Mtoto halali au sio halali

Mtoto halali au sio halali

IamChasulwa

New Member
Joined
Jan 3, 2026
Posts
1
Reaction score
7
Familia natumai mko poa sana!
Kuna nimekutana na habari mahali fulani kiukweli inahuzunisha kwa kiwango chake.

Ipo hivi....

Kuna jamaa alikuwa kwenye mahusiano na mwanamke (single mama) wakaishi kwa muda,huyo mama alikuwa na ajira yake. Maisha yao yamekuwa yalikuwa ya kawaida tu namaanisha (kiuchumi).

Baasi siku zikaenda na masaa nayo hayakubaki nyuma,mwanamke akadaka kama sio kushika mimba. Jambo hili lilileta furaha miongoni mwao hasa mwanaume kwakuwa hakuwa na mtoto. Siku zilienda hatimaye miezi tisa ikakamilika na mama mjamzito akajifungua mtoto wa like. Kwa kipindi chose cha ujauzito hawajawahi kuishi pamoja badala yake kila mmoja yupo kivyake vyake.

Mtoto amezaliwa,kutambaa kusimama na hata kutembea jamaa anawajibika roho na mwili kila hatua. Mtoto amekuwa kiasi cha angalau kuanza cheke chea, jamaa hakufanya ajizi alimpeleka mtoto shule (nursery school) mpaka mwaka ukatamatika(mwaka wa masomo).

Maisha yakaendelea siku nazo hazigandi kama alivyosema komando Jide, mara mwanamke akapata mimba, jamaa bado akaendelea kuwajibika mpaka mtoto akazaliwa.

Hapo katikati kwenye mahusiano kuna pulukushani nyingi waliopo huko wanajua lakini hakuna kinachosimama.

Siku moja mwanamke yupo kazini,mwanaume alikwenda nyumbani kwa mwanamke na kumkuta dada wa kazi baada ya salamu again akaingia ndani. Ili iwe siku ngumu.. macho yakaona jambo kulifuatilia ni kadi ya mtoto ya kliniki,akaona isiwe taabu wacha niisome .

Alipomaliza kuisoma akaiona kadi nyingine kumbuka tayari ana watoto wa wili na mama huyu lakini pia mama huyu anaye mtoto mwinhine kabla ya mwamba.

Katika kusoma soma akaona jina la mtoto ambaye mama huyu si wake,ikabidi akazae macho hapo katika kusoma ndipo akagundua tofauti ya jina la mtoto yule aliyezaa nae wa kwanza na huyu mwingine tofauti yake ni jina la mtoto na baba lakini taarifa zingine zoote zinafanana ikabidi atulize kichwa vizuri akunukuu namba za baba wa mtoto toka kwenye kadi hiyo.

Alijikaza bila kumwambia mama huyo(single mama) ila alichifanya ni kufuatilia kama namba hiyo mama huyo anayo. Baada ya upekenyuzi huo aliiona na ni mtu anawasiliana nae mara kwa mara.

Maamuzi aliyochukua ni kumsaplaizi.......

Inqendeleea👇👇👇
 
Duuh mahusiano yanachangamoto!
 
Back
Top Bottom