Kwanini Serikali ya CCM inatutesa kwa suala la Umeme?

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
382
764
Inasikitisha kuona jinsi Wananchi wanavyoteseka kwa suala la umeme.

Kila kukicha umeme unakatwa tangu asubuhi mpaka jioni na hata usiku mpaka asubuhi. Jana nimesoma sababu walizotoa eti kuna upungufu wa mvua kwenye Mikoa inayopeleka maji kwenye mambwawa ya umeme kama Singida na Dodoma

Kweli hii inaingia akilini?. Nawaomba Wananchi mwaka 2025 tufanye mabadiliko.
 
Nchi hii tunajitesa wenyewe. Hili suala la umeme ingekuwa ni nchi inayojitambua kuliko kukaa bure basi mabarabarani ingekuwa maandamano ya kumtaka Samia a step down kwa kuishindwa kadhia hii inayo umiza watu.
Lakini sisi leo eti kuna watu wenye heshima zao wanachanga pesa kumnunulia fomu agombee tena 2025 kwa maana wanaridhishwa na haya ili yaendelee tena na tena.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom