, uwezo wa kubainisha eneo la mtu umekuwa zana muhimu kwaajili ya utekelezaji wa sheria kwenye idara kama...
  11. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii: Ukishindwa kulea watoto pacha toa taarifa uweze upate msaada

    Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii, Mwanaidi Khamis amesema kuwa kama kuna wazazi wanakabiliwa na changamoto ya kushindwa kuhudumia watoto pacha watoe taarifa. "Natoa wito kwa wazazi wanaokabiliwa na changamoto ya kushindwa kuhudumia watoto pacha kutoa taarifa kwa wakurugenzi wa halmashauri...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni taarifa za UVUMI kilosa

    Habari wakuu,natumaini jumapili imekaa vyema kwenu. Sasa ndugu zangu nimekuja kwenu tena,nina shida ya kupajua vyema UVUMI morogoro,naomba kwa anayepajua vyema atupe taarifa za muhimu,maana nataka niende huku kulima,sasa nataka kujua mazao gani yanatoka sana,maisha ya huko,chumba bei gani?? Na...
  13. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania taarifa za wikipedia tanzania zipo nyuma kuliko za channeli za afrika youtube

    ukitaka kumficha mtanzania siri yako we andika kwenye kitambaa cha kupengea makamasi sio kitabu maana utakuwa umemtesa. kwanza wote poleni kwa msiba mkubwa kuondokewa na waziri wa zamani lowasa.ila nashangaa mpaka sasa wikipedia imebaki na wasifu wake tu ujabadilishwa. ukiingia chaneli za...
  14. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania Tucker, mtangangazaji aliyemhoji Putin alipigwa na butwaa baada ya Putin kumpa taarifa zake za kutaka kujiunga na CIA

    Putin anatarifa zote za Tucker.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Polisi wasimama kijijini kutoa taarifa ya mwanakijiji aliyeshambuliwa na nyuki, wanakijiji wote wakimbia

    Ni kwamba polisi walikuwa wanapita na msafari wao tu. Mara, karibu na kijiji fulani, wakamuona mwanakijiji, aliyeonekana kama anatoka shamba, akishambuliwa vibaya na nyuki. Wakiaa hawana uzoefu wa hao wadudu, wakaona wasijihatarishe na wao bali wakimbie haraka wakawahabarishe wanakijiji wenzake...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kukanusha upotoshaji zinazosambazwa kuhusu usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi

    Taarifa ya kukanusha upotoshaji zinazosambazwa kuhusu usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kwa taarifa yenu sifi! Mtege sumu kwenye vyumba mnapoteza muda tu

    Katibu wa NEC-CCM wa Itikadi na Uenezi, Paul Makonda akiwa katika ziara yake Tunduma Mkoani Songwe amesema "Si nimepewa usemaji? nitasema kweli bila kumung'unya maneno na kwa taarifa yenu sifi na Mungu hana mpango wa kuniondoa kwanza. Mtege sumu kwenye vyumba mnapoteza muda tu, mtafute waganga...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyombo vya habari vimepuuza taarifa za Bunge?

    Bunge linaendelea Dodoma lakini vyombo vya habari vimeziba masikio kuhusu kinachoendelea. Sometimes hata zile sekunde za taarifa ya habari hazigusi yanayojiri bungeni. Je, bunge limeshuka thamani kiasi hiki? Kama mijadala ya bunge imefifia kiasi hiki na wabunge wamekimbia majimbo, nani...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania RC atoa namba yake kwa wananchi wampe taarifa wanapouziwa Sukari kwa bei ya juu (Kukamata Wauzaji)

    Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima, ametoa namba yake ya simu ya kiganjani kwa wananchi wa mkoa huo kwaajili ya kutoa taarifa au kutuma ujumbe mfupi pale wanapouziwa sukari kwa bei ya juu tofauti na bei elekezi ya sh 2700 hadi 3200 na wafanyabiashara ili waweze kukamatwa na kuchukuliwa hatua...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wahariri wa Magazeti ya Leo wametoa Taarifa ya Ruzuku ya CHADEMA kwa Kuwasuta na Kuwashushia?

    Media ya Tanzania endeleeni tu Kutumika na State kwa Zawadi za Vyeo vya Kiuteuzi, ila ipo Siku mtakuja kujua kuwa mlikuwa mnatumika kama Condom ambayo ikishamaliza Kutumika huwa inatupwa. Hamna Akili na ndiyo NINAOWADHARAU hakuna mfano. Mko very Unprofessional Wapuuzi wakubwa nyie. Mmenikera sana.
Back
Top Bottom