1. Angalieni safari ya Urusi kajaza ndugu zake na watoto. Hakuna hata kitu kimoja cha kunufaisha
2. Ni mkataba gani wa maana tumepewa au uwekezaji gani wa maana!!!
3. Yaani tukio kubwa eti ni kupewa PHD ya heshima!!!!
Haya mambo yote ni ya kufurahisha nafsi yake lakini manufaa kwa nchi hakuna