Kwa akili yako unafikiri dini zinatofautiana? Agenda ya dini ni moja tu basi kumtawala mwanadamu, Wasomi wazuri wanajua kuwa haya mawazo ya pepo ni propaganda tu za kumfanya mwanadamu awe mtii na mnyenyekevu kwa watawala.Professor, Dr halafu sio muislam? Hii inanipa shida sana katika akili yangu.
Why?
Kusoma kote huko hajauona ukweli?
Atakuja amenuna. Maana hawapendi ukweli hao watuKwa akili yako unafikiri dini zinatofautiana? Agenda ya dini ni moja tu basi kumtawala mwanadamu, Wasomi wazuri wanajua kuwa haya mawazo ya pepo ni propaganda tu za kumfanya mwanadamu awe mtii na mnyenyekevu kwa watalawa.
Soma vizuri dini yako halafu usiwe na mipaka fanya tafiti kwa kusoma vitabu vilivyokuwepo kabla ya dini yako, vilivyotokana na Clay Tablets, utagundua dini ni mchezo gani.