suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Je, Makonda suala la umeme, sukari na nauli yamemshinda?

    Makonda aache sanaa na janja janja. Na kwa kua ameamua kujipa hata kazi ambazo sio zake na kama kweli ana ubavu, tunamuagiza alivalie njuga suala la umeme, sukari na suala zima la nauli. Haya ndiyo mambo makuu ambayo ni kilio kwa Watanzania wengi wa hali ya chini na kati.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dotto Biteko, kwa nini suala la mgao wa umeme halifiki kikomo?

    Yaani nashangaa umeme bado ni kero kubwa sana kwetu sisi wananchi wa Tanzania. Tuliaminishwa kwamba kijana huyu mheshimiwa Waziri Biteko akiingia mgawo wa umeme utakuwa historia lakini mpaka muda huu bado ni bila bila. Umeme kukatika hovyo hovyo Tanzania imekuwa ni kero isiyopata suluhisho la...
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Majaliwa: Suala la Picha ya Rais Samia kuwekwa kwenye fedha litajadiliwa

    Akijibu hoja ya Ng'wasi Kamani kuhusu kuwekwa kwa picha ya Rais Samia kwenye fedha zetu Bungeni leo, PM Majaliwa amesema suala hilo litajadiliwa kwa kina. "Maamuzi ya kuweka picha kwenye noti mara nyingi yanafanywa na kiongozi mwenyewe kwa kushauriana na Benki Kuu, kwa kuwa umelileta hili na...
  4. Fundi kipara

    JamiiForums Tanzania Yanga tusipokuwa makini na suala la likizo tutaukosa ubingwa mapema

    Salam wananchi, natumai hamjambo na mnaendelea na majukumu ya kulijenga taifa la mama kizimkazi. Naomba kusema kitu japokua roho na nafsi vinauma. Viongozi wa team yetu pendwa ya Young African kuna sehem wana shida kubwa sehem sana kuhusu suala la kutoa likizo kwa wachezaji nyota katika tena...
  5. Nkaburu

    JamiiForums Tanzania Kuvuja kwa video ya vijana wanaotuhumiwa kujihusisha na uchawi ni kinyume na sheria

    Watanzania wenzangu poleni na mihangaiko na Shughuli zenu. Jana katika peruzi zangu nilikutana na Thread ya Mjanja M1 ikionyesha Video ya watoto/vijana wadogo wakihojiwa na Polisi. Nilishangaa, na nikahuzunika, awali ya yote issue hiyo ikaibua maswali. Sasa najua hapa ni kwa wabobezi wa masuala...
  6. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakuu wa vituo Polisi, OCD, RPC ndio wanaoongoza kunyima haki za watu pindi linapokuja suala la uchunguzi

    Sijui ni uwezo mdogo kielimu ndiko kunapelekea polisi kunyima haki pindi watu wanapopeleka malalamiko! au ni serikali kupitia CCM ndio mnawafumbia macho hawa polisi? kuna kesi nyingi sana za watu kupotea, kudhulumiwa, ma kuonewa ila.ikifika polisi wanaangalia mwenye hela na uwezo kiofisi! Mtu...
  7. Lambardi

    JamiiForums Tanzania Iundwe tume Huru suala la mafuta ya petroli

    Wanabodi kama alivyopendekeza Mbunge. Naomba kusisitiza suala kuundwa tume huru tujue madudu yapoje na upigaji kwenye mnyororo mzima wa mafuta ya petrol. Kumtoa Mjinja bado hakusaidii wameiba sana. NAtoil ni balaa na laana kubwa.
  8. DON YRN

    JamiiForums Tanzania Suala vifurushi vya huduma za simu kupanda bila taarifa, nani anafaidika?

    Ni kweli enyi wana CCM, sisi wananchi ni mitaji yenu na wala hatuna cha kuwapangia na hatuwezi kuwafanya chochote. Kama sisi ni mitaji yenu, basi jaribuni kuilinda ili biashara isije tetereka. Leo nimejaribu kununua kifurushi kwenye mtandao ninaopenda, nilichokutana nacho kinakatisha tamaa...
  9. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Suala la Umeme linafanya niwaze siasa

    Mimi ni wale watu ambao hawajihusishi wala kujishughulisha na kitu kinaitwa SIASA. Ni mwezi sasa hapa nilipo kumekuwa na mgao mkali sana wa Umeme. Yaani ndani ya siku 30 naweza kuwa nimepata umeme siku 5 tu (Yaan ukiunganisha unganisha mgao kufikia masaa 120-5days). Hii inanifanya nijiulize...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hili suala la posho ya mbunge ya siku moja kuzidi mshahara wa mwezi wa Mwalimu, HALIKUBALIKI!

    Salaam wapenzi wana JF. Leo nimeamua kuwasilisha hii kero ya ukosefu wa usawa linapokuja suala la kufaidi keki ya Taifa. Yaani haiingii akilini kabisa kwa mbunge kulipwa pesa ya posho ya siku moja ambayo ni kubwa zaidi kuliko mshahara wa Mwalimu wa mwezi mzima. Siyo sawa kabisa. Ahsanteni.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inapaswa kuacha kuongeza chuki katika suala la Bahari ya Kusini ya China

    Hivi karibuni, Balozi wa Ufilipino nchini Marekani, Jose Manuel Romualdez alipohojiwa na chombo kimoja cha habari alidai kuwa, Bahari ya Kusini ya China, na si Taiwan, ni sehemu ya hatari, ambapo vita inaweza kuanza wakati wowote. Siku moja kabla ya hapo, Ufilipino, pamoja na Marekani na Japan...
  12. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Hili linaweza kuwa suluhisho la kulea watoto wa kubambikiziwa?

    Habari za uzima wakuu? Nikiwa naelekea katika harakati jumatatu njema kabisa, nikakutana na hii kitu hapa. Hii ni HOME DNA TESTS KIT, kama ambavyo wanawake wanaweza kujipima mimba na wanaume wameletewa hii. Kwani Nchini Tanzania zimefika hizi au Ndio kupima kwa kila mtu mmoja mmoja na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wahusika shughulikieni suala la chemba za maji taka kujaa kariakoo

    Mwezi wa 11 nilienda Kariakoo kwenye mitaa ya Agrey na karibu mitaa yote chemba za maji taka zilikuwa zinatoa maji machafu kuashiria karo linalohofadhi maji taka hayo kuwa yamejaa. Lakini cha kushangaza jana nimeenda tena nakutana na shida ileile, kwa maana kwamba tatizo nililolikuta mwaka jana...
  14. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu juu ya suala la Tanzania kujiandaa kuwafanya watu wake kuwa raia wa Dunia "Global citizen"

    Tanzania inatazamia kuhakikisha raia wake wanatoka nje ya boksi na kushiriki kikamilifu bila kujifungia mipaka juu ya ustawi wa Dunia, yaani Raia wa Dunia. Kupitia jukwaa hili nimetamani sana kutoa mtazamo wangu ambao unaweza pia kuwa ushauri. Lengo ni kuhakikisha ushiriki wetu kama Taifa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya CCM inatutesa kwa suala la Umeme?

    Inasikitisha kuona jinsi Wananchi wanavyoteseka kwa suala la umeme. Kila kukicha umeme unakatwa tangu asubuhi mpaka jioni na hata usiku mpaka asubuhi. Jana nimesoma sababu walizotoa eti kuna upungufu wa mvua kwenye Mikoa inayopeleka maji kwenye mambwawa ya umeme kama Singida na Dodoma Kweli...
  16. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Picha: Hivi hili suala kuwahusu walimu lina ukweli ndani yake?

    Endapo Mpwayungu Village atapita hapa. Atasononeka sana, aisee!
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kwa kasi ya Aziz Ki muda si mrefu Mayele anaenda kuwa exposed kama Tyson aliyokuwa exposed na Evander mwaka 96

    Kabla hajakutana na Evander kila mtu alikuwa anasema Tyson is undisputable. Siku aliyo kutana na Evander akawa ndio ingawa siku yake ya kuwa exposed to the world kwamba , kumbe Tyson ni bondia wa kawaida tu. Usiku you instead ya Tyson kuwa bully kama alivyo zoea yeye ndio akawa bullied...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kigamboni aahidi kulifanyia kazi suala la uchafu na uchakavu wa vyoo vya Hospitali ya Vijibweni

    Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Faustine Ndugulile ameona hoja ya Mdau wa Jamii Forums aliyedai Vyoo vya Hospitali ya Vijibweni iliyopo Kigamboni, Dar es Salaam ni vichafu kwa ndani, vinatoa harufu kali na pia miundombinu yake ni chakavu, anadai kwa miezi mitatu aliyofika eneo hilo hakuna taa na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Majanga Hanang majibu ya kebehi ya wataalam TANESCO kuhusu suala la umeme

    Mungu hamfichi mnafiki.Msemo maarufu wenye miaka mingi. Wataalam wa shirika la ugavi wa umeme TANESCO wamejibiwa na Mungu mwenyewe pale walipojibu shutuma kwanini umeme haupatikani huku mvua zikinyesha. Wakasikika wakisema zinanyesha katika mikoa mingine mbali kabisa na kule Mtera ambapo kuna...
  20. Exile

    JamiiForums Tanzania Hivi kama nchi suala la vitambulisho vya taifa limetushinda?

    Katika kero ukiachana na tanesco basi hi hawa Nida, asilima kubwa wananchi hawana vitambulisho wala namba Na sijajua mkurugenzi wa nida ni nani na sijawahi sikia katumbuliwa au kutenguliwa hii ni changamoto sana mimi nimejaribu mara kadhaa tangu mwaka jana lakini sijafanikiwa na jana saa 11...
Back
Top Bottom