suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Ukiacha electronics kununua Zanzibar suala la nguo na viatu

    Wengi husema electronics kwa Zanzibar ni bei nzuri. Je kwa upande wa nguo na viatu ikoje? Naweza nunua Nguo au Viatu Zanzibar badala ya Dar Es Salaam? Kuna bei nzuri kwa vitu hivyo? Au nini naweza nunua Zanzibar kwa bei nzuri kuliko Dar. Ukiacha tende, ubuyu na halua.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

    1. Hajatokea Natanyahu kutia neno hadharani tokea kipigo cha jumapili. 2. Inafahamika amekuwa na vikao vya baraza la vita kila siku tokea siku hiyo. 3. Ziarani Israel David Cameron kaliweka wazi: 4. Kwamba kama alivyofanya Iran, mwendo ni calibration ya mapigo kutoleta madhara sana: 5...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

    Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni haramu kama ilivyo nyama ya nguruwe. Kwahiyo kwa hermonize kuingia kwenye muziki tayari...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania na Malawi waharakishe Kutatua suala la ziwa Nyasa

    Malawi questions Tanzania on port Malawi has faulted Tanzania for embarking on a project to upgrade and expand Mbamba Bay Port on Lake Malawi without seeking consent as the lake boundary dispute between the two countries remains unresolved In a confidential diplomatic note dated February 2...
  5. snipa

    JamiiForums Tanzania Kama Azam inaonesha channel za Startimes, kwanini Serikali isiangalie hili suala ili kutunza mazingira na kuepusha gharama kwa watanzania?

    Baadhi ya mikoa Azam Antenna ilipotea hewani. Na Visimbusi hivyo vya Azam vikawa vinaonyesha Channel za Startimes. Waelewa tatizo ni Error code 69. Sasa kama ilivyofanyika kwenye simu kwamba simu zote zitumie type C. Kwanini serikali isiangalie hili suala na kuruhusu watanzania kulipia...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Marekani yasema kipigo kutokea Iran ni suala la muda tu

    1. Zipo jitihada nyingi za kheri kuzuia Shari. Ugumu uliopo uko wazi: 2. Hata hivyo wanayo kheri kuu walio wapatanishi na wenye kuipigania amani pasipo kukoma: 3. Kumbe kipi kilicho bora zaidi, binadamu apitishwapo kwenye lindi la mauti? 4. Hadi pale Iran atakapothibisha vinginevyo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Linapokuja suala la mahusiano wakomavu tuko hivi

    LINAPOKUJA SUALA LA MAHUSIANO WAKOMAVU TUKO HIVI 😊 1.Ukishindwa kutupenda tulivyo usidhani tutakubali kuishi kama utakavyo ili ndio utupende 2.Tuna muda na anayetupenda ila hatuna muda wa kupoteza kutafuta kupendwa 3 .Tukiachwa tunajua tumepewa fursa ya kupendwa kwingine. 4 .Ukija kama...
  8. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Serikali isilifumbie macho suala hili la Watanznia kuwa na Wagumba wengi

    Habari,
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hiyo fedha unayoihangahikia na kuitolea macho kila ipo siku utagundua kuwa fedha si lolote, si chochote, ni suala la muda tu

    Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa. Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha. Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hili suala la timu ya kigeni kuja na kila kitu chake na kukataa vitu vilivyoandaliwa kwaajili yao limekaaje kikanuni?

    Maana kama sielewi elewi hivi! Hakuna kanuni zinazokataza virendo hivyo?!! Maana sioni 'fair play hapo zaidi ya kuhamasisha vitendo vya ushirikina, kubaguana na hila mbalimbali katika mchezo wetu huu mtamu. Au fair play inahusika ndani tu ya uwanja na sio kitu cha lazima? Wenzetu ulaya wapo hivi...
  11. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Serikali iingilie kati suala la wadada wanaojiuza

    Hi biashara sasa imekua holela sana, yani hawa wadada wanaamua popote kambi, mtaani imekua kero sana. Sehemu haina baa wala nini lakini wanamua kuchukua nyumba na kuweka kambi. Nimeshangaa kukuta wadada wanaojiuza kinyerezi mbuyuni na segerea chama sehemu ambayo haina baa na pako kimya ni...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Rais Eng. Hersi Said hili suala la kuweka kiingilio bure linaweza hujuma kubwa sana kwa Yanga. Vinginevyo jambo hili lifanyike

    Taarifa inasema kiingilio kwenye mechi yetu na Mamelody itakuwa bure Mzunguko. Sababu za uongozi zina mashiko pasi na shaka yoyote. Kwanza mechi itachezwa usiku sana halafu pili ni mwezi mtukufu wa Ramadhwani etc. But hatuoni kuwa Simba wanaweza kuingia pia uwanjani kwa wingi yakaja kuwa...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Safari hii sijapata Tende za Msaada. Nani kanifinya? Serikali iangalie suala hili

    Nadhani kuna wahuni wanatufinya sisi wengine hizi tende za msaada. Safari hii sheikh wangu J. Topeo anasema hakupata. Ni kweli au naye ananifinyia kwa ndani? Serikali iingilie kati suala hili kwa kweli. Maana ni kama imetuacha wananchi wake. Tende ziingizwe nchini bure kwa wingi.
  14. haszu

    JamiiForums Tanzania Je, hili tatizo langu pia ni suala la nguvu za kiume? Nakosa nguvu

    Ndugu zangu, yaani nikiwa kwenye tendo, nashughulika vizuri tu. Ila sasa baada ya siku moja ya tendo, mwili unakua unachoka sana. Nakua na usingizi mzito hata mchana naweza lala masaa hata 5. Jambo hili huingilia ufanyaji kazi wangu kabisa na kufanya nishindwe kufanya kazi. Nimepima sukari na...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Hivi unakiri vipi kwenye kweye TV inayotazamwa na watu wengi hivyo jambo linaloweza kukuingiza matatani? Haya sasa mambo yameharibika! Chuo Kikuu Ardhi kimepata taarifa kupitia Wasafi FM, chaneli ya YouTube ya mahojiano kati ya waandishi wa habari na mapacha wawili wanaofanana. Mahojiano hayo...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Raisi akiingilia suala la Dube kama alivyofanya Kwa Fei Toto, Azam waliowahi kusaidiwa tatizo linalofanana wana ujasiri wa kumgomea ?

    Kwa Fei ilikubali, kwa Dube itakataa ?
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ubabe wowote ule kuhusu suala la NHIF utazidisha mgogoro

    Uwekezaji wa Hospitali si uwekezaji wa kitoto , si uwekezaji wa bei rahisi na wala si uwekezaji wa kudra za Mungu , ni gharama kubwa mno , siyo sadaka za Waumini waliofanyiwa miujiza na Mungu , ni hela nyingi inatumika Mimi ni Mfanyabiashara na natambua umuhimu wa Afya za binadamu , lakini ni...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Suala la Wachina kutujazia bidhaa bandia kwenye masoko yetu, je, wanatuona hatuna akili timamu?

    Kila Mtanzania ni shahidi. Mpaka vifaa muhimu vya umeme, maji na electronics bandia mchina kwa makusudi kabisa kutujazia Kariakoo kisha kusambazwa Tanzania yote. Nguo na mavazi nako ni hatari tupu, viatu na samani za ndani pia hajatuacha salama. Ni TBS au serikali kwa ujumla imeridhia? Kwanini...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Fakharia Shomari: Serikali Iliangalie Suala la Usafirishaji Haramu wa Binadamu Tanzania

    Mbunge Fakharia Shomari: Serikali Iliangalie Suala la Usafirishaji Haramu wa Binadamu Tanzania Mbunge Faharia Shomari akichangia hoja ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama amesema hivi sasa nchini lipo jambo la kutisha la usafirishaji haramu wa binadamu ambapo Wanawake...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Suala la Waziri Mkuu kununua simu kwa mkopo Vodacom ametupiga

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash. Hili suala ametupiga, naona ni namna yake ya kusifia Vodacom ambao kwa hapa ndio wadhamini wakuu. Nakaa...
Back
Top Bottom