sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania Nawaomboa UHAI wote walihusika na kuua, kuteka na kupoteza miili ya ndugu zetu MO29 na kipindi hiki chote, Kifo kwangu sio Adhabu.

    Baada ya kufanya kazi kwa miaka zaidi ya 3 kwenye hospital, na kuwa karibu na wagonjwa wa kila namna, niliona kuwa kifo sio adhabu kwa mtu anayevunja sheria. Nataka kuona wakiwa mahakamani, wakitoa maelezo nani aliwapa oda, walilipwa shilingi ngapi( au walipewa tu hela za mafuta), wote...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wakili wa serikali Katuga hajasema kweli; kisheria maneno "shall be liable" maana yake ni lazima, kama sio lazima lugha sahihi ni "will" au "should"

    Nimemsikiliza wakili wa serikali Katuga akitoa ufafanuzi katika kesi ya uhaini inayomkabili Lissu kwamba sentence guideline ya 2023 inasema shall be liable maana yake ni mtuhumiwa anaweza kunyongwa au asinyongwe. Katuga hajasema kweli, na kama hajui maana ya kisheria ya maneno "shall", "will"...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Lissu aliona mbali: Leo Katuga anaiamba mahakama kuwa adhabu sio lazima kunyongwa, bali mahakama inaweza kutoa adhabu nyingine

    Aliyoyasema Lissu jana kuwa adhabu ya kosa analotuhumiwa nalo ni kunyongwa na kwamba mahakama isiambiwe kitu cha tofauti na hukumu ya kunyongwa au yeye(Lissu) kuachiwa huru Sasa hii hapa chini ni sehemu ya final submission ya Katuga leo mahakamani: Waheshimiwa Majaji kwa kuelezea kwa kirefu...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Range Rover wanaleta model yao ya Tano, hafu sio SUV: Karibu Range Rover GT Fastback!

    Land Rover wanaleta gari mpya kwenye familia yao ya Range Rover, anaitwa Range Rover GT (Range Rover GT). Guess what? Ni full EV, wakati Hybrid itakuja baadae. Hii ndio Range Rover ya kwanza kua non-SUV. Matajiri tuandae zaidi ya $100,000/= base model na itafika hadi $200,000/=
  5. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kuhusu utoaji huduma katika Zahanati ya Mkolowony Moshi DC

    Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu hali ya utoaji wa huduma za afya katika Zahanati ya Mkolowony iliyopo Moshi DC. Zahanati hiyo imeruhusu mtu ambaye si mtaalamu wa afya kutoa huduma kwa wagonjwa. Kinachotia wasiwasi zaidi ni taarifa kwamba mtu huyo anahusika hata katika kutoa sindano kwa...
  6. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Dhana Potofu ya Umri (makazini na jamii kwa ujumla)

    Katika jamii za wamatumbi tuishiyo, kuna hii dhana kuwa mtu akiwa mdogo kiumri basi hata executive function yake na akili zake haiwezi kufanya makubwa. Ila hii ni dhana mbaya sana, ambayo wamatumbi wengi wamekuwa nayo, hasa makazini. Ukienda kufanya kazi na ukawa mtu wa kutoa output ya kazi...
  7. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Ulinzi na Usalama havina uwezo kukanusha kama sio mali ya CCM

    Katika kile kinacho onekana na kinaendelea kuonekana dhahiri kua Majeshi yote ni Mali ya CCM na ndio yaliua watu siku ya maandamano ya October, CCM imesema kua Majeshi hayo ni Mali yao kwa kauli hii HAKUNA jeshi lenye NGUVU ya KUKANUSHA HILI
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Jonathan Mabihya, Ateuliwa tena kuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Singida , ila sio maadilifu kabisa

    https://www.jamiiforums.com/threads/inadaiwa-katibu-ccm-kilimanjaro-akwapua-mamilioni-ya-fedha-za-kina-mama-moshi.2065675/
  9. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Sehemu sahihi na sio sahihi kwa wanadamu waliopo duniani ?.Je ni makusudi ya mungu.

    Ili jambo nimetafakari sana kuhusu wanadamu wanapojikuta sehemu sahihi au sio sahihi kwa kuzaliwa,kuhama,kubadilisha mazingira,jambo,kazi na n.k. Kuna mambo unaweza kulazimisha sehemu sio sahihi na wakati wewe ni sahihi mfano kama teknolojia zingekuwa zinatokea afrika basi hata haya tunayo...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sio tendo la ndoa ni "ngono"

    Kwa nini Watanzania wanaogopa kusema "ngono" au "kutombana" badala yake wanasema tendo la ndoa (act of marriage) ? Unakuta watu hata hawajaoana wanasema walifanya tendo la ndoa! Ajabu ni kwamba ni rahisi kutamka "sex" lakini kwa Kiswahili wanaogopa!
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM: Serikali imejenga mochwari ya kisasa yenye vyoo, sio kawaida

    Kada wa CCM ameipongeza Serikali kwa kujenga mochwari ya kisasa yenye huduma za vyoo, akisema ni hatua inayodhihirisha maboresho katika huduma za kijamii. Amesema amefurahishwa na kuona mochwari hiyo ikiwa na miundombinu ya kisasa, ikiwemo vyoo, akisisitiza kuwa ni jambo lisilo la kawaida...
  12. Godman Autodidact

    JamiiForums Tanzania DR NCHIMBI NA KANISA:

    Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania. Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufika kipindi ambacho uchumi ulishuka ghafla, ulikubali vipi kubadilisha maisha uliyozoea na presha ya watu kukushangaa au kukucheka ?

    Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine. Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote. Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
  14. M

    JamiiForums Tanzania ITV Super brand kwa hili sio sawa!

    Moja ya Runinga yenye watazamaji wengi hapa Tanzania , East Africa na duniani kwa ujumla ni ITV , wazee wa super brand, ila cha kusikitisha baadhi ya vipindi vyake wanaweka watangazaji/mtangazaji asiye na uwezo hivyo kuathiri kabisa uwasilishaji wa taarifa kwa sisi walaji Mfano ni Msomaji wa...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Ukishangaa ya Kawe, Utastajaabu ya huyu mwambo hapa. Mind you hii sio comedy show

  16. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mabasi kama sio mbunge au waziri basi achana nayo.

    Kuna biashara zengine ukiziona kwa kuambiwa au kusikia bila kuingia unaweza kusema biashara ndio hii. Kwa jinsi ilivyo sasa hii biashara ya usafirishaji ilivyo kama sio mbunge au waziri,unaweza kujikuta umefirisika. Kwa nini naeleza ili japo wengi hizi biashara asilimia kubwa wanazani ni watu...
  17. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Sio kila baba ni mzazi hii pia imepelekea malezi ya single parenting kuongezeka kasi ila lawama zote anatupiwa mama na mama mkwe

  18. Samatime Magari

    JamiiForums Tanzania 🛣️Barabarani sio kila vita lazima ushinde na Upole Sio Ujinga..

    Sometime unakua mpole tu unaacha watu wanapita wanaenda Maisha yanaendelea. Sio wewe kila saa ni ubishi jamaa akisogeza gari na wewe unasogeza. kiongeza speed na wewe unaongeza eti unakaza/unabana sio sawa upole kiasi sio ujinga. . Na mpaka nasema haya nilishuhudia ajali moja ya isiyo ya lazima...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche. Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Bwawa la maji la Farkwa, Dodoma sio simulizi tena, kazi inafanyika kuibadili Dodoma na viunga vyake

    https://www.instagram.com/p/DdhhVstAk4m/
Back
Top Bottom