simulizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Dokta Ivo (Dr. Evil)

    TITLE: DOKTA IVO MTUNZI: JOTO LA MOTO SEHEMU YA KWANZA NJE-KUNDUCHI BEACH HOTEL-KWENYE BWAWA LA KUOGELEA-MCHANA. KAZI, kijana mtanashati, miaka 35,akiwa amevalia bukta ndefu ya bluu iliyobana sambamba misuli yake ya miguu, huku akiwa kifua wazi anatembea pole pole kuelekea kwenye bwawa la...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mapenzi ya Mungu hayakwepeki mtoto wa mfalme alikufa licha ya baba yake kujenga ghorofa la vioo ili kumlinda

    Kuna mfalme alijaliwa kupata mtoto wa kiume. Yule mtoto alikuwa na afya njema, sura ya kuvutia alivutia hata wageni waliofika kwa mfalme. Mfalme alimpenda yule mtoto kama roho yake. Mtoto yule alipofikisha miaka minne, Mungu Mwenyezi alimtaarifu mfalme kuwa mtoto yule atakufa siku si nyingi...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya mwanamke anayekabiliana na ugonjwa uliobadili muonekano wake

    Farah Khalek ni mwanamke mwenye miaka 33 kutoka nchini Kenya, kama wanawake mwingine wa umri wake mwenye ndoto kubwa katika maisha yake. Licha ya kuwa anakabiliana na ugonjwa wa ngozi ambao umebadilisha muonekano wake wa sura kabisa. Ugonjwa huu unajulikana kama Scleroderma. Farah Khalek...
  4. Bossless

    JamiiForums Tanzania Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Kwanza napenda kutoa pole na shughuli za kutwa kwa wale wahangaikaji wote kama mimi ambao kila siku lazima tutoke ili tuweze kujipatia riziki halali kila siku iendayo kwa mungu. Tuseme wote asante mungu. Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada,mdaa huu...
  5. Habibu B. Anga

    JamiiForums Tanzania Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

    Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI". kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17. Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/- Pia waweza kupata kitabu changu cha "OPARESHENI ZA KIJASUSI ZILIZOFANIKIWA ZAIDI" Kitabu hiki kina kurasa 214 na...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Mzee Juma Duni Haji baada ya kupewa kesi ya Uhaini inasikitisha sana .

  7. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Wafu hawana simulizi: Jinsi hadithi za waliofanikiwa zinavyoweza kukupotosha na kukupoteza

    Rafiki yangu mpendwa, Hadithi za watu waliofanikiwa huwa zinatupa hamasa kubwa sana kwamba hata sisi pia tunaweza kufanikiwa. Huwa zinatupa ile hali kwamba kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini. Hivyo waandishi na wahamasishaji wamekuwa wakizitumia hadithi hizi kwenye habari...
  8. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania simulizi za ma-x zimevunja ndoa ya jirani

    usiku wa jana tumeshuhudia ndoa ya jirani ikivunjika kutokana na masimulizi ya ma-x walokua wakisimuliana.... alianza mwanaume then akafuata mwanamke akimwambia mumewe, x wangu alikua akipiga show balaa sijapata kuona, kauli hii ilimkasirisha sana mwanaume na kuhisi yeye hawez kazi.... ndipo...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na hadithi na simulizi nyingi nzuri. Lakini hii inaweza ikawa nzuri zaidi. Inaitwa ULIMWENGU WA MATAJIRI

    Email. nipenguvu@gmail.com Instagram. nipenguvu “Ee bwana wangu! Nisahidie mimi mja wako”. Ilisikika sauti ya hofu kutoka kwa mama mmoja akiwa kanisani huku akiwa anatetemeka.Siku hiyo ilikuwa siku ya jumapili katika kanisa moja lililopo kijijini, pembezoni kabisa mwa mji uliozungukwa na...
  10. Heaven on Earth

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    MY JOURNEY TO THE ROOF OF AFRICA Kabla ya mwaka kuisha napenda ku share na nyie experience yangu ya kupanda mlima Kilimanjaro nitaambatanisha baadhi ya picha na video za safari yangu yote. Kama kuna watu wamewahi kupanda Mlima Kilimanjaro wanaweza ku share pia uzoefu wao. Kampuni niliyotumia...
Back
Top Bottom