simulizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: Mlango wa 77 "DOOR 77"

    Simulizi; MLANGO WA 77 "DOOR 77" Mtunzi; Robert Heriel Taikon Publishers 0693322300 EPISODE 01. Mvumo wa sauti za chura uliendelea kuvuma kama kwaya ya Akapella huku masalia ya matone ya mvua yakiendelea kudondoka kidogokidogo mithili ya nyuzi nyembamba za pamba, yajulikanayo kama Manyunyu...
  2. singanojr

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    NILIEMDHANIA NI KAHABA KUMBE BIKRA MTUNZI:SINGANOJR . AGE:18+ NB:SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA PDF KUTOKA SEHEMU YA KWANZA MPAKA YA 390 IPIO NITAFUTE WATSAPP 0687151346 PROLOGUE../DIBAJI Ilikuwa ni muda wa usiku saa tisa kamili ndani ya chumba kikubwa anacholala mheshimiwa Rais Senga ...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mama Hadija

    Sehemu ya 1. Jakson Maiga.Koplo, kutoka kituo kikuu cha Polisi Arusha, alionekana na mawazo mengi kichwani kuhusu hatma ya maisha yake ya baadae, akiwa ndani ya gari dogo la polisi, nje ya benki ya Meridian iliyoko Clock Tower . Koplo Maiga ni...
  4. singanojr

    JamiiForums Tanzania Simulizi -Kitabu kilichojaa majina yote

    SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA HAIUSIANI NA MTU YOYOTE WALA KIKUNDI CHOCHOTE , MAENEO , OFISI NA MAJINA YALIONDANI YA HII SIMULIZI NI YA KUBUNI ENJOY SURA YA 01 Ilikuwa ni siku iliokuwa ikisubiriwa na kila mmoja ndani ya Taifa la Tanzania , kila mwananchi alionekana kufurahia lile jambo ambalo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi kunusurika janga lolote au umekwepa kutapeliwa au kuibiwa kwa bahati au uwezo wa Mungu? Toa simulizi yako hapa

    Kuna siku nilipigiwa simu na mwanamke simfahamu na namba ngeni, akaniita jina fulani (Sio langu) nikamwambia umekosea namba, akakata simu. Wiki chache baadaye akapiga tena, mara hii akataja jina langu kabisa, ninapoishi na hata ninapofanyia kazi, akaniomba nikutane naye mahali kwa mazungumzo...
  6. SIMULIZI RIWAYA

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kipelelezi na love story kali ndani yake; The Modern War (Vita ya Kisasa)

    𝗧𝗛𝗘 𝗠𝗢𝗗𝗘𝗥𝗡 𝗪𝗔𝗥 (𝗩𝗶𝘁𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝗶𝘀𝗮𝘀𝗮) 𝗠𝘁𝘂𝗻𝘇𝗶:𝘀𝗮𝘂𝗹 𝗱𝗮𝘃𝗶𝗱 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽: 0756862047 𝗨𝗧𝗔𝗡𝗚𝗨𝗟𝗜𝗭𝗜... "Mwanzo ilikuwa ni vita rahisi sana, vita dhidi ya ndugu yangu wa damu aliyeenda kinyume na kanuni za maisha ya utu. Sikujua kwa kufanya hivi ningeamsha vita nyingine kubwa ambayo ipo juu kabisa ya uwezo wangu...
  7. Ederra

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Saa 13 za Mateso

    SEHEMU YA 01 Nilikuwa kwenye usingizi mzito mno ambapo nikaamshwa na sauti ya mwanaume aliyekuwa anagonga dirisha langu na kuniita. "Ederra! Ederra!" Bado sikujua alikuwa nani. Alijaribu kuita kwa sauti ya chini mno kuashiria kuwa hakutaka mtu mwingine yeyote amsikie. Nikashika simu yangu na...
  8. Elton Tonny

    JamiiForums Tanzania Simulizi - DYLAN

    DYLAN Story by Elton Tonny Familia, Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Unyanyasaji, Usaliti, Visasi, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa (R-rated 18+) WhatsApp +255 787 604 893 E-mail: eltontonny72@gmail.com Enjoy! ★★★★★★★★★★★★ SEHEMU YA KWANZA ★★★★★★★★★★★★ 2005 TANZANIA Tunaona...
  9. Anonymous77

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: "The last chapter" "Mwamba" "Ambola" "Scandal" BY patrick c.k ziko hapa

    Jipatie simulizi za kijasusi 《The last chapter Ukurasa wa mwisho》《Mwamba》《Scandal kashfa》《Ambola》BY Patrick c.k kwa mfumo wa soft copy PDF mwanzo mpaka mwisho kwa bei nafuu TSH 2000 WhatsApp 0685188006
  10. benix samson

    JamiiForums Tanzania Dizasta Vina - Simulizi, ubunifu na maisha ya jamii yake ndani ya album ya The Verteller

    Msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania, Dizasta Vina ni mmoja wa viongozi katika orodha ya wafalme wa Hip-Hop wa kizazi cha leo. Muziki wake umebeba falsafa, mafunzo na mitazamo inayogusa jamii kwa namna tofauti. Ana mtindo wa kipekee, mashairi yenye ujumbe na mtiririko wa visa na matukio ya...
  11. kali linux

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Nilipata nafasi ya kuongea na Gurus wawili wenye mitizamo miwili tofauti kuhusu Kuzaliwa, Kifo na uwepo wa Mungu pamoja na Dini

    Hello bosses....... Nimekaa na hii experience kwa muda mrefu ila leo nikakutana jamaa fln wanabishana khs dini nimeona ni bora niisimulie labda inaweza kusaidia. Ni story ndefu ila nitajitahidi kufupisha na pia sina uzoefu sana kuandika makala za namna hii hivyo kiswanglish na typos...
  12. Akaliza

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Nusu ya Uhai

    Simulizi: Nusu Ya Uhai Mwandishi: Akaliza Tuanze. 2017, KASANGA-KIGOMA. Majira ya usiku shughuli za uvuvi zilikuwa zikiendelea kama kawaida, boti nyingi na mitumbwi zilikuwa na idadi kubwa ya wavuvi waliokuwa wakielekea katika sehemu ambako waliamini kungelikuwa na samaki. Sehemu ya Kasanga...
  13. Ms Yahaya

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Nitawatetea

    Simulizi; "NITAWATETEA" Sehemu Ya Kwanza (01) Mwandishi; MARIAM YAHAYA Namba; +255744654969 ***************************** RORYA Ni katika kijiji cha Nyanchabakenye, ilikua siku ya jumamosi tulivu sana ambayo ilipambwa na jua la alfajiri lisilokuwa na makali. Kwa mbali walisikika ndege...
  14. SIMULIZI RIWAYA

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya ujasusi: Do not shout (Usipige kelele)

    DON'T SHOUT (usipige kelele) Sehemu ya...............01 Mtunzi: Saul David Tel : +255756862047 E-mail: saulstewarty@gmail.com **** EPISODE 01... "Moto, moto, jamani motooooo" "Moto, kuna mtu ndani, motooooo" Sauti hizi za makelele zilipasua anga zikitokea katika chuo kimoja kikubwa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kusisimua: Kaburi la Mwanamuziki

    Simulizi: Kaburi la Mwanamuziki Mtunzi: Robert Heriel WhatsApp 0693322300 Sehemu ya 1 “Kazi yangu bila shaka kila mmoja wenu atakuwa ameifanya vizuri, nilifurahishwa na Richard, yeye aliimaliza tangu jana akaniletea Daftari lake, amefanya vizuri sana. Richard! Tafadhali njoo uchukue Daftari...
  16. Bishop Hiluka

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Harakati za Jason Sizya

    (Kutoka kwa mwandishi wa stori za kusisimua zilizowahi kuchapishwa hapa JF za Taxi; Kizungumkuti!; Laiti Ningejua!; Hekaheka!; Hadi Lini! na nyinginezo) Na Bishop Hiluka 0685 666964 | bjhiluka@yahoo.com Kijasho Jepesi Saa 12:15 asubuhi… Wala sikujua kitu gani kilikuwa kimeukatisha ghafla...
  17. Job Richard

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananisimulia akitongozwa

    Nilidumu naye katika uhusiano miaka nane kabla kumuoa rasmi. Tunaelekea mwaka wa kumi katika ndoa. Nilichoweza kujifunza hasa ninapoona wengi wanalia na mapenzi ya sasa WAMEOANA PASIPOKUJUANA KIUNDANI. Ulimwengu wa mapenzi hakuna mwalimu kila mtu ni mwanafunzi na ni chuo ambacho hakuna...
  18. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Fasihi simulizi: WATOTO WA MAMA NTILIYE

    WATOTO WA MAMA NTILIYE UCHAMBUZI WA FASIHI SIMULIZI WATOTO WA MAMA NTILIYE KIPENGELE CHA FANI: 1. mwanafunzi atatakiwa kujibu maswali yatayohusiana na kipengele cha fani, 2. rejea vipengele vya fani katika vitabu mbalimbali MWANDISHI: EMMANUEL MBOGO WACHAPISHAJI...
  19. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Fasihi simulizi: TAKADINI

    UCHAMBUZI WA FASIHI SIMULIZI TAKADINI FANI MWANDISHI: BEN J. HANSON WACHAPISHAJI: MATHEWS BOOKSTORE AND STATIONARIES MWAKA: 2004 JINA LA KITABU Jina la kitabu TAKADINI lina maana ya “Sisi tumefanya nini”. Hili ni jina ambalo Sekai alimpa mwanae mara baada ya kumzaa. Jina hili...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu na baada ya miaka hamsini: Simulizi ya maisha ya Shaaban Robert

    Hii ni simulizi ya maisha ya Shaaban Robert kama ilivyoandikwa na yeye mwenyewe. Fuatana nami uisome hapa, pia unaweza kuisoma bure ndani ya maktaba app (by pictuss) inayopatikana playstore. DIBAJI Ni fahari kubwa kwangu kukaribishwa kuandika maneno machache kuhusu kazi na sifa za marehemu...
Back
Top Bottom