sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. The Palm Beach

    JamiiForums PostGE2025 Prof Issa Shivji: Watanzania sio wajinga. Kiungo kati ya AMANI na HAKI ni UWAJIBIKAJI. Hatuwezi kupiga hatua bila viongozi wakosaji kujiwabika!

    https://youtu.be/0niFxKMdOSI?si=AQnb1lDVaELvbk05 ANASEMA: Nchi hii si mara ya kwanza kushuhudia ukatili na mauaji ya watu (raia) wasio na hatia uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama chini ya usimamizi wa viongozi wa kiraia ma RCs, DCs au Mawaziri Tofauti na wakati ule, katika matukio ya...
  2. Stability

    JamiiForums Ongezeko na video za shughuli za wadada kushereheshwa na mashoga sio ishu ya bahati mbaya, ni mpango mzima wa kudhalilisha uanaume halisia.

    Kumbuka zile shughuli zinafanywa na masingo maza, michepuko ya watu, wadada wanaojiuza, wadada wasio na kazi, etc na watu wa aina hii adui namba moja wao ni mwanaume kutokana na kila mmoja aliathrika vp na mwanaume katika pita pita zake. Sasa ikitokea kuna mashoga wanawafahamu wanahakikisha...
  3. U

    JamiiForums Uchochezi sio demokrasia kemea uchochezi

    UCHOCHEZI DEMOKRASIA yai vurugaa CHADEMA, makundi yaendelea Kukemea Siasa za Vurugu wananchi wadai Tanzania haiwezi kuongozwa kwa maandamano ya taharuki za migogoro kuharibu amani na uchumi NA MWANDISHI WETU WIMBI la kukemea siasa za vurugu, uchechezi na kuchochea migogoro ya kisiasa...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Hii tabia ya wenza kupost vijembe WhatsApp status mnapotofautiana sio nzuri

    Yaani mwenza anapost vitu ambavyo unaona kabisa kakulenga wewe kufuatia mkwaruzano uliojitokeza. Mimi nachukia hii tabia ambayo wanawake wanayo zaidi. Kupost status ni kuwapa faida watu wengine. Mapenzi hayahitaji third party kabisa. Kuhusisha watu wengine kupitia watsapp status ni...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Ongeza thamani yako; Sio unahangaika kuomba kazi kumbe kazi yenyewe hata ukipata utaishia kulipwa laki 3

    ONGEZA THAMANI YAKO; SIO UNAHANGAIKA KUOMBA KAZI, KUMBE KAZI YENYEWE HATA UKIIPATA UTAISHIA KULIPWA LAKI 3. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Binti na kijana wangu. Umri wa miaka 10-25 ni umri wa kujijenga hasa kiujuzi, kielimu, kiuzoefu na kimaarifa. 2. Umri wa kuongeza value yako. Utu...
  6. MakinikiA

    JamiiForums Njia inayotumika kutatua mgogoro wa Iran ( Hormz) sio sahihi,mimi naweza kuutatua kwa masaa 2 tu.

    Kuna haja ya hawa viongozi wa dunia kujitafakari na kufanya maamuzi yenye faida kwa dunia . Mgogoro mkubwa umejikita hasa kwenye kumiliki silaha sasa kama ni hivyo lazima watumie balance kumaliza vita . Mfano unapoamua kuamua ugomvi wa watu wawili walioshika mapanga ,,hatua ya kwanza ni kuchukua...
  7. U

    JamiiForums Upinzani sio kukosoa kila kitu

    Kuna haja ya kufundishwa siasa za kistaarabu za kisomi
  8. M

    JamiiForums Shida sio hela ya matunzo ya mtoto bali ni baadhi ya baby mamas kuitumia kula bata na kumkomoa anaetoa.

    Shida kubwa inaanzia hapo, Pesa ya matunzo anaitaka ihudumie lifestyle yake ya mawigi, abaya, vifurushi vya data, n.k. anajiona hastahili kufanya kazi wewe ndie uwe unamtimizia kila kitu kwa mgongo wa matunzo ya mtoto. Pili ni kukukomoa, hapendi kukuona ulivyo move on na una familia yako...
  9. Alexido jz instagram

    JamiiForums BARUA ZINATEMBEA HAPA OFSINI SIO POA, NIOMBEENI, BOSS ANADAI HALI MBAYA, SINA RAHA KABISA, SIKIENI TU, OMBENI YASIWAPATE

    Kama Kuna mtu Nisha mkosea, naomba nisamehewe, mana Kuna uwezekano nikawaangukia any time nipate pakujishikisha, wakuu samahan kama Nisha wahi kumkosea mtu humu, tusamehane sisi ni ndugu. Watu wanatakiwa wapunguzwe, acheni tu Zachariano alexido
  10. M

    JamiiForums Bei sio kigezo tena cha kutambua bidhaa original, Bidhaa feki zimejaa sokoni na tunapigwa kwa bei original

    Bei haionyeshi ubora tena, feki na original vinauzwa sawa sokoni Zamani ilikuwa rahisi kutambua biashara ya bidhaa feki. Wafanyabiashara walikuwa wanauza vitu hivyo kwa bei ya chini kabisa, na mnunuzi alikuwa anajua kabisa kwamba anachonunua si original. Ilikuwa kama makubaliano ya kimya kimya...
  11. Think2

    JamiiForums Haya sasa kimenuka kiwanda cha kusafishq mafuta kujengwa Mombasa sio Tanga mapendekezo ya aliko dangote

    Siasa hadi kwenye miradi mikubwa unaposema tunawapiga mikwaju wewe kilaza ulikuwa na maana gani? Kasongo amekuingiza chaka wewe ukajilipua eti nilikuwa sijui ndio nimejua kiwanda kinataka kujengwa Tanga ushuzi kabisa Haya dangote amesema sasa mapendekezo yake ni kujenga Mombasa kenya kwasababu...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Sio vibaya kutumia Tsh 2,000,000/= kutoka kwenye akiba yako kumfurahisha mama yako kwenye hii siku yake

    Post za watsapp status, Insta, Facebook na X hazitoshi. Chomoa angalau 2m toka kwenye akiba yako mfurahishe mama. Spoil her Happy mother's day
  13. Mad Max

    JamiiForums Naona vyuma vya China tutaanza kuvizoea sio muda. Ona ili Zeekr 9X SUV!

    Kuna hii plugin-hybrid (engine + kuchaji) full sized SUV Zeekr 9X kitu cha 2025. Engine yake ni 2.0L turbo i4, battery la 55 kWh au 70 kWh, kwa pamoja (full tank + full charge) unaenda kilometa 1,200+ Ni full SUV, kwahiyo kubwa karibia urefu wa mita 5.2, seat arrangement 2:2:2 so ni nzuri kwa...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Vijana wasio na adabu wachapwe bakora kwa Mujibu wa Sheria na sio utashi binafsi wa viongozi

    Hamjambo! 1. Kuwanyoosha vijana ni jukumu la wazazi, walezi na Mahakama. 2. Msingi Mkuu wa Malezi na kunyoosha Tabia ni kwa Viongozi na wazazi ambao hapa watakuwa role model kwa vijana wao 3. Kama Wazazi na viongozi wanafanya mambo yasiyo na uadilifu wanapoteza haki ya kuwanyooshea vidole...
  15. W

    JamiiForums Baba Levo: Anayekataa Chadema sio Chama Kikubwa cha upinzani huyo naye kichwa chake kitakuwa kina shida

    Akifanya mahojiano katika kipindi cha Medani Kuu na Chief Odema, Mbunge Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chiponda 'Baba Levo' amesema kuwa anaekataa CHADEMA sio chama kikubwa cha upinzani huyo mtu kichwa chake kitakuwa kina shida. Mimi nakiheshimu sana chama cha CHADEMA kimeleta upinzani nchini...
  16. stabilityman

    JamiiForums Unapojenga kazi kubwa nunua mchanga kwa gari kubwa sio canter kuepuka hasara

    Nitaeleza leo umuhimu wa kununua mchanga kwa gari kubwa kama unaproject kubwa ya ujenzi UMUHIMU WA KUNUNUA MCHANGA KWA GARI KUBWA UKIWA NA PROJECT KUBWA 1. Unaokoa pesa nyingi FAW/Mende trip 1 = TZS 350,000 inaleta 18 cubic metre Canter kuleta 18 cubic metre = trip 6 × 60,000 = TZS 360,000...
  17. Yoda

    JamiiForums Uraia wa nchi mbili ni sawa ila sio kwenye uongozi na utumishi wa umma

    Suala la uraia wa nchi mbili ni zuri lakini kuna matatizo yake pia lisipowekea vizuri, mfano sasa hivi Kenya Kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa waliochaguliwa viongozi Kenya kuishi Marekani kwa sababu wana uraia wa nchi mbili. Marekani pia kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa wenye uraia...
  18. A

    JamiiForums KERO Utaratibu wa abiria kupanda Magari ya Mwendokasi kituo cha Ilala-Boma sio mzuri unahatarisha usalama wa abiria

    Katika kituo cha Ilala-Iboma amabacho ndo cha mwisho kwa 'Route' ya Mbagala-Ilala BOma kumekuwa hakuna utararibu mzur wa kuwapanga abiria kwenye foleni ili kusubiri kupannda magari, hali hiyo imekuwa ukisababisha vurugu wakati wa kupanda kwani kila abiria anataka kuwahi kukakaa kwenye siti hii...
  19. Mad Max

    JamiiForums BYD Shark 6: Wabongo hawataki Masihara, Mil 170+ kabla ya TRA sio poa!

    Walivyofungua dealership ya kuuza 0 km kuna watu wakajua watafeli. Ila naona vyuma vinatoka. Hii Shark 6 inakuja kupambana na kina Navara, Hilux au Ranger. Ila yenyewe ni PHEV, ina engine ya cc 1500 au 2000 kwa performance, zote turbo i4. Kwa umeme peke yake unaweza kwenda km 85 ila kwa...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Aisee mimi nafikiri africa sio mazingira safi kwa mtu alie introvert. Utaanza kusemwa wewe ni usalama😁

    _Ooh anajifanya, _anatumia madawa yanayo mpa ganzi muda wote, _huyu ni spy huyu, _anajikuta wa maana hataki kuongea na watu,
Back
Top Bottom