What's so special about J Cole

mistari yake inapenya, haimbi mumble rap kama kina dababy

anaimba kuhusu uhalisia wa maisha

sijasikiliza nyimbo zake zote ila zote nilizosikiliza kaua

angalia kama hapa kwenye 'pride is the devil' ft lil baby

'terrified, paranoid I'll put you over everything to fill the void
and when you're gone will I have anything
or will I be destroyed?'


yeye, kanye na lamar, ni noma
 
Humsikilizi Kwa maana hupotezi muda kutafuta nyimbo zake!? Au unazisikiliza kama ajali TU yaani ukutane nazo Kwa tv au radio! By the way huwa unamsikiliza nani zaidi au nani favorite wako?
Nawasikiliza ila sijawahi kuvutiwa nao kwa kiwango cha kunifanya wawe marapa wangu bora.

Joyner Lucas, Tech9ine, Dax, na Eminem

Bila kumsahau Chicago rapper Juice Wrld yani huyu ni complete package iliyosheheni vitu vingi kwa wakati mmoja.

Hao niliowataja haijawahi kupita siku nisisikilize ngoma zao hasa Joyner Lucas na Juice Wrld haiwezekani.

Hao wengine ambao sijawataja naweza nikawa na ngoma zao baadhi tu ila siwapi attention yangu labda itokee tu niwe na mood fulani ndio naweza nikajikuta nasikiliza ngoma zao.
 
Msikilize tena na tena utajua tu ubora wake na ukiona humuelewi,sio lazima umwelewe....
Anabebwa na watu,label na kampani yake lakini kwangu sio mwandishi mzuri...
 
Lights please by Jcole.. hiyo ni ya kitambo sana enzi anatoka ndo ngoma jigga alipoiskia tu akamchukua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom