Kuwa MJASIRIAMALI na SIO MCHUUZI

Kuwa MJASIRIAMALI na SIO MCHUUZI

Rog chimera

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
428
Reaction score
766
Kama wewe ni mfanya biashara, zalisha bidhaa mwenyewe au ongeza thamani kwa namna moja au nyingine au toa huduma ( services) na sio kufanya uchuuzi.uchuuzi ni ujinga haukupeleki popote. bora ukaajiriwe uwe mtumwa halmashauri ya mpimbwe
 
mbona wachuuzi wa nguo za kichina akina Fred VUNJA BEI wametoboa na uchuuzi wao huo!
 
ndo maana nipo JEI EFU nijuze hicho behind the scene na mie niwe muelewa kama wewe
atupe na mifano ya hao walioongeza thamani na wametoboa bila kutumia hiyo mifumo ya wachuuzi akina vunja bei
 
Naunga mkono hoja. Julius mwenyewe alikuwa anawachukia sana wachuuuzi na walanguzi.
 
Back
Top Bottom