Special Thread: Video za udambwi/manjonjo kwenye mpira wa miguu

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Wanasema mpira sio kushinda magoli tu, bali mpira ni kujua kuuchezea na kuutawala.

Huu ni uzi maalumu wa kutupia video za udambwi dambwi wa mastaa kwenye ulimwengu wa mpira wa miguu.

Mimi naanza na hawa viumbe wawili Lionel Messi na Cristiano Ronaldo





DONDOSHA NAWEWE CLIP YA VIDEO INAYOONYESHA UDAMBWI WA MPIRA
 
Back
Top Bottom