Watanzania wenzangu poleni na mihangaiko na Shughuli zenu.
Jana katika peruzi zangu nilikutana na Thread ya Mjanja M1 ikionyesha Video ya watoto/vijana wadogo wakihojiwa na Polisi. Nilishangaa, na nikahuzunika, awali ya yote issue hiyo ikaibua maswali. Sasa najua hapa ni kwa wabobezi wa masuala...
Sijui ni uwezo mdogo kielimu ndiko kunapelekea polisi kunyima haki pindi watu wanapopeleka malalamiko! au ni serikali kupitia CCM ndio mnawafumbia macho hawa polisi? kuna kesi nyingi sana za watu kupotea, kudhulumiwa, ma kuonewa ila.ikifika polisi wanaangalia mwenye hela na uwezo kiofisi!
Mtu...
Wanabodi kama alivyopendekeza Mbunge. Naomba kusisitiza suala kuundwa tume huru tujue madudu yapoje na upigaji kwenye mnyororo mzima wa mafuta ya petrol.
Kumtoa Mjinja bado hakusaidii wameiba sana. NAtoil ni balaa na laana kubwa.
Ni kweli enyi wana CCM, sisi wananchi ni mitaji yenu na wala hatuna cha kuwapangia na hatuwezi kuwafanya chochote. Kama sisi ni mitaji yenu, basi jaribuni kuilinda ili biashara isije tetereka.
Leo nimejaribu kununua kifurushi kwenye mtandao ninaopenda, nilichokutana nacho kinakatisha tamaa...
Mimi ni wale watu ambao hawajihusishi wala kujishughulisha na kitu kinaitwa SIASA. Ni mwezi sasa hapa nilipo kumekuwa na mgao mkali sana wa Umeme. Yaani ndani ya siku 30 naweza kuwa nimepata umeme siku 5 tu (Yaan ukiunganisha unganisha mgao kufikia masaa 120-5days).
Hii inanifanya nijiulize...
Salaam wapenzi wana JF.
Leo nimeamua kuwasilisha hii kero ya ukosefu wa usawa linapokuja suala la kufaidi keki ya Taifa.
Yaani haiingii akilini kabisa kwa mbunge kulipwa pesa ya posho ya siku moja ambayo ni kubwa zaidi kuliko mshahara wa Mwalimu wa mwezi mzima.
Siyo sawa kabisa.
Ahsanteni.
Hivi karibuni, Balozi wa Ufilipino nchini Marekani, Jose Manuel Romualdez alipohojiwa na chombo kimoja cha habari alidai kuwa, Bahari ya Kusini ya China, na si Taiwan, ni sehemu ya hatari, ambapo vita inaweza kuanza wakati wowote.
Siku moja kabla ya hapo, Ufilipino, pamoja na Marekani na Japan...
Habari za uzima wakuu?
Nikiwa naelekea katika harakati jumatatu njema kabisa, nikakutana na hii kitu hapa.
Hii ni HOME DNA TESTS KIT, kama ambavyo wanawake wanaweza kujipima mimba na wanaume wameletewa hii.
Kwani Nchini Tanzania zimefika hizi au Ndio kupima kwa kila mtu mmoja mmoja na...
Mwezi wa 11 nilienda Kariakoo kwenye mitaa ya Agrey na karibu mitaa yote chemba za maji taka zilikuwa zinatoa maji machafu kuashiria karo linalohofadhi maji taka hayo kuwa yamejaa.
Lakini cha kushangaza jana nimeenda tena nakutana na shida ileile, kwa maana kwamba tatizo nililolikuta mwaka jana...
Tanzania inatazamia kuhakikisha raia wake wanatoka nje ya boksi na kushiriki kikamilifu bila kujifungia mipaka juu ya ustawi wa Dunia, yaani Raia wa Dunia.
Kupitia jukwaa hili nimetamani sana kutoa mtazamo wangu ambao unaweza pia kuwa ushauri. Lengo ni kuhakikisha ushiriki wetu kama Taifa...
Inasikitisha kuona jinsi Wananchi wanavyoteseka kwa suala la umeme.
Kila kukicha umeme unakatwa tangu asubuhi mpaka jioni na hata usiku mpaka asubuhi. Jana nimesoma sababu walizotoa eti kuna upungufu wa mvua kwenye Mikoa inayopeleka maji kwenye mambwawa ya umeme kama Singida na Dodoma
Kweli...
Kabla hajakutana na Evander kila mtu alikuwa anasema Tyson is undisputable. Siku aliyo kutana na Evander akawa ndio ingawa siku yake ya kuwa exposed to the world kwamba , kumbe Tyson ni bondia wa kawaida tu.
Usiku you instead ya Tyson kuwa bully kama alivyo zoea yeye ndio akawa bullied...
Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Faustine Ndugulile ameona hoja ya Mdau wa Jamii Forums aliyedai Vyoo vya Hospitali ya Vijibweni iliyopo Kigamboni, Dar es Salaam ni vichafu kwa ndani, vinatoa harufu kali na pia miundombinu yake ni chakavu, anadai kwa miezi mitatu aliyofika eneo hilo hakuna taa na...
Mungu hamfichi mnafiki.Msemo maarufu wenye miaka mingi. Wataalam wa shirika la ugavi wa umeme TANESCO wamejibiwa na Mungu mwenyewe pale walipojibu shutuma kwanini umeme haupatikani huku mvua zikinyesha. Wakasikika wakisema zinanyesha katika mikoa mingine mbali kabisa na kule Mtera ambapo kuna...
Katika kero ukiachana na tanesco basi hi hawa Nida, asilima kubwa wananchi hawana vitambulisho wala namba
Na sijajua mkurugenzi wa nida ni nani na sijawahi sikia katumbuliwa au kutenguliwa hii ni changamoto sana mimi nimejaribu mara kadhaa tangu mwaka jana lakini sijafanikiwa na jana saa 11...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa dini kuwaangalia zaidi vijana, akilitaja kama kundi ambalo liko hatarini zaidi kupata maambukizi ya virusi vya UKIMWI, huku akiwataka kuimarisha huduma za unasihi na malezi yenye mlengo wa kustahimili mabadiliko yanayotokana na utandawazi...
Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya.
Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu sisi wananchi tunataka Katiba Mpya iwe Jua au mvua tunataka Katiba Mpya.
Woga wa nini kuhusu...
Kuna video inasambaa kwenye makundi ya whatsap na instagram ambapo ndani yake wanasikika watu wanao jitambulisha kuwa wao ni waislamu wakiapa kwamba kijana anae daiwa kudhalilishwa na Paulina Gekul ambae ni muislamu lazima haki yake ipatikane na kwamba waislamu hawatakubali kuona haki ya kijana...
Kuna watu wanaamini kabisa kuwa Bwawa la Umeme la Rufiji likianza kazi basi suala la Mgao wa umeme litakuwa historia kwenye nchi hii.
Kwa namna ninavyosoma taarifa mbalimbali za kiutafiti zinazohusu masuala ya Mazingira napenda kuwaambia hawa watu wakiwemo viongozi wetu kuwa inawezekana wakawa...