Bikira ina nini special kwa watu wa dini hadi waitukuze kiasi hiki?

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,723
10,227
Kuna dini moja inamwabudu mwanamke bikira, alizaa mtoto zaidi ya mmoja, lakini bado wanamuita bikira mtakatifu mama wa Mungu.

Dini nyingi wanaamini kwamba peponi ukifika unapewa wanawake bikira 72, ambao ni mabikira milele, hata uwafyantue kiasi gani wao wataendelea kuwa mabikira tu milele na milele.

Hizo ndio dini tulizoletewa na melikebu
 
Ni ishara ya usafi na originality, wewe utapenda kununua apple supeMarket ilio g'wantwa tumia your xommon sense uache chuki kwa dini za watu.,
 
Kuna dini moja inamwabudu mwanamke bikira, alizaa mtoto zaidi ya mmoja, lakini bado wanamuita bikira mtakatifu mama wa Mungu.

Dini nyingi wanaamini kwamba peponi ukifika unapewa wanawake bikira 72, ambao ni mabikira milele, hata uwafyantue kiasi gani wao wataendelea kuwa mabikira tu milele na milele.

Hizo ndio dini tulizoletewa na melikebu
1. Uzinzi wa muasisi, uzinzi tu , uzinzi.
2. Kumdhalilisha mwanamke
3. Mia za watu
 
Kuna dini moja inamwabudu mwanamke bikira, alizaa mtoto zaidi ya mmoja, lakini bado wanamuita bikira mtakatifu mama wa Mungu.

Dini nyingi wanaamini kwamba peponi ukifika unapewa wanawake bikira 72, ambao ni mabikira milele, hata uwafyantue kiasi gani wao wataendelea kuwa mabikira tu milele na milele.

Hizo ndio dini tulizoletewa na melikebu
Hapa mtakesha
 
Wenyewe hudai kuwa peponi kuna raha sababu ya hizo bikra 72 na mito ya Heineken "gongo za kizungu" kuliko mbinguni penye mapambio tu.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
ukimaliza uraisi au waziri mkuu utaitwa nani? si raisi mstaafu,waziri mstaafu
 
Wenyewe hudai kuwa peponi kuna raha sababu ya hizo bikra 72 na mito ya Heineken "gongo za kizungu" kuliko mbinguni penye mapambio tu.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
1706949668934.png
 
Mkuu mwanamke hufanya comparison kati ya mwanaume mmoja kwenda mwingine, kama kuna msela alishampelekea moto hadi gololi zikagongana tjen ukaja kumwoa wewe goigoi basi jua wazi atamtafuta huyo msela amkate kiu. Ndo maana jamii zote zilithamini sana bikra
 
Back
Top Bottom