Simulizi: Uzinzi umenichosha nimeamua kuoa

DR SANTOS

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
11,034
23,056
Disclaimer: hii ni hadithi ya kufikirika, ukikutana na typing errors skip hata mimi ni binadamu nakosea

Tiririka.......

SEHEMU YA KWANZA (01)

NGRIIIIIIIII, NGRIIIIIIIIIIIIIII NGRIIIIIIIIIIIIIII.
Simu yangu iliita ghafla nikiwa nimekaa jirani na mama ambapo taratibu niliangalia jina lililotokea kwenye kioo cha simu kisha nikainuka taratibu na kwenda kuongelea pembeni kidogo.

Kitendo hicho ni wazi mama hakukifurahia hata kidogo ukizingatia nilikua na tabia hio kabla tangu utoto wangu nikiwa naishi na wazazi wangu.
“Julius mwanangu”. Aliniita mama mara baada ya kumaliza kuongea na ashura ambapo name nilimjibu mama kwa heshima zote.

“naam mama”. Niliitika kisha kumgeukia mama na kusubiri kusikiliza anachotaka kukisema mama.
“hivi ni lini utaacha tabia ya viwanawake hivyo, si uoe tu kuliko kuhangaika kama unavoangaika sasa”. Aliongea mama, na kwa upande wangu mama alinigusa kabisa yaani ni sawa na mtu ukanyage ncha ya sindano iliyosimama kwa unyayo wako.
“mama naoa sio muda utapata mkwe”.

Niliongea huku nikitabasamu lakini moyoni nilikua nikiwaza kwani ndo kwanza hakukua na mwanamke yeyote niliyeweka nae ahadi ya ndoa, na wapenzi wangu karibu wote nilikua nikiwatumia tu na bado sikuwahi mpata mwanamke wa ndoto zangu kabisa.

“kila siku unaniambia hivo hivo, miaka ishirini na tisa sasa hata mtoto wa kusingiziwa hakuna! Naanza kupata wasiwasi pengine nimezaa hanisi”.
Aliongea mama maneno ambayo yalinifanya nicheke kwa nguvu kwani nilishamzoea porojo zake pia alikua ni muongeaji sana na mkorofi wa maneno hivyo sikutaka kuyaweka akilini maneno yake hivyo niliyatolea mbavuni kwa kicheko.

“we kenua tu, alafu wewe Julius unaniona mimi mtani wako sio!” aliongea mama safari hii alikunja ndita kuashiria utani uishe pia alifanya hivyo ili tu apate kuurudisha umakini wangu na nizingatie maneno yake.
“sasa mama nisicheke wakati kuonana mimi na wewe ni mara moja au mbili kwa mwaka utanikumbuka nakwambia nikizamia zangu dar es salaam kwa wazaramo ”. Niliongea lakini maneno yangu lalikua kwenye utani bado, mama hakua na jinsi zaidi ya kukaa kimya tu kwani nilishazoea kutumia utani kufikisha ujumbe.

Baada ya mazungumzo hayo mafupi tulipata chakula na kisha mimi kwenda kulala na kumuacha mama akimaliza kufunga ubuyu na visheti pamoja na beki tatu, kwani licha ya mama kuwa mwalimu, alipenda kujihusisha na biashara ndogondogo ambazo ziliweza kuingiza mia mia za mboga na kutatua matatizo madogo madogo ya nyumbani.

Nikiwa mtoto pekee wa kiume kwa mama nilikua na ndoto kubwa ya kuinua familia yangu ikiwemo wazazi wangu na wadogo walionifuata kisha baada ya hapo niangalie maisha yangu na kisha jambo la kuoa liwe la mwisho kabisa, kwa bahati mbaya baba alipata ajali mbaya ya gai iliyosababishwa na ulevi na kupelekea kifo chake kabla hajayafaidi matunda yangu.

Kutokana na kusoma hadi elimu ya juu ya masomo ya uchumi nilifanikiwa kupata kazi kwenye kampuni moja kubwa iitwayo TOCOME ENTERPRISES ambayo ilijihusisha na udalali wa magari toka nchi ya japani nikiwa kama meneja wa masoko.

Kupitia kazi hiyo niliweza kuwasomesha wadogo zangu wawili katika shule za binafsi hadi walipomaliza elimu ya kidato cha nne na kwa bahati mbaya hawakuweza kufaulu hio haikutosha kukatisha ndoto zao kabisa.

Niliketi nao siku moja na kuwauliza kila mtu ndoto zake ambapo wote walipenda kuwa wafanya biashasra hivyo sikua na budi kumfungulia biashara yake aipendayo.
Mama sikumuacha nyuma zaidi nilimnunulia gari zuri la kutembelea na mara kwa mara nilikua nikimtembelea nyumbani ili asijisikie mpweke.

Mara baada ya kuingia chumbani simu yangu iliita kwa namba ngeni ambapo niliiacha iite kwa sekunde chche kisha nikaipokea.

“jamaani july mbona umenisusa, hata hujui mwanao anakula nini anavaa nini”. Lilisikika sauti ya upande wa pili mara baada ya kupokea simu, na sikua nimesema neno lolote toka nipokee kwani nilienndelea kuitafakai sauti ile yenye lafudhi ya kingoni kabisa.

“mmmh nani wewe?” niliweka ukauzu wa hali ya juu kwani katika kitu nilichokichukia duniani basi ni mwanamke anaejishaua na binti huyo nilimuweka kweye kundi hilo.
“jamaani! Mimi stellah tindwa ushanisahau mama watoto wako? Hebu kumbuka nimeacha shule kwaajili yako tafadhali nimekukumbuka sana najua upo songea hii njoo bomba mbili tuonane”.
Aliongea stellah na kuniacha mdomo wazi ambapo hakuna jibu nililotoa zaidi ya kukubali ili tu akate simu.
“sawa, saa ngapi”. Nilihoji
“saa tano asubuhi”. Alijibu stellah na kunitakia usiku mwema ambapo nilimjibu na kisha kukata simu.

Kumbukumbu zangu zilirejea miaka kadhaa nyuma ambapo ilinilazimu kuhama shule ili kuepuka kesi ya kumpa ujauzito mwanafunzi iliyokua ikinikabili, jambo hilo ni marehemu baba pekee ndiye alikua akitambua na ndiye aliyeshinikiza nihamishwe shule kisha sakata lizimwe kimya kimya.

“ina maana stellah alijifungua! Na namba yangu amepata wapi na amejuaje kama nipo songea”. Maswali hayo yote nilijiuliza lakini hakukua na wa kunijibu.

Mwisho niliamua kuvuta shuka na asubuhi ilipofika nilimuaga mama na kisha kumpigia simu stellah ambapo alinielekeza mahali alipo kisha nikawasha gari na safari yangu iliishia kwenye klabu moja maarufu nilifika na kuangaza macho yangu kisha kwa mbali nilimuona stellah akiwa na mtoto pembeni name sikusita kuzipiga hatua zangu na kusogea mahali walipo.

Ambapo niliwasalimia na kwakua walikua hawajaagiza chochote niliwambia waagize chakula wakipendacho, huku macho yangu yakiwa kwa mtoto Yule ambaye alifanana kabisa na mimi yaani hata kukataa ilikua ni vigumu.

“shikamoo baba’. Aliongea Yule mtoto baada ya kuona namtazama sana
“marahaba unaitwa nani?” nilimuuliza.
“naitwa alfa Julius”. Aliongea mtoto Yule ambaye ummri wake ni kati ya miaka mitano hadi sita.
“unasoma darasa la ngapi?”. Nilihoji
“darasa la moja mwakani naingia la mbili”. Alinijibu alfa kwa lafudhi ya kitoto yenye kueleweka.

Wakaati naendelea kumhoji mtoto huyo maswali stellah aliniaga kwamba anaenda maliwatoni na angerudi muda si mefu, akituacha sisi tukiendelea kupata chakula ajabu hadi tunamaliza kula stellah hakua amerudi lilipita saa moja pasina mama alfa kurejea hapo wazo la kumpigia simu stellah lilinijia.

Nilipiga simu lakini majibu yalirudi kwamba simu hio haikua ikipanikana nilirudia mara kadhaa lakini majibu yalikua yale yale.
Tayari nilishaanza kuchanganyikiwa lakkini ghafla alfa aliingiza mikono mfukoni na kutoa karatasi nyeupe.
“mama kasema nikupe hii”. Aliongea alfa huku akinikabidhi karatasi ile ambapo niliweka miwani sawa na kuifungua kisha kuanza kuisoma.
Machozi yalianza kunilenga lenga pindi nasoma karatasi ile.

Je nini kilifuata?


SEHEMU YA PILI (02)

SASA ENDELEA;sikua na namna yoyote ya kuupinga ukweli au kutokubalianna na hali halisi iliypkua ikinikabili.
“KWAKO JULIUS, NIMEKULELEA ALFA TANGU AKIWA MTOTO LAKINI TAMBUA NI WEWE NDIYE ULIYEFANYA MAISHA YANGU YAHARIBIKE.

SIKULAUMU KWA JAMBO HILO BALI NAULAUMU MOYO KUKUPENDA MPAKA HADI KUSHINDWA KUJIZUIA, SASA NAOLEWA LAKINI NAOMBA NITUNZIE MWANANGU NIMEKUACHIA KWA SABABU NAAMINI KWAKOA ATAPATA MALEZI BORA.

Ni mimi stellah tindwa”.
Nilizishusha pumzi zangu na kisha nilimtazama alfa aliyekua bize akivichezea vidole vyake huku
akiimba nyimbo za kitoto.
“malizia kula mwanangu tuondoke”. Niliongea ambapo alfa alinyanyua kijiko tena na kuendelea kula hadi aliposema ametosheka
Kwa upande wangu nilikua bado siamini kwamba ndo tayari nimeachiwa mtoto, nilizidi kumtazama alfa mwanangu ambapo taswira ya marehemu baba yangu ilinijia kabisa, mtoto huyo alikua amefanana kabisa na marehemu baba kabisa.

Kwakua stellah alikuja na begi ambalo wakati anaondoka aliliacha basi sikua na haja ya kufanya shopping ya nguo za mtoto hivyo nililibeba begi na kumshika mkono alfa kisha tukaanza kuzipiga hatua kueleka kwenye maegesho ya magari, wakati huo stellah alikua jirani na maeneo hayo.
Hakutaka kuondoka moja kwa moja ili apate hatma ya mwanae kwani wasi wasi wake ni huenda name ningemtelekeza mtoto.

Nafsi yake ilipata amani baada ya kuona nimembeba mtoto kisha nae akaenda zake huku moyo ukiwa unamuuma sana, kama ujuavyo damu ni nzito kuliko maji.
Baada ya kuingia ndani ya gari niliondoa gari ambapo ndani ya takribani dakika thelathini nilikua nje ya geti la nyumbani

“ukifika utamsalimia bibi, na dada sawa eeeh”. Nilimwambia alfa ambapo alitikisa kichwa kama ishara ya kukubaliana na mimi name nilishuka na moja kwa moja nilienda kufungua geti la nyumba kisha kuingiza gari ndani

“mbona hatutambulishani, naoona mnakuja tu afu na mabegi kulikoni”. Aliongea mama kwani tulimkuta nje akiwa anafanya shuguli za hapa na pale ikiwemo usafi

“shikamoo bibi”. Aliongea alfa na kunifanya nifurahi moyoni
“marahaba mjukuu wangu hujambo?” aliongea mama
“sijambo”.
“unaitwa nani”. Aliongea mama
“alfa Julius”. Alijibu alfa kisha mama alinipokea begi na kutukaribisha ndani ambapo beki tatu alitaka kuandaa chakula lakini nilimzuia kutokana na tutikua tushakula tulikotoka.
Zaidi nilimuomba aketi sebleni tuongee mawili matatu.

“mama nimekuletea mjukuu, kama ulivonidai jana”. Niliongea na kisha kumtazama mama usoni
“heee, usiniambie mama yake yuko wapi”. Alihoji mama
“usijali mama, mkweo atakuja tu kwa sasa yupo safarini”. Niliongea kwa kujigelesha kwani sikutaka kumwambia mama ukweli kwamba nimetelekezewa mtoto.

“ahaa ila ni na hamu sana ya kumuona mkwe wangu, nikimuona nitamkumbatia na kumbusu’. Aliongea mama kwa furaha kisha akaanza kumsaminisha mtoto ambapo nae alikiri kwamba mtoto kafanana na mimi pia marehemu baba

Hakukua na jambo la ziada zaidi ya kumwandalia alfa chumba pia mimi kilichobaki ni kufuatilia uhamisho wa alfa kutoka shule aliyokua anasoma na kumhamisha shule aliyokua akifundisha mama, wakati nikiendelea kumtafutia shule ya binafsi ya bweni.

Isssshhh, asssssss aaaaaaaaaaaah, uuuuuuuuuuh
Ni miguno iliyokua ikisikika kwenye simu ya beki tatu majira ya usiku, ni wazi alikua akitazama picha za utupu.
Miguno hiyo iliweza kusikika vema kwenye ngoma za masikio ya alfa ambapo alistuka na kuchungulia alichokua akikifanya beki tatu kisha akajificha na blanketi.

Kulipokucha asubuhi nilijihimu mapema kwa lengo moja tu, niwahi kufuatilia uhamisho wa mtoto.
Nilikuta beki tatu kashaamka na chai ilikua tayari.
Hivyo nilimuomba amwandae mtoto na kisha tulijumuika pamoja kupata chai pamoja na beki tatu ambaye alikua akinitazama sana kama kuna kitu alihitaji kusema lakini alishindwa.
Mwisho nilimuaga kwamba natoka na alfa na ningerudi muda si mrefu.

Tukiwa ndani ya gari alfa aliniita name niliitika kumsikiza alitaka kusemaje.

“baba leo usiku dada alikua anaangalia watu wanalia asssssh saaaaa ishhhh”.

Moyo wangu ulipasuka paaa! Kwani sikutarajia kwamba alfa angeweza kuelewa mambo kama hayo.
“mmmh itakua dada yako alikua anaota ndoto”. Nilimdanganya alfa ambaye alikubali lakini tayari akili yangu ilishaanza kumuwaza bekitatu, na nilipata wasiwasi anaweza kuniharibia mwanangu.

“usiku nitaanza nae”. Nilijisemea moyoni

Je nini kilifuataSEHEMU YA TATU

SASA ENDELEA; lilipita saa moja tanngu tulipotoka nyumbani hadi tulipofika shule aliyokua akisoma alfa, na kwakua alikua ni moto mdogo suala la uhamisho halikusumbua kabisa kazi iliyokuepo ni kufuta jina la alfa tu!
Zoezi hilo liligharimu karibu nusu saa nzima na kisha baada ya kumaliza mazungumzo na mkuu wa shule na mwalimu wa darasa la alfa tuliondoka na kurudi moja kwa moja nyumbani na kukuta hakuna kilichobadilika.

Mama hakua amerudi toka shuleni nah ii ilifanya nyumba ibaki na beki tatu pekee aliyekua akiitwa Sophia.
“oooh mmerudi, karibuni sana”. Aliongea Sophia kwa auchangamfu huku akinipokea mfuko uliokua na mazagazaga kiasi na kisha kwenda nao jikoni.

Wakati anageuka nilipata mstuko na ghafla niliona mwili wangu ukianza kutetema baada ya kuona makalio ya Sophia, hakika hapo ndipo nilipata wasaa wa kumchunguza vizuri Sophia vile alikua ameumbika.

“aiseee! Kumbe huyu mtoto nae konki eeeh”. Nilijisemea moyoni mara baada ya kuona uzuri wa Sophia.
Tofauti na siku zingine, siku hio niliona ni ya tofauti sana kwa upande wangu kwani kichwa change kilitawaliwa na mawazo ya Sophia pekee, na hapo nilishaanza kuwaza ni njia gani ningeitumia ili nipate kumla uroda Sophia, lakini sikupata wazo lolote la kumtoa nyoka pangoni.

Jambo nililoliona kuwa sahihi kwa wakati huo ni kwenda chumbani kupumzika lakini kabla sijaenda niligundua kwamba alfa nae alikua kashasinzia hapo sikua na muda wa kupoteza niliena moja kwa moja jikoni na kumkuta Sophia akiwa amevaa aproni na kofia maalum kabisa kwa kazi za jikoni.

Vazi hilo lilifunika sehemu za mbele na kuacha mgongo wazi hivyo makalio ya sophie yalionekana barabara.

Kwakua sikubisha hodi sophie alistushwa sana na kitendo change cha kuingia chikoni hadi kupelekea aangushe mwiko wa kupikia, na alipotaka kuinama ili auokote niliwahi haraka na kumsaidia kuuokota kisha kumkabidhi.

“samahani sophi, pole sana”. Niliongea kwa ustaarabu kwani nilijjua kwamba nimempa mstuko wa hali ya juu.
“usijali kaka ila umenistua sana, aah”. Aliongea sophie huku akitoa tabasamu kiasi huku akiwa amekishika kifua chake pumzi zake zikiwa zinaenda mbio sana.

“alfa amelala kwenye kochi, nenda kamlaze chumbani mimi nakuangalizia jiko”. Niliongea na kumfanya Sophia acheke kwa nguvu sana hadi ilinilazimu kumuuliza alikua akicheka nini.

“ila kaka bana, unaweza ukaunguza wewe maana hata huko dar sijui nani hua anakupikia wewe, juzi nimekupa tu chungwa umenye umekijikata kidole”.
Aliongea sababu ya kufanya anicheke kabla hata sijamhoji swali lolote, kisha akafungua mlango wa jikoni na kutoka ambapo baada ya muda alirejea lakini kicheko kilizidi hasa pale alipokuta name nimevaa aproni na kofia kama mpishi wa hoteli za nyota tano.

“hahaha, hilo dude limekupendeza sana”. Aliongea Sophia huku akinicheka hapo niliona kama kazi yangu inaweza kuishia ndani ya jiko na nisingekua na muda wa kupoteza.

“wewe ugali mimi mboga”. Niliongea na kufanya sophi anitazame kwa macho Fulani ambayo yalionesha kitu, name sikutaka kuipoteza hio nafasi kabisa.
Tukiwa tumesimama wima nilimshika sophie kiuno na kumfanya sofy aruke kwa mstuko.
“aaaah jamani kaka, mimi sitaki tabia mbaya hio”. Aliongea sofy kwa sauti ya kitoto lakini ni wazi mchezo huo aliufurahia.

Lawama zake hazikufanya nimuache zaidi nilizidi kuongeza vurugu, ambapo nilimsogelea tena na kumshika kiuno kwa namna Fulani ambayo ilimfanya apate msisimko wa hali ya juu ambao ulipelekea afumbe macho huku akitoa miguno
“ka…k.aaaa, asssssss aaaaaah”.
Kisha akaubinua mgongo wake na kunisogezea kinywa chake ambapo nilipokea na nikaanza kufaidi jjuisi ya asili toka chemichemi isiyokauka milele huku mikono yangu ikiendelea kutalii sehemu mbalimabli za mwili wa Sophia.

Sikutaka kupoteza muda kabisa mkono wangu wa kushoto niliupeleka kwenye tompoo ya sofy iliyokua imeloana kabisa kutokana na midadi kua juu, kwangu huo yulikua ni ushindi tosha kwani sikutarajia kwamba kazi ingekua rahisi hivyo kabisa.
Haraka nilianza kusugua kisimi cha sofy na kumfanya ajinyonge nyonge kama mtu aliyepandwa na maruhani.

“asssss kaka tamuuu, unanitesaaa,,,,,,,,,,,,,,bana aaaaaaaaaah kaka…………..si uingize tu”. Alianza kuropoka sofy bila mpangilio name niliona huo ndo wakti mzuri kwangu kujisevia ili july wangu apate kufaidi kwani tayari mkuyati wangu ulishafura kwa hasira.

Sikupata tabu kulipandisha gauni lake fupi la rangi ya pinki wala chupi yake nyeupe kuishusha.
Mambo yote hayo yalitokea ndani ya dakika chache tu gauni la sofy lilikua juu ya kiuno chake huku yeye ameinama akiwa maeshika kabati la jikoni.

“aaaaah kaka, humu soo tutabambwa kaka ni aibu”. Aliongea sofy kabla hata sijauchomeka mkuyati wangu kwenye tompoo yake.
Kisha nilikimbia haraka huku mkuyati wangu ukiwa unabembea lengo niwangi kufunga mlango wa jikoni lakini niliteleza na kuanguka chini kutonana na nilivaa suruali nusu nusu pia kutokana na soksi nilizovaa.

Kishindo kilisikika kisha baada ya hapo nilimsikia alfa akilia huku bibi yake akimbembeleza.
“dada na baba wako wapi?”. Nilisikia swali ambalo lilinifanya niinuke haraka pale sakafuni.

Je nini kilifuata


Sehemu ya nne -04


SASA ENDELEA; nilivaa suruali yangu haraka huku nikiugulia maumivu kwani nilidondoka kama gogo na kupelekea maumivu ya nyonga kisha nikavaa apron pamoja na kofia ya mpishi na kwenda kufungua mlango wa jikoni ambapo nilikutana an mama uso kwa uso ambaye alicheka kwanza kabla ya kusema chochote.

“yaaani Julius una vituko sana wewe, ndo maana huwa nakukumbuka sana pindi unapokua mbali”. Aliongea mama baada ya kuona nimetoka nje na nguo za kupikia.

“usijali mama niko na dada huku ananifundisha fundisha mambo adimu si unajua mimi bachela!” niliongea kauli iliyoanzisha matatizo na mama

“ndo uoe sasa unadhani ubachela ni sifa? Au ujanja?” alliongea mama

“aaah mama naoa ata usijali tena nitakuletea wakwe na wajukuu wa kutosha tu wala usijali”. Niliongea huku nikicheka kama nlivozoea kufikisha ujumbe kwa kutumia utani.

“mimi sitaki wakwe nataka mkwe! Ebo!”. Aliongea mama huku akisonya

“sawa mama wala usijali”. Niliongea huku nikirudi jikoni

“halafu na mama wa huyu mtoto namtaka”. Aliongea mama wakati nikiwa nishapotelea jikoni ijapokua kauli yake niliisikia ila nilijifanya kama sijaisikia ili maungumzo kuhusu kuoa yaishe.

“hee! Alikua anasemaje mama”. Alihoji beki tatu Sophia pindi niliporudi jikoni
“aaah tulia bana wala usijali hajasikia chochote”. Niliongea huku nikimshika sofia makalio

“aaaah acha bana kaka, tutabambwa humu shauri yako”. Aliongea sofy huku akijilegeza mwili wake ambapo ghafla ulishafika kifuani kwangu na hapo sikusita kuingiza ulimi kwenye sikio lake la kushoto kisha nikahema kidogo na kufanya pumzi zangu ziyapulize masikio yake.

“mamaaaaa!”. Aliropoka sofy kwa sauti kubwa hata mama aliyekua sebleni alisikia licha ya kua nyumba ilikua na dari lakini kelele zile zilikua kali mno.
Haukupita muda mama aliingia jikoni hapo ilimlazimu sofy ajigeleshe kuungua.

“nyie, kulikoni?”. Alihoji mama
“nimeungua mama”. Aliongea sofy huku akijifanya ni mwenye maumivu makali sana, aliibana mikono yake mapajani huku akiwa ameinama na ndita zake akiwa aamezikunja.

“kila siku nakwambia usiguse jiko la umeme mikono ikiwa mibichi wewe husikii, utakuja kunipa kesi wewe mtoto, haya hebu tuone huo mkono”. Aliongea mama ambapo kiunyonge sofy alitoa mikono yake na kumuonesha mama.

“mungu wangu! ona ilivyo myekundu”. Aliongea mama asijue ni picha tu amechezewa. Kwakua vyakula vilikua tayari nilipakua na kuanda mezani kisha tukajumuika pamoja kupata chakula cha mchana na baada ya kumaliza nilienda zangu chumbani na kisha nilipitiliza moja kwa bafuni kupata maji.

Mkuyati wangu haukutulia kabisa kwani haukupata mttu wa kumuadhibu, wazo lililokua kwenye akili yangu ni kumvizia mama atoke kisha tukaafanye mambo ya kikubwa na sofy ambaye kiumri hakutofautiana na wadogo zangu walionifuata na kama amewazidi basi ni miaka miwili mitatu na haizidi mtano.

Baada ya kuoga nilitoka na kwenda sebleni nipate japo kuangalia televisheni kwani hakukua na mahali ambako labda ningesema naenda, nilipofika sebleni nilimkuta sofy akiwa amebadili nguo na kuvaa gauni la bluu ambalo hakulivaa awali.
Sofy alikua kashamaliza kazi zote hivyo nae alikua ameketi tu sebleni na maam wakiangalia maigizo ya Kiswahili.

“jamani naenda kwenye vikoba, ila nitaondoka na mjukuu wangu name nikatambe”. Aliongea mama
“nikupeleke?” nilihoji
“hapana, mbona hapo tu, tutatembea”. Aliongea mama huku akiinuka kwenye kochi na kujinyoosha kisha kumshika mkono alfa na wakatoka nje.
Alipotoka nje sofy alinitazama, name nilimtazama kisha lilifuata tabasamu pana toka kwake, hapo ndipo niligundua kwamba naye alikua na mawazo sawa na mimi.

Hakukua na muda wa kupoteza kabisa, sofy alinifuata nilipo na kunirukia mwilini kisha kunipa busu zito ambalo nililipokea kisha nikambeba juu juu hadi chumbani kwangu na kumrusha kitandani.
Hapo zoezi la kuchojoa lilianza, sikupata shida ya maandalizi tena kwani nilimkuta sofy akiwa kashaloa kutokana na hamu ya muda mrefu aliyokua nayo.
Name nilitoa mkuyati wangu na kuingiza kwenye tompoo ya sofy ambaye alitoa mguno uliofuatiwa na pumzi ndefu kutokana na mimi kuingiza mkuyati wangu wote.

“aaaaaaaaaaaaaaaah julyyyyyyyyyyyyyy”. Aliongea sofy kisha name nlianza mashambulizi kwakua mimi ndiye nilianzisha mpira.

Nilipiga mashuti ambayo sofy aliyadaka kisha akataka kunishambulia kwa kuvizia lakini mabeki wangu walikua imara vilivyo, walimkaba sofy na kurudisha mashambulizi.
Kwa takribani saa moja kila mmoja alikua hoi kitandani tena asiyekua na hamu na mwenzake kutokana na mtanange wa kukata na shoka kupigika name kuwa kinara wa mchezo kwani sofy ndiye aliyesalimu amri.

Sofy aliondoka chumbani na kuwahi kuandaa chakula kisha tulikula na tukaenda kulala majira ya usiku, uliingia ujumbe kwenye simu yangu toka kwa namba ngeni ambapo nilipousoma tu niligundua kuwa alikua mama alfa
“jamani Julius, nitunzie mwanangu huyo ndiye roho yangu”.
Ulisomeka ujumbe huo ambapo niliupuuzia na kusonya kisha kujisemea moyoni
“mxewwwwwwww”
“hivi mtu unawezaje kuiacha roho yako itunzwe na mtu mwingine”. Baada ya kusema hivyo nilizima simu bila kuujibu ujumbe ule.

Je nini kilifuata


SEHEMU YA TANO (05)

INAENDELEA; makelele ya alamu ya simu yangu ndiyo yaliyonistua toka usingizini kwani usingizi ulinipitia punde tu baada ya kuzima simu yangu.

Sikua na kumbukumbu ya kwamba niliweka alamu na hata kama niliiweka sijui ni kwa kazi gani hakika nilikasirika sana na kusonya nisha kubonyeza sehemu iliyoandikwa dismiss (ondoa), kisha niliangalia muda na kuona muda ulikua bado kabisa ndo kwanza ilikua saa sita kasoro usiku, hadi nilijishangaa kwanini nililala mapema vile lakini jibu la uchovu nilikua nalo mwenyewe kwani nilikumbuka kwamba ni jioni tu nimetoka kucheza kwichi.

Hayo yote niliyapuuzia baada ya kuhisi kiu ya hali ya juu ambapo sikuweza kujivunga na zaidi niliinuka kitandani na kushuka kabisa kisha nikiwa na bukta yangu nilianza kutembea nikielekea sebleni.

Hakika sikutarajia kukutana na watu sebleni kwa wakati ule lakini ukweli ulikua ndio huo mama alikua hajalala na pia sofy alikua hajalala na wote walikua bize kufuatilia tamthiliya maarufu ya “the promise”. Ambayo ilitokea kupendwa sana na wanawake kwa asilimia kubwa.
Nilishangaa sana bapo ndipo niligundu kwamba nimekosea sana kutoka na bukta tena nikiwa kifua wazi

“aisee hii ni aibu”. Nilijisemea kisha kugeuka zangu na kurudi chumbani baada ya kusikia hatua za mtu zikiha upande wangu. name niliongeza hatua ili nisiweze kukutanba na huyo mtu ambaye sikujua ni mama au sofy.
Katika harakati zangu za kuongeza hatua nilishangaa jina langu likiitwa kwa kunong’ona na nilipogeuka alikua ni sofy akinikonyeza kisha akanipa ishara ya kwamba nisifunge mlango wa chumbani kwangu.

“kaka nakuja kulala kwako usifunge”. Aliongea sofy kwa kunong’ona pindi aliponisogelea kisha kunibusu kwa kuibia na kukimbia kuelekea chumbani kwake.

Nilikaa kwa sekunde kadhaa nikitafakari mustakabadhi mwa maisha yangu na dada wa kazi Yule kwani anaonekana yuko moto na anakuja kwa kasi sana, lakini mwisho niliamua kuingia chumbani tu kwani mawazo ya kufanya mapenzi yalinirejea upya, na hata july mwenyewe hakuitaji kusikia jambo lolote zaidi alisimama dede kama askari jeshi.

Sofy alipoingia sikua na muda wa kupoteza na safari hii nilitaka kuhakikisha namfaidi vizuri na si kwa kuibia kama mchana, nilitaka kumpa vitu ambayo sikumpa mchana na nilitaka anipe vitu adimu ambavyo sikuwahi kuvipata kwa mwanamke yoyote duniani.

Haraka niliivuta khanga yake moja aliyoibana kifuani ambayo ilifunguka na kuiacha kufuli yake nyeupe iliyokua ikionekana kupitia mwanga hafifu uliokua ukipenya dirishani kutokea nje, kisha nikamkamata kiuno chake ambaye nae alijilegeza na na kujileta kitandani kisha akajaa kifuani kwangu hapo sikusita kuanza kuyashambulia masikio yake kwa hamu na kumfanya atoe miguno iliyokua ikiashiria kwamba alikua akisikia raha ya aina yake.

“aaaaah kakaaaaaaaa, kumbe unajua hivyo………………… aaaaaaaaah we mtamu kaka julyyyyy, asssssssssss”. Sofy alishindwa kabisa kujizuia kueleza hisia zake juu ya utamu aliokua akiupata

Wakati nikiendelea kunyonya masikio ya sofy mikono yangu ilikua ikizitomasa embe bolibo za sofy ambazo ziliumbika barabara na kutengeneza umbile la maembe ya tanga dhahiri kama sio songea kabisa.

Kitendo hicho cha kuchezea embe bolibo kilimmaliza kabia nguvvu na ndani ya dakika kumi sofy alikua hoi kabisa hakika nilifurahi sana kumuweza sofy na niliona huo ndio muda sahihi wa kuzama chumvini kwa sofy ambapo niliitanua miguu yake kisha kuikunja name kuingiza kichwa change kunako, nilichokifanya kabla ya yote ni kuipuliza tompoo ya sofy ambaye aliruka na kuanza kujinyonga nyonga lakini hio haikutoka kunifanya nimuache kizembe, kisha taratibu nilianza kunyonya tompoo ya sofy na kumfanya azidi kuchanganyikiwa kabisa ambapo alizidisha kujinyonga kisha akanibana kichwa kwenye tompoo yaake na baada ya hapo nilihisi uso wangu kuloa loa.

Hii ilitosha kabisa kutambua kwamba sofy alikua kashapiga mshindo wa nguvu na alikua hoi balaa

“inuka ulambe koni mama”. Nilimwambia sofy ambaye alikua akitabasamu tu kisha akainuka na kuniweka sawa ambapo aliniambia nitanue miguu yangu name niligfanya hivyo na kumpa uahisi wa kuingia katikati ili apate kuimba

“assssssssss, ooooooooooooh ooooooooooooops nako,,,,,,,,,,,joaaaaaaa”. Haukupita muda nilipiga mshindo wangu wa kwanza usoni kwa sofy ambaye alifurahia sana mchezo ule wa blowjob kama unavoitwa kwa kimombo.

Sofy aliendelea kulamba koni mpaka iliposimama upya kisha akaikalia na kuanza kuzungusha kiuno chake hakika alikua fundi sana kwa kucheza na koni.
Tuliucheza mchezo huo kwa takribani saa moja na hapo kila mtu alikua hoi asiyekua na hamu na mwenzake.

“hivi wewe sofy kabila gani”. Nilihoji baada ya kumaliza kuyafanya yetu ya kikubwa

“mimi mmatengo wa mbinga”. Alijibu sofy huku akiichezea koni kwa mikono yake laini
“kaka una dudu tamu sana” aliongea sofy

“aaaaah mimi sipendi unavoniita kaka kabisa, unataka kuninyima nini kwani mtoto mtamu kama wewe”. Niliongea huku nikimchezea nywele zake

“Saizi nitakua sikuiti kaka”. Aliongea sofy kabla ya usingizi kutupitia

Sauti ya mlango kugongwa ndiyo iliyomstua kila mmoja na hapo tulitambua kwamba kumekucha, si sofy wala mimi wote tulichanganyikiwa sana kwani jambo lililokua likienda kutokea kwa wakati huo ni aibu.

“kwa staili hii mimi july naoa”. Niliongea kisha kujinyoosha na kuinuka kuelekea mlangoni wakati huo sofy alienda bafuni kujificha.

Je nini kilifuata?

Kwa wale ambao hawajawah soma sehemu zilizopita tafadhali zitafute kwenye kurasa za chini. Au tafuta facebook zitakuja.


SEHEMU YA SITA (06)

INAENDELEA; taratibu niliuendea mlango na kuufungua ambapo pasina kutarajia nilikutana na alfa pekee.
“shkamoo baba”. Aliongea alfa

“marahaba, hujambo mwanangu”. Nilimjibu

“sijambo, dada amenikimbia leo”. Aliongeaa alfa

“dada mkorofi huyu, tutamchapa. Bibi yuko wapi?”. Nilihoji
“kaenda kazini”. Alijibu alfa

“haya kanisubiri sebleni nakuja eeeh”. Niliongea na alfa na mwisho nlimwambia akanisubiri sebleni ili nipate nafasi ya kumtoa sofy chumbani.

Baada ya sofy kutoka alienda sebleni na kufanya usafi kisha haraka kuandaa kifungua kinywa ambapo majira ya saa nne mama alirudi toka kazini na kisha tulijumuika kwa pamoja kupata kifungua kinywa.
Nami nilitakiwa kufanya maandalizi ya safari yangu kwani likizo niliyopewa na ofisi ilikaribia kufika kikomo.
Baada ya kupata kifungua kinywa, nilienda chumbani na kutoa nguo zangu kwa lengo la kuzifua ambapo sofy aliniomba niziache na angenifulia, nilifurahi sana na niliona huo ndio muda muafaka wa kwenda sheli ili nipate kujaza mafuta kwenye gari tayari kwa safari iliyotakiwa kufanyika siku ya kesho alfajiri.

Niliingia chumbani na kuvaa pensi nyeupe na tisheti aina ya manga nyeusi sikusahau miwani pamoja na kofia nyeusi, kisha nikachukua funguo za gari na kadi ya benki na kutoka nje ambapo nilimkuta sofy akiwa ameshaanza kufua nguo zangu.
“wooow kaka umependeza sana”. Alinisifia sofy

“asante afu sipendi unavoniita kaka, kwani unataka kuninyima nini?” nilihoji

“mimi nakupa vyote wala usijali”. Aliongea sofy huku akicheka na knifanya pia nicheke.

“baba nataka twende wote” aliongea alfa wakati nikizipiga hatua zangu kulisogelea gari langu aina ya Subaru forester tx, ambalo kampuni ilinizawadia kutokana na weledi wa kazi niliokua nao na kupelekea kampuni kuingiza mapato makubwa kwa mwaka nikiwa kama meneja wa masoko.

Sikua na hiyana nilimwambia alfa aje nilipo ili tupate kuondoka ambaye hakusita kuja, na baada ya muda safari ilianza hapo nilipata wazo la kumnunulia nguo za shule alfa ili ikiwezekana kesho aanze shule.

Baada ya kwenda sheli tulipitia waliko mafundi nguo na bahati nilifanikiwa kupata sare kamili ya shule aliyotakiwa kuanza alfa.
Kisha tulipitia sokoni na kununua mandunda ma mapochopocho mengine ambayo niliona yangewafaa nyumbani kisha safari ya kurudi nyumbani ilianza.,
Tukiwa njiani uliingia ujumbe kwenye simu yangu ambapo nilipunguza mwendo na kuusoma, ulikua ni ujumbe toka kwa ashura ambao aliutuma kupitia mtandao kwamba nimuongeze salio, sikua na budi kupiga simu nipate kuhakikisha kwani sikuamini kwamba eti ashurra hakua na salio.

“halooo mama mabo vipi’. Nilianza kuongea
“pia tu mume wangu toka umeenda huko kwenu kunyonya basi hata simu hupigi”., aliongea ashura kwa kulalamika
“aaaah mke si unajua maziwa ya mama yalivyo matamu kuliko hata tompoo”. Niliongea kwa utani
“mmmmh muone kwanza huna hata aibu, haya unarudi lini”. Alihoji ashura

“kesho, mama fanya uweke mazingira sawa nakuja kulala kwako”.

Niliongea na ashura ambaye alicheka tu lakini nilikua namanisha kile nilichokua nakisema kwani licha ya kua ashura alikua ni mfanyakazi mwenzangu kulikua na uhusiano ambao ni zaidi ya urafiki kati yetu,,, mara chache alikua akija kupika na alifanya mambo mengi kama mpenzi wangu lakini sikuwahi katu kumwambia kama nampenda japo yeye alionesha kabisa kwamba ananipenda na kama nikimwambia nampenda basi tunakua kwenye utani.

Lakini taratibu nilianza kumpenda ashura lakini nilitaka kujipa muda na si kuingia kichwa kichwa kwenye mapenzi, kwani niliogopa kujeruhiwa moyo wangu vibaya tena kizembe.

Ashura alikua akiishi kwa wazazi wake kabla ya kupata kazi na kuamua kutafuta chumba ili aanze maisha yake. Mara nyingi nilikua nikimtembelea na kutoka out na kuyafanya yote ambayo wapenzi huyafanya lakini hatukua wapenzi.
Nilipanga ningemweleza ukweli wa moyo wangu na kumpa moyo wangu rasmi pindi nirudipo jijini dare s salaam.

Baada ya kufika nyumbani nilikuta chakula cha mchana kikiwa tayari na mama alikua amerudi, tulijumuika na mwisho nilimwambia mama kwamba ningesafiri siku ya kesho kurudi dare s salaam

“hmmmm, mbona mapema hivyo mwanangu”. Mama alianza kulalamika

“mama likizo inaisha jumapili nakitaji kuwahi ili nifanye maandalizi si unajua mama”. Niliongea
“ungekua umeoa hayo yote angeyafanya mkeo”. Aliongea mama

“usijali mama naoa, na miezi michache nitakuja kwaajili ya kumtambulisha mkweo”. Niliogea na kwa mara ya kwanza nililiona tabasamu la mama ambaye alinifuata na kunikumbatia

“hapo utakua umefanya jambo la heshima sana mwanangu july”. Aliogea mama na kuniachia kisha kuniachia.

Tulipata chakula cha mchana na hatimaye jioni ilifika, mimi nileweka nguo zangu vizuri na kurudi sebleni ambapo tuliongea mawili matatu na mama, na sikutaka kumpa muda sofy kabisa, jambo ambalo lilimuumiza sana sofy ambaye alitamani muda wote awe na mimi, kisha baada ya muda tulipata chakula nami moja kwa moja nilienda chumbani na kujilaza kwani nilihitaji muda wa kupumzika kutokana na safari iliyokua kininikabili siku ya kesho

Usiku nilistuka baada ya kuhisi mkuyati wangu ukipapaswa papaswa na mikono laini nilipofungua macho yangu nilikutana na sofy ambaye alitabasamu name nilitabasamu pia kisha kusigeza kinywa change ambaye nae alkipokea na ndimi zetu zikabaki kubadilishana juisi ya asili na baada ya hapo nilimpa sofy alichokifuata na kisha akaondoka zake kurudi chumbani kwake.

Je nini kilifuata

Sehemu ya Saba -07

INAENDELEA; Kitendo cha stela kuniachia mtoto kwa namna ya kumtelekeza kilimuuma sana kwani alifanya hivyo lengo apate kuolewa na mwanaume ambaye alisema hahitaji mtoto wa nnje ya ndoa lakini mwisho wa siku mwanaume huyo alisitisha suala la kumuoa stellah na kumtelekeza pia.

Moyo wa stellah uliwaka moto kwani alikosa vyote, kutokana na papara.
Suala la kukosa mume wala halikumuumiza kichwa bali mwanae kipenzi alfa ndiye aliyemuumiza kichwa stellah.

Kwa mara ya kwanza stellah alijuta kumtelekeza mtoto ana aliapa kumtafuta kwa udi na uvumba hata kwa kumuiba tu, ili amrejeshe mwanae mikononi mwake.

Aliamua kuchukua simu na kijitabu kidogo ambacho alikua amenakili namba za watu muhimu kisha kupekua kurasa kadhaa na kuliona jina lililoandikwa Julius.

Alizinakili kwenye simu na kuzipiga namba hizo ambapo simu iliita hadi kukata bila kupokelewa, alirudia mara kadhaa lakini majibu yalikua yale yale hadi alikata tamaa kabisa kwani hakujia aanzie wapi kumtafuta mwanae.

Majira ya saa nne asubuhi stellah alikua maeneo jirani na nyumba ya kina Julius akijaribu kuangaza angaza labda ataweza kumuona Julius lakini hakukua na dalili yoyote ya Julius kuwepo mahali pale jambo ambalo lilimchanganya sana stellah.

Akiwa katika hali ya kuchanganyikiwa alishangaa kumuona alfa akiwa na nguo za shule akiingia ndani ya nyumba hio, hapo kidogo moyo wa stellah ulitulia kwani alishajua mwanae yupo katika mikono salama na alikua akiendelea na masomo, stellah alimwangalia alfa hadi alipopotelea ndani ya geti kisha nae kwenda zake ambapo alipanga kuwa anamtembelea kla siku.

Sikuona sababu ya kupokea simu za stelleh hivyo niliamua kuiweka namba ya stellah kweye blacklist kabisa ili akinipigia asinipate.
Kwangu hilo lilikua ni jambo muuhimu kwani nilishaanza kuona dalili ya stellah kunidai mtoto name sikuhitaji jambo hilo litokee kabisa.
Nilipofika kibaha nilimtaarifu ashura aliyekua akiishi maeneo ya ubungo riverside juu ya ujio wangu, ashura alifurahi sana kusikia hivyo.
Hivyo alijiandaa vizuri kisha aliniambia kwamba atakuepo sheli iliyopo nje ya stendi ya mabasi ubungo

Majira ya saa kumi na mbili kasoro nilikua siti ya kushoto na ashura ndiye alikua dereva kwani aliniomba anisaidie kuendesha gari akidai nitakua nimechoka sana.
Tulifika nyumbani kwa ashura maeneo ya ubungo riverside majira ya saa moja usiku ambapo nilishangaa sana kwa uzuri wa nyumba.
Ashura alijitahidi kuiweka sebule vizuri, aliipamba vema hadi nilijiuliza kwamba alipata wapi muda wa kuyafanya yote hayo na kwanini anifanyie hivyo ikiwa sisi ni marafiki tu.

“kiukweli nimependa sana mapokezi yako ashura”. Nilianza kuongea tukiwa mezani tikipata chakula cha usiku
“usijali, kidogo tu mbona kawaida sana”. Aliongea ashura huku akicheka
“nooo, usiseme kidogo. Kitu ulichokifanya kina thamani kubwa sana kuliko kitu chochote kwa sasa, na sikutarajia kwamba ungenijali hivi”. Niliongea kwa hisia kali sana

“mmmmh, bana Julius, ujue nakupenda sana”. Aliongea ashura kwa mara ya kwanza na kufanya moyo wangu upasuke na ulipuke kwa shangwe kwani sikutarajia kwamba ingefika siku uvumilivu ungemshinda ashura.

“nakupenda pia mpenzi wangu ashura, leo ndiyo ilikua siku maalum ya kukwambia jambo hili kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu, naomba uwe ubavu wangu wa kushoto name niwe kulia kwako milele”.

Niliongea na kumkumbatia ashura kisha kumpiga busu zito ambalo lilidumu kwa muda wa takribani dakika moja na kumpeleka kila mmoja kwenye sayari ya huba ambapo nilijua jambo alilokua akihitaji ashura kwa wakati huo na sikua na budi kumpa penzi zito ambalo lilibaki kua historia kwenye maisha ya ashura kwani pia ni siku ambayo niliweza kuutoa usichana wake na sikuamini kabisa kama binti mrembo kama ashura angeweza kuwa na usichana hadi kufikia umri aliokua nao.

Baada ya kumaliza shughuli, tulipata usingizi hadi kulipokucha nilimpigia simu mama kumtaarifu kwamba nataraji kumtambulisha mke wangu mtarajiwa nilimwambia pia ashura kuhusu hilo ambaye hakupinga kunipeleka kwa wazazi wake.
Sikusita kumwambia ashura kuhusu alfa ambaye nae aliahidi kua mama bora

Baada ya likizo kumalizika tulirejea ofisini na kufanya kazi kwa bidii kwaajii ya kuweka misingi bora ya familia yetu.
“Julius nina furaha sana leo”. Aliongea ashura siku moja tukiwa tumekaa nyumbani baada ya kazi.
“mmmh hebu tushee furaha wote jamani”. Niliongea huku nikikaa vizuri kwenye kochi na kumgeukia ashura
“nina ujauzito wa miezi miwili na nimepima mara ya pili sasa”. Aliongea ashura huku akitabasamu na kunifanya niitabasamu pia.
“hatimaye nakua baba mtoto wako”. Nilimsogelea ashura na kumbusu kwa furaha.

Hakukua na muda wa kupoteza kabisa, nilimtaarimu mama kwamba nilihitaji kufunga ndoa haraka kwani sikuhitaji mtoto azaliwe nje ya ndoa tena.
Mama alifurahi sana na hapo tukaanza maandaalizi ya harusi huku mawasiliano baina ya pande zote mbili yakiendelea, nasi tuliendelea kuhudhuria kanisani na kupata mafundisho kadhaa ya ndoa.

Baada ya miezi miwili ya maandalizi ndoa kati yangu na ashura ilifungwa katika kanisa la Azania front jijini dar es salaam na kumuacha mama akiwa na furaha kubwa sana si mama tu bali hata wadogo zangu walifurahi kupata wifi mzuri kama ashura.

Na baada ya miezi ya uzazi kutimia ashura alijifungua mtoto wa kike ambaye tulimuita gift kwani niliamini mtoto ni zawadi toka kwa mungu, sikutaka kujiusihsa tena na mishepuko kwani nilishachepuka sana na sasa inatosha.
Akili yangu ni kwenye kutafuta pesa kwaajili ya kuilisha familia yangu.

mwisho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom