simulizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simulizi yenye ukweli wa kuumiza juu ya maisha na matukio halisi yanayotokea katika jamii yetu

    LANGO LA MOTONI CHAPTER 1 Jumatatu YA TAREHE 26/12/2022 Majira ya saa tisa na dakika arobaini na saba kulionekana dada mmoja ambaye hakuonekana nadhifu kwa mwonekano wa mavazi yake pamoja na nyewe zake zilizoonesha kutimka kama vile alikuwa akikimbizwa na kitu au yupo katika dimbwi la...
  2. Biashara ya simulizi kwenye mitandao

    Siku hizi imeibuka biashara ya simulizi mitandaoni ikiwemo Whatsapp na Facebook. Hawa watunzi wamejigawa katika makundi. Watunzi halisi, wanaocopy kazi za wenzao na kuziuza bukubuku. IPO mifano Mtunzi hapa JF ndg Singano bila shaka anajua mwenyewe anatungaje na kutuma vipande vipande wastani...
  3. Laana inavyomtesa mteule na rafiki wa Rais. Asante mama kwa simulizi, hii ewe mtumishi jifunze jambo

    Nikiwa nimeshika zangu Mswaki, huku huku Mama mzaa Chema akiwa amejiinamia anakosha vyombo, mara gafla chema, Akaanza stori zake na mama yake! Chema ;Ma hivi wajua yule mkurugenzi hajawai tuandikia hata barua za kututambua sisi kama watoa huduma wake kwenye wilaya yake?'' Ma:'' mmmh mpaka leo...
  4. SIMULIZI: Sumaya Fate of Love

    SUMAYA FATE OF LOVE SEHEMU YA PILI Lakini alijitahidi asioneshe hilo kwa Mama yake lakini damu ni nzito kuliko maji Zuleya aliitambua vema hali aliyonayo Sumaya nae alificha hilo mpaka atakapo pata nafasi ya kuzungumza nae kwa uzuri zaidi na hata hivyo tabia za Sumaya hazikuwa tofauti sana...
  5. Simulizi: Sumaya fate of love

    Ni simulizi inayohusu familia, mapenzi, kazi na safari ya maisha kwa ujumla. Ungana na mimi katika simulizi hii….. SEHEMU YA KWANZA TANZANIA 1995 “Pushhhhhh!!!!!” “Mrs Hernad jitahidi sukuma mtoto yupo karibu kutoka jitahidi yaani bado kidogo tu.. sukuma!!!” “Nurse I can’t.. do it anymore…...
  6. Ugonjwa wa kifafa usikilizeni redioni. Simulizi yake ni ya kutishaa!

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 1986 nikiwa na ufahamu na akili timamu, sikuwa naelewa kifafa ninini ila nilikuwa na maswali mengi sana Kila nikimtazama mama yangu mzazi ambaye asilimia kubwa mwili wake ulitawaliwa na vidonda. Nakumbuka Kuna wakati tukiwa kisimani mama alitumbukia kisimani si mara Moja...
  7. Simulizi: For You

    Story na Elton Tonny Familia, Urafiki, Mapenzi, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Uhalifu, Mauaji, Visasi, Vita, Mambo yasiyotazamiwa Rated 18+ Enjoy! ★★★★★★★★★★★★★ SEHEMU YA KWANZA ★★★★★★★★★★★★★ "Kulikuwa na demu mmoja aliyekuwa anasumbua kitaa fulani hivi, yaani kwa uzuri, shepu na...
  8. Simulizi fupi kuhusu mafanikio

    Hiki ni kisa cha marafiki wawili ambao walikuwa wakifanya kazi kwa bidii lakini mmoja wao tu ndiye aliyepandishwa cheo. Yule mwingine aliona kama hakutendewa haki hivyo alienda kulalamika kwa boss wake kwamba hawajali wafanyakazi wake wanaofanya kazi kwa bidii. Boss wao aliwapa task ambayo...
  9. Simulizi kuhusu maana ya kuishi

    Hiki ni kisa cha mtu aliyechelewa safarini. Alipofika kwenye stesheni ya treni alipanda treni ya kwanza kuwasili mbele yake. Na kwa sababu ya uchovu alisinzia kwa muda na kisha baadae kuamka. Alishangazwa kuona treni ikiendelea kwenda kwa kasi pasipo kujua uelekeo wake. Alianza kuuliza kila...
  10. Hayati William Kusila, Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wa zamani aliyekimbia furushi la fedha ofisini

    Mbunge wa Bahi (CCM), Keneth Nollo ametoboa siri ya uzalendo wa Hayati William Kusila kwamba aliwahi kukimbia furushi la fedha zilizopelekwa ofisini kwake ili apokee hongo na kutoa upendeleo. Nollo ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 25, 2022 wakati akitoa salamu za rambirambi mbele ya mwili...
  11. Simulizi ya Kijasusi: Mlango wa 77 "DOOR 77"

    Simulizi; MLANGO WA 77 "DOOR 77" Mtunzi; Robert Heriel Taikon Publishers 0693322300 EPISODE 01. Mvumo wa sauti za chura uliendelea kuvuma kama kwaya ya Akapella huku masalia ya matone ya mvua yakiendelea kudondoka kidogokidogo mithili ya nyuzi nyembamba za pamba, yajulikanayo kama Manyunyu...
  12. Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    NILIEMDHANIA NI KAHABA KUMBE BIKRA MTUNZI:SINGANOJR . AGE:18+ NB:SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA PDF KUTOKA SEHEMU YA KWANZA MPAKA YA 390 IPIO NITAFUTE WATSAPP 0687151346 PROLOGUE../DIBAJI Ilikuwa ni muda wa usiku saa tisa kamili ndani ya chumba kikubwa anacholala mheshimiwa Rais Senga ...
  13. D

    Simulizi: Mama Hadija

    Sehemu ya 1. Jakson Maiga.Koplo, kutoka kituo kikuu cha Polisi Arusha, alionekana na mawazo mengi kichwani kuhusu hatma ya maisha yake ya baadae, akiwa ndani ya gari dogo la polisi, nje ya benki ya Meridian iliyoko Clock Tower . Koplo Maiga ni...
  14. Simulizi -Kitabu kilichojaa majina yote

    SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA HAIUSIANI NA MTU YOYOTE WALA KIKUNDI CHOCHOTE , MAENEO , OFISI NA MAJINA YALIONDANI YA HII SIMULIZI NI YA KUBUNI ENJOY SURA YA 01 Ilikuwa ni siku iliokuwa ikisubiriwa na kila mmoja ndani ya Taifa la Tanzania , kila mwananchi alionekana kufurahia lile jambo ambalo...
  15. M

    Umewahi kunusurika janga lolote au umekwepa kutapeliwa au kuibiwa kwa bahati au uwezo wa Mungu? Toa simulizi yako hapa

    Kuna siku nilipigiwa simu na mwanamke simfahamu na namba ngeni, akaniita jina fulani (Sio langu) nikamwambia umekosea namba, akakata simu. Wiki chache baadaye akapiga tena, mara hii akataja jina langu kabisa, ninapoishi na hata ninapofanyia kazi, akaniomba nikutane naye mahali kwa mazungumzo...
  16. Simulizi ya kipelelezi na love story kali ndani yake; The Modern War (Vita ya Kisasa)

    𝗧𝗛𝗘 𝗠𝗢𝗗𝗘𝗥𝗡 𝗪𝗔𝗥 (𝗩𝗶𝘁𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝗶𝘀𝗮𝘀𝗮) 𝗠𝘁𝘂𝗻𝘇𝗶:𝘀𝗮𝘂𝗹 𝗱𝗮𝘃𝗶𝗱 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽: 0756862047 𝗨𝗧𝗔𝗡𝗚𝗨𝗟𝗜𝗭𝗜... "Mwanzo ilikuwa ni vita rahisi sana, vita dhidi ya ndugu yangu wa damu aliyeenda kinyume na kanuni za maisha ya utu. Sikujua kwa kufanya hivi ningeamsha vita nyingine kubwa ambayo ipo juu kabisa ya uwezo wangu...
  17. SIMULIZI: Saa 13 za Mateso

    SEHEMU YA 01 Nilikuwa kwenye usingizi mzito mno ambapo nikaamshwa na sauti ya mwanaume aliyekuwa anagonga dirisha langu na kuniita. "Ederra! Ederra!" Bado sikujua alikuwa nani. Alijaribu kuita kwa sauti ya chini mno kuashiria kuwa hakutaka mtu mwingine yeyote amsikie. Nikashika simu yangu na...
  18. Simulizi - DYLAN

    DYLAN Story by Elton Tonny Familia, Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Unyanyasaji, Usaliti, Visasi, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa (R-rated 18+) WhatsApp +255 787 604 893 E-mail: eltontonny72@gmail.com Enjoy! ★★★★★★★★★★★★ SEHEMU YA KWANZA ★★★★★★★★★★★★ 2005 TANZANIA Tunaona...
  19. SIMULIZI: "The last chapter" "Mwamba" "Ambola" "Scandal" BY patrick c.k ziko hapa

    Jipatie simulizi za kijasusi 《The last chapter Ukurasa wa mwisho》《Mwamba》《Scandal kashfa》《Ambola》BY Patrick c.k kwa mfumo wa soft copy PDF mwanzo mpaka mwisho kwa bei nafuu TSH 2000 WhatsApp 0685188006
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…