Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,528
- 6,264
Ni kazi kubwa kumkomboa mtu anayefikiri kuna mchawi wa maisha yake kumbe mchawi ni yeye mwenyewe kayakoroga, mtu wa aina hii ni ngumu kuyatatua matatizo yake .
Hata wewe usie amini unaonekana wa ajabu kila mtu aamini anavyotaka muhimu imani yake haileti madharaEti mtu anaamini Kuna Mungu.
Ajabu kweli kweli!
Kwakweli huo ni ugonjwa suguWaafrica wengi wanakabiliwa na hili janga
'Ninaonekana wa ajabu', lakini si wa ajabu.Hata wewe usie amini unaonekana wa ajabu kila mtu aamini anavyotaka muhimu imani yake haileti madhara
Braza point yangu haija base sana kwenye uchawi ila tu watu hawajanielewa ninachomaanisha matatizo mengi yanayowakabili watu ni ya kujitakia wenyewe hakuna mwengine aliyesababishaInategemea unaishi wapi kuna maeneo kila baada ya nyumba mbili kuna Sangoma ndio ujue huko uchawi kwao ni Jadi km hujawahi kufika sehemu km hio lazima uwe na mtazamo tofauti
Ofcoz wanga wapo ila ninachozungumzia ni kuna matatizo ya kujitakia hayana mkono wa mtudalili yao kuu ni mda wa kulala.
wao wakitua tu kitandani ni usingizi papo hapo.
ukiona hivyo jua huyo ni.
Nakubaliana na unalosema ila ninacho mannisha ni kwamba sio matatizo yote ni ya kusababishiwa na watu ila yapo ya kujisababishia halafu unaanza kutafuta mchawi wa maisha yakoUChawi upo mkuu tembelea sumbawanga,mpanda alafu ukaseme hakuna uchawi,utajuta.
Hapa sasa nimekuelewa mkuu kwa hio nenda kafanye editing pale juu maana mada imehamia kwenye uchawi na sio matatizo ya kujitakia futa uchawi andika matatizo ya kujitakiaBraza point yangu haija base sana kwenye uchawi ila tu watu hawajanielewa ninachomaanisha matatizo mengi yanayowakabili watu ni ya kujitakia wenyewe hakuna mwengine aliyesababisha
Haujawahi kusikia msemo usitafute mchawi wa Maisha yako mchawi ni wewe mwenyeweHapa sasa nimekuelewa mkuu kwa hio nenda kafanye editing pale juu maana mada imehamia kwenye uchawi na sio matatizo ya kujitakia futa uchawi andika matatizo ya kujitakia
Duuuh!!!Inategemea unaishi wapi kuna maeneo kila baada ya nyumba mbili kuna Sangoma ndio ujue huko uchawi kwao ni Jadi km hujawahi kufika sehemu km hio lazima uwe na mtazamo tofauti