special

Special forces or special operations forces (SOF) are military units trained to conduct special operations. NATO has defined special operations as "military activities conducted by specially designated, organized, selected, trained and equipped forces using unconventional techniques and modes of employment".Special forces emerged in the early 20th century, with a significant growth in the field during World War II, when "every major army involved in the fighting" created formations devoted to special operations behind enemy lines. Depending on the country, special forces may perform functions including airborne operations, counter-insurgency, counter-terrorism, foreign internal defense, covert ops, direct action, hostage rescue, high-value targets/manhunt, intelligence operations, mobility operations, and unconventional warfare.In Russian-speaking countries, special forces of any country are typically called spetsnaz, an acronym for "special purpose". In the United States, the term special forces often refers specifically to the U.S. Army Special Forces, while the term special operations forces is used more broadly for these types of units. Members of special forces units are often called "operators", a term originating with Delta Force.

View More On Wikipedia.org
  1. Valentine special (mke ) anahitajika

    Hello Guy's kama kichwa kinavyo someka Binti / Mwanamke aliye single anahitajika: Sifa za Mwanamke: - Mwenye: heshima, Nidhamu, Utii, Hekima, Uvumilivu. - Umri: Miaka 25 - 45 - Ukazi: Dar es salaam / East Africa Sifa za Mwanaume: Mrefu, Mweupe Mwenye hofu ya Muenyezi Mungu Mpole, Mcheshi na...
  2. Taarab: Special thread

    Hii ni special thread Kwa wapenzi wa muziki wa mwambao wa Pwani. Natoa nafasi - Zuhura shaabani
  3. Nyimbo zimeenda wapi kwenye mabasi ya kukodishwa(Special Car Hire)?

    Wasalaam Kabla magari ya KUKODISHA maarufu kama Costa hayajarasimishwa nilikuwa nashuhudia ABIRIA WENGI WAKIIMBA NYIMBO ZA MAOMBOLEZO Naukiza swali, zile nyimbo zimepitwa na wakati? Maana siku hizi ni KIMYA KIMYA
  4. Bikira ina nini special kwa watu wa dini hadi waitukuze kiasi hiki?

    Kuna dini moja inamwabudu mwanamke bikira, alizaa mtoto zaidi ya mmoja, lakini bado wanamuita bikira mtakatifu mama wa Mungu. Dini nyingi wanaamini kwamba peponi ukifika unapewa wanawake bikira 72, ambao ni mabikira milele, hata uwafyantue kiasi gani wao wataendelea kuwa mabikira tu milele na...
  5. C

    Anayejua nafasi special zinazotolewa na jeshi je, Ni kwel zipo na kama zipo zinatolewa kwa mfumo gani?

    Msaada tafadhali kwa anayejua zaidi kuhusu nafasi special zinazotolewa na jeshi je? Ni kweli zipo na kama zipo zinatolewa kwa mfumo gani?
  6. Special Thread: Video za udambwi/manjonjo kwenye mpira wa miguu

    Wanasema mpira sio kushinda magoli tu, bali mpira ni kujua kuuchezea na kuutawala. Huu ni uzi maalumu wa kutupia video za udambwi dambwi wa mastaa kwenye ulimwengu wa mpira wa miguu. Mimi naanza na hawa viumbe wawili Lionel Messi na Cristiano Ronaldo DONDOSHA NAWEWE CLIP YA VIDEO...
  7. What's so special about J Cole

    Nataka nianze kumsikiliza huyu mwamba .. baada ya kujua kuwa Yeye na studio yake wameproduce Soundtracks za kwenye Creed 3 . Wanazi wa hip hop Scars Extrovert Nipeni ngoma tano Bora za huyu mwamba nizisikilize.. itakuwa vyema pia nikipata na facts kumhusu
  8. Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

    Hizi shule(mzumbe,pugu,kisimiri,ilboru,kibaha and the likes) japokua siku izi nyingi zimepoteza sifa zake aisee kama una moyo mwepesi usiende huko unaweza kupata depression au pressure ukashindwa kusoma Miaka Hio mwisho wa miaka ya 2000 niliripoti Moja ya shule tajwa hapo combination ya pcm...
  9. Morocco National Football Team (The Atlas Lions) Special Thread

    MOROCCO NATIONAL FOOTBALL TEAM 🇲🇦 HONORS: Tafadhali, wenye elements za ubaguzi wapite pembeni, uzi huu hauwahusu!
  10. Morocco National Football Team (The Atlas Lions) Special Thread

    Moderator kuna thread mbili zimeniijia, naomba ufute hii ambayo haina chochote ndani yake
  11. Uzi special kwa ajili ya Kuijadili Taifa Stars AFCON

    "Leo inaanza match ya kwanza kwa kupokea kichapo kutoka Morocco." Haya si maneno yangu ni maneno ya mdau mmoja ambaye alikuwa anaongea kwa kutabasamu kabisa akijinasibu kuwa yeye anashabikia Morocco. "Litimu letu halina mori kabisa. Wacha lifungwe tu maana halijitambui. Lingeangalia wenzao...
  12. 2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Ni michuano ya 34 ya Mataifa huru ya Afrika ambayo itafanyika Ivory Coast kuanzia January 13 mpaka February 11 ya 2024. Itashirikisha timu 24 ikiwemo sisi Tanzania. Michuano hiyo itafanyika katika majiji matano huku viwanja sita vitatumika katika michuano hiyo. Hii ni mara ya pili kwa Ivory...
  13. Special Thread: Happy New Year 2024, Wishes to JF Members

    Dear JamiiForums Members, As we embrace the dawn of 2024, may your paths be adorned with joy, prosperity, and boundless possibilities. Let the New Year be a canvas of fresh opportunities, where your aspirations paint vibrant hues of success and fulfillment. May the threads of connection...
  14. Unakula Usiku wa Xmas ukiwa bar, pub au kiwanja gani?

    Tujuane wadau, labda nilipokaa hapa kuna member wa jf nae ana-browse ila hatujuani. Nimerudi Dar jioni hii ila nimetulia hapa Micassa Pub Ubungo Uko wapi mdau? Mshana Jr LIKUD The Boss Extrovert cocastic Nifah dronedrake The only Na wengine wengi
  15. A

    Majimaji FC Special Threat

    Wanalizombe Jambo hili ni letu. Tumuombe Mhe. Dr Jokate atusaidie kufufua timu yetu ya nyumbani
  16. Uzi Maalumu wa Nyimbo za Injili (Gospel Music Special Thread)

    Bwana Yesu asifiwe! Nimeanzisha huu uzi maalumu na mahususi kwa wapenzi wa nyimbo za injili. Hapa tutakuwa tunabadilishana nyimbo mbalimbali za injili za sasa na zamani. Huenda kuna mtu anautafuta wimbo fulani wa injili bila mafanikio. Basi ataomba wimbo huo hapa jukwaani na atatumiwa na...
  17. R

    ALBERT EINSTEIN: Haya yanatokana au yana uhusiano mkubwa kutokana na theories zake za Special and General Relativity na Photoelectric Effect

    Kwa kutumia penseli, karatasi na kufikiri kusikomithirika (power of thinking), aliweza kuifanya dunia kuwa kama ilivyo sasa kwa kiwango kikubwa, may be by 90% or so! . Hakuwahi kuingia kwenye maabara kama za kisasa, bali kufikiri (power of thinking) na kufanya "practicals" kichwani (theoretical...
  18. eFootball Special Thread

    eFootball ni mchezo wa simu unaohusisha mpira wa miguu, na hapa kuna habari muhimu kuhusu mchezo huo: ▫️Jina na Kurekebishwa: Mchezo huu awali ulijulikana kama "Pro Evolution Soccer" (PES), lakini baadaye ulibadilishwa jina kuwa "eFootball." Mabadiliko haya yalifanyika ili kuongeza msisimko na...
  19. Economics books special thread: vitabu, majarida, uchambuzi

    Huu ni uzi maalumu kwa yoyote yule mwenye kitabu, jarida, chapisho n.k linalohusu uchumi katika mfumo wa soft copy anaweza kutupia hapa ili kila mtu ajifunze mambo mbalimbali kuhusu uchumi. Iwe ni kitaifa au kimataifa hakuna limit ya nchi au eneo lolote. Nawakaribisha wote.
  20. U

    Nini hasa kinafanya gharama za kuchimba kisima kuwa mil 8, 10, 12? What is so special?

    Katika vitu ambavyo Kila nikifikiria nakosa majibu ni gharama ya kuchimba kisima na Ile mitambo yao kiujumla, Sote tunajua kuwa katika mitambo inayouzwa bei ghali ni mitambo ya kutengeneza Barabara na ya migodini, ikiwemo Wheel loader, Excavator, Bull dozer (mashine ya kipekee ambayo ukiwa Dar...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…