sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Karibu sana Peter Msigwa, Roho yako ni Hai kwa CHADEMA, ila Mwili ndio Ulikua Dhaifu! Akili, Uwezo, Ubunifu, Busara zako sio za kukaa CCM, Pole sana!!

    Kwa Peter Msigwa, Akili, Uwezo, Ubunifu wake ndani ya CCM Ulikua ni 'Umefungwa'. Peter Msigwa nayemfaham yeye hawezi kaa kuvumilia Watu watekwe, Kuuwawa, Kusumbua Kanisa, Kufunga wapinzani Kufungia Chama , Maisha ya Mtanzania kua Juu, Gharama kupanda ,huku Mafisadi wachache wakijineemesha ...
  2. Mad Max

    JamiiForums Morogoro Road kuna foleni leo hatari. Kama sio lazima usipite!

    Kuanzia Kibo kuelekea Mbezi foleni mbaya kwasababu ya ujenzi wa barabara. Matrafiki wamekimbia, barabara vurugu.
  3. Financial Analyst

    JamiiForums Unaanzaje kuita nyumba ya mwenzio kibanda na haina wadhifa wa nyumba eti kisa ni ndogo sana, kwani nini maana ya nyumba? Analea familia na sio gesti.

    Toa miguu hio uliyoweka kwenye kochi la shemeji yako ukisubiria tamthilia ya kobis. Weka hio simu pembeni ambayo una like picha za sponsor wako huku ukiwa umekaa geto wenzako wako ground wanahangaika. Alafu, Uoneshe definition inayotambulika duniani ya nyumba inavyotakiwa kuwa. Yani mwamba...
  4. Alexido jz instagram

    JamiiForums INSHU YA TEMBA ALIEKATWA KICHWA, SIO YA KISIASA MSIPOTOSHE, KIJANA, ALIKUA UVCCM

    Nimeshangazwa mitandaoni watu wamekomalia kuwa inshu hiyo ni ya kisiasa, wengine wameenda mbali eti mganga anaetuhumiwa si mganga ni ka mchezo tu, kuikinga serikali. Kama tutaendelea hivi sioni haja ya kufatilia siasa mana naona imekua too much, tumeanza kuwa wajinga, watu wamekamatwa kichwa...
  5. technically

    JamiiForums Kuwasha subwoofer kwa sauti kubwa sio dalili za umasikini?

    Miaka hii ya 2026 watu wanatumia smart tv na unlimited wifi bado Kuna watu wanarusha miziki kwenye vibanda na kuja kusumbua wengine wasilale usiku Hivi hii tabia ya kununua sabufa na kufungulia mziki mkubwa ndani na kusumbua watu waliopo nje au majirani Wengine unakuta wamepanga vyumba vya...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Eti Marco Rubio, kwani Mwafwele alikua amepanga kuizuru Marekani sio hata mumzuie?

    Kwa asivyo na mambo mengi, sidhani kama huyo muungwana alikua anafikiria au hata kuizuru Burundi au Uganda tu kwenye maisha yake yake yote humu duniani, sembuse Marekani? For sure, Marco Rubio umekurupuka Mzee baba kwa kupotoshwa na vibaraka wako.🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  7. Dr Adam Francis

    JamiiForums Sio afya kwa serikali, Jeshi letu la Polisi linapotiliwa mashaka

    Kaka yangu Nape, mapema mwaka huu aliwahi kusema, kama serikali isipodhibiti matumizi ya nguvu dhidi ya raia, Siku moja wananchi watakikataa chama chetu. Kila mtu anaweza kuwa na mtazamo wake juu ya hili, lakini mimi napenda kuwakumbusha viongozi wangu uchaguzi wa 2010 Mbeya mjini kati ya Sugu...
  8. K

    JamiiForums Mama 2021 Maua mazuri sasa 2026 yamekauka

    Kwa wanaopenda Tanzania tuko katika wakati mgumu sana kama nchi . Washauri wabaya na uvivu na kujiachia kizanzibari sasa Mama ambaye alikuwa maua yenye harufu nzuri 2021-2022 sasa maua yamekufa kabisa ni lazima yaote upya au tuoteshe mengine. Haya maua ni too late sasa
  9. Mad Max

    JamiiForums Mi Kataa Ndoa. Ila kama ikikulazimu Kuoa, Hakikisha shemeji Anajua Kupika. Vingine vinavumilika, ila sio msosi m’baya!

    Kichwa kimejieleza totally. Vingine vinasameheka, vinavumilika, vinasahaulika. Kasoro chakula.
  10. Waufukweni

    JamiiForums PostGE2025 Maduhu: Hoja za kisiasa zijibiwe kisiasa na sio mwanasiasa atishiwe na kujibiwa na Msajili au Jeshi la Polisi

    Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 20, 2026, amesema hoja za kisiasa zijibiwe kisiasa na sio mwanasiasa atishiwe na kujibiwa na Msajili wa Vyama vya Siasa au Jeshi la Polisi, kwani mfumo wa nchi unaruhusu uwepo wa vyama vingi...
  11. baz kaiza

    JamiiForums Matatizo ya nchi hii hayatokani wala kusababishwa na CHADEMA bali CCM imekengeuka sio tena Chama cha wakulima na wafanyakazi

    CCM ikiongoza serikali wanaangaika na Chadema bila hata sababu za msingi. Swali la kujiuliza CCM bado inasimamia misingi ya uanzishwaji wake? CCM imezaliwa na TANU cha kushangaza chama cha wakulima na wafanyakazi ghafla kikawa chama cha wafanya biashara, Mafisadi ni ukweli usiopingika kwamba...
  12. Idugunde

    JamiiForums Neno moja kwa huyu kijana shupavu ambae amewatia moyo Gen Z kuwa sio wahuni wala majambazi wanaostahili kupigwa na kutekwa

    Kijana shujaa wa Chadema ya Lissu👇
  13. Fbn

    JamiiForums Japo kifo kipo ila kuna watu wakifariki labda muunde kamati ya kuwalilia ila sio watanzania na nzengo zao.

    Nimewaza tu jinsi matendo yao na maovu yao wanavojiona kuwa wapo duniani mpaka mwisho wa dunia. Nawaza jinsi nguvu kubwa itakayotumika watu waonekane na majonzi wakati ukatili waliofanya wakiwa madarakani na vyeo vyao. Tumeshuudia kwa aliyekuwa spika wa bunge. Hivi mfano Stephen Wasira.Hapa...
  14. Teslarati

    JamiiForums Maisha yanaenda kasi sana sio kwa madhaa haya

    Jf
  15. Moto wa volcano

    JamiiForums Sio watalii wote ni wema wengine ni wahalifu

    Sio watu wote wanaokuja kutalii katika nchi zetu za Afrika ni watalii wengine ni wahalifu kutoka katika nchi zao , wanakimbia msara waliofanya walikotoka . Sehemu kama Zanzibar wanafika watu wa kila aina Majambazi, Drug dealers, makahaba . Tatizo letu watu weusi tunawaamini sana wazungu kwa urahisi
  16. K

    JamiiForums Warioba yuko sawa kusema Mama Samia kachaguliwa na Tume sio Watanzania

    Mama Samia kachaguliwa na tume fake kuwa raisi fake wa Tanzania bila kupata kibali cha Watanzania. Hivyo msishangae Watanzania kumkataa . Watetezi wake ambao hawewezi kubisha hoja hii watabakia kuwa machawa lakini kizuri Watanzania wamegoma
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kofia(boshori) zibauso achia macho zinazoanza kushamiri mitaani sio nzuri kiusalama

    Hamjambo! 1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana. 2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana...
  18. Mad Max

    JamiiForums Honda wamezindua 4th Gen Insight: Sasa hivi ni full EV sio tena hybrid kama matoleo ya nyuma!

    Najua inawezakua ni habari mbaya kwa wengine. Ila ndio hivyo. Honda wamezindua generation ya nne ya hybrid yake pendwa Honda Insight, ila sasa wameachana na hybrid moja kwa moja wameenda EV. Kwahiyo Insight EV jina jingine itaitwa Honda e:N2 kwa masoko ya China na Thailand. Kwa kuanza...
  19. Gunner11

    JamiiForums Sio Mungu tu tuliyemkataa

    Another Sunday, another boredom, another weekend. Nimeamka Salama namshukuru Mungu. It got me thinking, when was the last time going to church? Je namshukuru Mungu kweli, au naongea tu Kwa vile ni msemo wa Kila siku(jumapili especially!) je huyo Mungu WA kanisani nisiyemuamini Kwa nini bado...
  20. Ibilisi Mjalaana

    JamiiForums Sio Biblia sio Quran iloitaja umri wa mwanamke kuolewa hiyo 18 mmejitungia tu

    Mm nasema hamna kama kuna mwenye aya au ushahidi wowote aje nao nimpe 300,000 usiku huu Muhammad (60) kwa Aisha ilikua sahihi Na Joseph (63) kwa bikira Maria ni sawa Hiyo 18 ni mbwembwe za waja, kama unaushaid iweke mbele weka lipa namba
Back
Top Bottom